Search results

  1. MissM4C

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    National Anthem is sung under three or 4 conditiin 1. National events 2. When the president adress the nation 3. When presidents host felow presidents
  2. MissM4C

    UKIMWI upo ndugu zangu

    UKIMWI hauui, halafu ana VVU sio muathirika
  3. MissM4C

    Serengeti: Mhasibu wa Halmashauri apiga milioni 213

    Msikose kutuletea mrejesho wa hatma ya hilo, isije kuwa mkurupuko
  4. MissM4C

    Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi

    Internal Bleeding, huemda Magumga ni kituo kidogo kilichoanza upasuaji karibuni, timu ya RAS/RMO ikajifunze vhangamoto kilichopo pale. Kama ni uzembe au compentency ya madakatri
  5. MissM4C

    Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

    Biashara hiyo watu wanapiga pesa
  6. MissM4C

    Nimeacha Pombe 31/12/2023

    Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea
  7. MissM4C

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    1. Naenda zangu Nairobi, msibani, niko na familia na mama mzazi, kupitia border ya Isbania, mwenzangu ndo kwao huko, kabla nishawahi kufika ila nilipitia boda ya Tarakea, baada ya kuvuka akaniambia nenda ukachenji pesa. Nilikuwa na 500,000/= ya Tanzania. Ukivuka tu boda Sirari pembeni kuna...
  8. MissM4C

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Huenda alisahau, hawez haribu reputations ya biashara yake
  9. MissM4C

    Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Ni kweli uj8nga, maana walimu hununua kwa hundi
  10. MissM4C

    Kama wewe ni mtumishi na unauhitaji wa mkopo wa haraka au kuuza mkopo wako wa zamani pita hapa..

    Fala wewe, tapeli, sema unataka ubebe kadi kama dhamana
  11. MissM4C

    Natafuta kazi clinical officer

    Jitolee hapo wilayani kwanza
Back
Top Bottom