Search results

  1. M

    horticulture,agr.general and agronomy

    et wadau naomba 2 muongee ukweli juu ya hili swala et kat ya agronomy horticulture and agr.general ip ni best kuliko mwenzake na ni ip iko poa kwa ishu ya kupata ajira maana kuna, naomba majbu ya ukweli kiroho saf wakuu
  2. M

    Kozi ngumu kuliko zote hapa Tz

    kila kozi ni ngumu inategemeana tu na ww hata iyo sociology unayodhani ni raic kuna mwingine anaona ni ngumu so ugum wa ki2 inatgemeana na mtu mwenyewe
  3. M

    Simuelewi huyu demu

    kupenda ucko pendwa ni sawa na kusubiria meli airport mzee achana nae find the one wh loves u,that`s all
  4. M

    Current Affairs: Ni nani huyu?Wamjua? Umri wake ni miaka 17tu....lakini...........

    Acha ujinga ww kwa hiyo kama anasoma uingreza na acli yake australia ita2saidia nn cc kama wadau wa jamii 4rum
  5. M

    Je afanyaje?

    kwa ushauri wangu akapge dip ya horticulture iliyopo arusha tengeru itamfaaa zaid
  6. M

    Tanzania one ametoka shule gani

    Ametoka don bosco seminary na matokeo yake ndo haya hapa s0172/0011 m 9 i civ-b hist-a geo-b b/knowl-b kisw-b engl-b phy-a chem-a bio-a b/math-a
  7. M

    Course gani nisomee

    we nenda kasomee diploma ya horticulture 2 years ni kozi nzuri na yenye pesa kinyama utakuja kuniambia mdau
  8. M

    Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

    Fanya unachoona ww ni sahihi kufanya kwa ww kama unapenda ualimu ww fanya ivyo ivyo unavyoona kwan co kila ki2 unachofanya unaweza kumpendeza kila m2
  9. M

    kwa wanaojua horticulture,agronomy na agricultural general

    Hizo ndizo kauli za kishenz ambazo 2nazkataza ukisema ivyo izo koz nyingine asome nani na kwa nn useme eng na medicine ndo koz za kiume ?fanya unachkiweza na ambacho moyo wako unakusukuma ufanye co ufanye ki2 kwa sababu ya prestige ukiwa na notion kama izo utajkutaga ww ni kuumia kila cku ww...
  10. M

    kwa wanaojua horticulture,agronomy na agricultural general

    we ndo ujui ki2 kabsa umaskin na utajiri ni juu yako mkuu na jinc ulivyojipanga mbona wako wa2 wanafanya kaz sehem zenye hela kama vle benk na sehem lkn bado mackin na hapohapo wako wa2 wanafanya kaz sehem za kawaida kama vle walimu na bado wanapesa so kuhusu kuwa tajri ni mipango yako 2...
  11. M

    kwa wanaojua horticulture,agronomy na agricultural general

    nawasalimu wote wana jf mm nilitaka kujua ni koz ipi at ya hizo ina market na ni ip bora kuiko nyingine(with reasons) coz zote znahusu agriculture
  12. M

    Top Universities in Tanzania,Repulic of 2012-2013

    please can u tell me preciously criterials which u considered to judge those universities above 2 be the best and also tell me why others are not bect
  13. M

    Kwa wale wa sua help me about horticulture

    Kwa wale wa sua it is ma hope u ar ok naombeni nijuzeni hii koz ina field mwaka wa ngapi na vp kuhusu msuli wake kulinganisha na food science &technologyna pia khs future zake which one has bright future than other?
  14. M

    horticulture(sua)

    hii course ina field mwaka wa ngapi
  15. M

    is it possible 2 change faculty

    chuo ni sua from horticulture 2 food science &technilogy
  16. M

    is it possible 2 change faculty

    hey jf members i need ur help pliz can u tell me about changing of faculty if pocble or not?
  17. M

    Usichague course kwasababu ya boom

    hapo umesema ki2 mkuu serikali co jinga kutoa jiti kwa baadhi ya koz ikiwa na maana kwamba mbeleni itazihitaj hizo i mean market big up mkuu 4 ur answer
  18. M

    Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    hi all jf members kuna hz rumours zinazosema eti m2 akimaliza udom na akienda baadhi ya ofic kuomba kaz wanamkataa kwa sababu ya jina la chuo hivyo nltaka kujuzwa kuwa hao waajiri wanaangalia gpa au wanaangalia title ya chuo?
  19. M

    jamani kwa wanaojua horticulture

    co hivyo kk nilijua nilichojaza but nilijkua nataka kujua khs future yake lkn pia hiyo priority ilinipa moyo kwa nn koz nyingine zcpewe kama co dil
  20. M

    jamani kwa wanaojua horticulture

    vp pia kuhusu agronomy ina uhusiano gani na horticulture
Back
Top Bottom