Search results

  1. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
  2. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  3. M

    Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

    Jumla ya orodha ya vitabu nilivosoma mwaka 2020 1. Bibilia Takatifu(sijaimaliza lakini nakisoma kila siku kama sehemu muhimu ya chakula cha kiroho) 2. Mossad (Moja ya vitabu bora kabisa katika Nyanja za Operesheni za Kijasusi katika historia ya Taifa la Israel 3. Tough times never Last but...
  4. M

    Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi Hakimu...
  5. M

    Wanachama 20 wa CHADEMA Arusha waendelea kusota gerezani Kisongo

    Wanachama 20 wa CHADEMA wanaendelea kusota rumande katika gereza la Kisongo baada ya wakili wa serikali mkuu Bwana Chavula, kueleza kuwa mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi haina mamlaka ya kutoa dhamana. Itakumbukwa kuwa kwa nyakati tofauti katika maeneo na tarehe tofauti,kuanzia Oktoba 26,27 na...
  6. M

    Mgogoro stend ndogo Arusha: Katibu wa wapangaji atishiwa maisha

    Mgogoro wa vibanda stend ndogo umechukua sura mpya ya kutishiana maisha.Eneo la Stend ndogo limegeuka uwanja wa vita kati ya wapangaji na wajenzi kwa upande mmoja na wafanyabiashara wapangaji na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwa upande wa pili. Taarifa za uhakika ni kuwa Mkurugenzi ameamuru...
  7. M

    Jiji la Arusha katika kashfa nzito, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia matatani

    MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia ameingia matatani baada ya kujiidhinishia lita 1900 za mafuta kwa ajili ya matumizi ya gari lake ndani mwezi mmoja kinyume cha kanuni,taratibu na sheria za zinazosimamia serikali za mitaa. Katika bajeti ya Jiji la Arusha Mkurugenzi wake ametengewa...
  8. M

    Lema azidi kupata wapinzani Arusha mjini

    wanabodi Jimbo la Arusha ambalo limekuwa ngome ya CDM kwa muda mrefu,ni moja ya majimbo ambayo yana wagombea wengi wa CDM na CCM.Kwa upande wa CDM tayari watatu wamecukua fomu,Kamanda Lema,Kamanda Ole Varoya na Kamanda Nsajigwa,taarifa za ndani ya CDM zinasema kuwa kuna wengine wawili...
  9. M

    Hongera Wah Madiwani wa Arusha

    Natoa pongezi za dhati kwa madiwani wa Arusha jiji kwa kukataa hila chafu za mfanyabiashara Masawe alietaka abadiliahiwe kiwanja cha kilombero apewe kaloleni azimio.Kama jiji wangefanya hivo ingepata hasara ya 6bil nilipata kuleta habari hizo hapa wengi wakapuuza ila this time madiwani...
  10. M

    Jiji la Arusha lahongwa na mfanyabiashara, kupata hasara ya Bilioni 4

    Jiji la Arusha linaweza kupata hasara ya bil 4 kama litakubaliana na mpango uliosukwa kwa ustadi wa hali ya juu na mfanyabiashara mmoja. Mpango huo unaopigiwa debe na Mbunge wa Arusha mjini meya na naibu meya na baadhi ya madiwani wachache ni ule wa kubadilishana kiwanja cha Kilombero na...
  11. M

    Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

    Wanabodi Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015 Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa...
  12. M

    Makamanda wote Arusha fikeni mahakamani Kesho

    Wanabodi, Nimepokea hii sms inasambaa sana hapa mjini Kesi inayomkabili Naibu Meya na Nanyaro madiwani wetu na Mgambo itanza kusikilizwa kesho 16-10-2014 saa tatu mahakama KUU(Arumeru).viongoz,wanachama na wamachinga wapenda maendeleo wote tutakuwa MAHAKAMA KUU KUKATAA UONEVU. Wajulishe...
  13. M

    Kesi inayowakabili madiwani wa CHADEMA -Arusha kusikilizwa mfululizo kuanzia kesho

    Kesi inayowakabili madiwani wawili wa CHADEMA Arusha itaanza kusikilizwa kesho katika mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha.Madiwani hao Ephata Nanyaro wa Levolosi na Prosper Msofe wa Daraja mbili wanatuhumiwa kumpiga mgambo wa jiji hilo. Inasemekana kuwa kesho shauri hilo.litakuja kusikilizwa kwa...
  14. M

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa...
  15. M

    DC Mongela na RC Mulongo kuhujumu CHADEMA Arusha

    Wanabodi, Hili ndio anguko kuu la Mkuu wa Wlaya ya Arusha mjini ndugu John Mongela mtoto wa Mbunge wa zamani wa Ukerewe.Dc Mongela amekubali kutumiwa na RC Malongo Magesa kuhujumu CHADEMA,ugomvi ambao RC aliushindwa sasa kamhamishia DC wake huku akijua huo ugomvi hatauweza. Kwa muda wa mwezi...
  16. M

    Confirmed.Madiwani wa CHADEMA Arusha Nanyaro na MSofe kizimbani kesho

    Peoples madiwani wetu Mh Msofe na Nanyaro waliopigwa na mgambo wamegeuziwa kibao wao na watapelekwa mahakamani kujibu tuhuma za kupiga mgambo Jumatatu.Anayewabambikia kesi hiyo ni mkuu wa wilaya ya Arusha.Makamanda tujitokeze kwa wingi,tuma kwa wengine Hii ni sms nimeipokea lakini nimeongea...
  17. M

    Madiwani wawili wa CHADEMA Arusha kushtakiwa leo kwa kumpiga mgambo

    Wanabodi Nimepata taarifa za uhakika kutoka jeshi la polisi Arusha kuwa wanawatafuta madiwani wawili wa CHADEMA mh Msofe (Daraja mbili)na Mh Nanyaro (Levolosi)kwa tuhuma za kumpiga na kujeruhi mgambo wa jiji.Habari zaidi zinasema kuwa madiwani hao watapelekwa mahakamani kwa kuwa upelelezi...
  18. M

    Madiwani wawili wa CHADEMA Arusha kufikishwa mahakamani leo

    Wanabodi Nimepata taarifa za uhakika kutoka jeshi la polisi Arusha kuwa wanamtafuta diwani wa CHADEMA Mh. Nanyaro na Naibu meya Mh Msofe ili wafikishwe mahakamani kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mgambo wa jiji. Taarifa za ndani ya polisi zinasema kuwa madiwani hao wamekuwa wakitafutwa kwa...
  19. M

    Mwanasheria wa jiji la Arusha aanda mashtaka dhidi ya Diwani Nanyaro na Msofe wa CHADEMA

    wanabodi Nimepata taarifa kuwa mwanasheria wa jiji la Arusha Bwana Kibamba anashirikiana na.mgambo kuandaa mashtaka batili dhidi ya madiwani wawili wa Chadema Diwani Nanyaro na Msofe.Taarifa zinasema kuwa baada ya madiwani hao kupigwa na mgambo juzi mmoja wa mgambo wa kike alijifanya ameumizwa...
  20. M

    Hongera JK kwa kuzindua miradi iliyoibuliwa na kusimamiwa na CHADEMA

    Jk anakusudia kuzindua theater ya kituo cha afya cha Levolosi jijini Arusha.Theater iliyogharimu mil 30.Ujenzi wa hospitali hii ya Wilaya umesimamiwa na kupiganiwa na CHADEMA wakiongozwa na diwani wa kata hiyo ya Levolosi Ephata Nanyaro,ambaye anafahamika zaidi kwa tabia yake ya kupigana na...
Back
Top Bottom