Lecturer mmoja alitwambia, bora ukapata gentleman GPA (2) lakini uweze kuitetea, kuliko first class ambayo ukienda interview, kila mtu anabaki anashangaa kama vyeti ni vyako ama la
Katika hii video, kuna hiyo Certificate of Incorporation imeonekana, nadhani ni feki. Wenye certificate hizi mpya za tarakimu 9, angalieni saini, mlinganishe na hii ya kwenye hii video
Ni kubadili mfumo wa maisha, kuzingatia ulaji wa mlo kamili (balanced diet), na kuwa utaratibu wa kufanya mazoezi (physical exercises). Haya ni muhimu sana kuweka sawa hormone zao
Wengi sana wana tatizo la hormone imbalance. Hii inawaletea changamoto nyingi sana kuanzia kupata ujauzito wenyewe. Wanafika kipindi cha kujifungua watoto hawajageuka kutanguliza kichwa. Hapo operation lazima. Tatizo la hormone na chanzo kwa sehemu kubwa
Tatizo wanawaza kwa Kiswahili na kuuliza swali kwa Kingereza. Ili mtu uweze kuwa fluent katika lugha ni lazima unapohama kuzungumza lugha A kwenda lugha B, mawazo yako nayo yawe katika mtiririko wa lugha B
Huwa naona pale TRA watu wana hiyo mikataba ya Safari City wakilipia ushuru.
Ila NHC walipewa onyo kwamba wasiwe na miradi mingi isiyomalizika, waweke focus kwenye mradi mmoja na kuumaliza, kisalha wahamie mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.