Search results

  1. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    kwani mimi nimefungamana na nani? wewe ndio kipimo cha mimi kufungamana?
  2. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Wewe ni kilaza wa mwaka mzima! soma elewa kama huelewi uliza au wewe ndio Dr Juma Magogo? unaona vifo vya watu watatu waliokufa kwa uzembe ni vichache? lazima utakuwa bonge la mwendawazimu na katili kama Hitler
  3. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Bora umeona mimi nimeleta hili jambo kuokoa maisha ya watu,wananiita mfitini.Hoja hapa kuna uzembe wa hali ya juu ambao maisha ya watu watatu yamepotea.Maisha haya mbadala yakipotea yamepotea.Tuendelee kupaza sauti zetu
  4. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Chuki ya madaraka na nani? mimi sifanyi na sijawahi kufanya kazi hapo wala sina hiyo taaluma hapa pana tatizo ni wajibu wa wadau husika wote kuchukua hatua na wewe usiende kutibiwa hapo hadi hatua za makusudi zichukuliwe.Hii ni sauti ya muhanga
  5. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Kuna tofauti kubwa sana ya kanisa na Dayosisi! Selian ipo chini ya Dayosisi
  6. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    CC Moderators Nibadilishieni heading isomeke Dr Juma Magogo
  7. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Mimi sina ugomvi nimeleta uzi hapa kutoa tahadhari ili muokoe maisha yenu na wapendwa wenu,huyu CEO amemuajiri Specialist kama Super Super ambaye amegharimu maisha ya watu watatu! Dayosisi ianhusika maana wanapaswa kusimamia taasisi zilizo chini yake.Mimi sina mgogoro na yeyote
  8. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Sina ugomvi na mtu yeyote na siwezi kuajiriwa hapo mimi ni darasa la saba.Nisamehe kama nimeegemea ila nina uchungu na maisha kupotea kienyeji
  9. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Nina hasira kwa kuwa watu wamekufa! mtu kufa kwa uzembe hakuna mbadala wa uhai
  10. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Hospital ya Selian Arusha(ALMC) ni hatari kwa maisha ya binadamu! Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma...
  11. M

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
  12. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Kodi inakusanywa kwa maelewano,nakushauri usome barua uelewe msingi wa malalamiko
  13. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  14. M

    Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

    Jumla ya orodha ya vitabu nilivosoma mwaka 2020 1. Bibilia Takatifu(sijaimaliza lakini nakisoma kila siku kama sehemu muhimu ya chakula cha kiroho) 2. Mossad (Moja ya vitabu bora kabisa katika Nyanja za Operesheni za Kijasusi katika historia ya Taifa la Israel 3. Tough times never Last but...
  15. M

    Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi Hakimu...
  16. M

    Wanachama 20 wa CHADEMA Arusha waendelea kusota gerezani Kisongo

    Wanachama 20 wa CHADEMA wanaendelea kusota rumande katika gereza la Kisongo baada ya wakili wa serikali mkuu Bwana Chavula, kueleza kuwa mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi haina mamlaka ya kutoa dhamana. Itakumbukwa kuwa kwa nyakati tofauti katika maeneo na tarehe tofauti,kuanzia Oktoba 26,27 na...
  17. M

    Mgogoro stend ndogo Arusha: Katibu wa wapangaji atishiwa maisha

    Mgogoro wa vibanda stend ndogo umechukua sura mpya ya kutishiana maisha.Eneo la Stend ndogo limegeuka uwanja wa vita kati ya wapangaji na wajenzi kwa upande mmoja na wafanyabiashara wapangaji na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwa upande wa pili. Taarifa za uhakika ni kuwa Mkurugenzi ameamuru...
  18. M

    Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Ni imani yangu kuwa sheria itachukua mkondo wake
  19. M

    Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Ilianza wizi wa Kaliua Ikaja wizi wa Mafuta Ikaja Utekaji na Unyanyasaji wa mwalimu!ukisoma hizo barua hapo juu unaona nia OVU ya huyo Mkurugenzi dhidi ya mwalimu huo! Unampandisha cheo,kisha unamshusha cheo bila sababu kisha unamrejesha pale alipokuwa awali hayo ni mateso makubwa ya...
Back
Top Bottom