Search results

  1. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa anaye elewa hii option ya one cut naomba ufafanuzi tafadhali. Kabla sijaweka hiyo option winning amount ilikua 42k, baada ya kuweka ikashushwa mpaka 38k mkeka umetembea nimepewa 900. Hii imekaaje?
  2. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    531218 NHL ÷ AHL Sportybet
  3. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu mwenye hizi nyimbo kwenye library yake anisaidie tafadhali: 1. Tid - Sauti ya dhahabu 2. Ney - Mitego 3. ??( nimemsahau msanii na wimbo) kiitikio kimeimbwa "Shani wangu nakupendaaa ooh mi nakupendaaa, Shida nilizozipata anajua ye mwenyeeeziiii..x3" Nawasilisha
  4. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Western Jazz - Nilikupenda sana Upo YouTube
  5. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Isack - Girlfriend
  6. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sumalee feat joh makini - rafiki
  7. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Chelea man
  8. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Waptrick.com
  9. Geocruz89

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Born Crew ft Daz Baba - Heshima Ya Ndoa Upo YouTube
  10. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Telegram kwa wale wahuni wauza odds, jamaa kama alikosea kushea nilikapcha chap na akawahi kufuta
  11. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anaeijua hii app tafadhali
  12. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa timu moja. Unyama sana
  13. Geocruz89

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Tusiwe watu wa kupinga kila kitu, hi ishu ipo na ipo kweli hata hao wazungu wenyewe wanatengeneza mpaka filamu za treasure hunting. Binafsi nimepata kusimuliwa na babu yangu kabisa habari kuwepo kwa hayo mapango ya hazina kwa maana alipatapo kuajiriwa na hao wajerumani kwenye miradi yao...
  14. Geocruz89

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Title matters
  15. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora premierbet kwa mtazamo wangu
  16. Geocruz89

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale watumiaji wa helabet. Naomba mwongozo wa namna ya kutumia bonus napata huo ujumbe sielewi kitu
Back
Top Bottom