Search results

  1. M

    Alex Msama atimua Mhariri mtendaji (Dira) fisadi

    Sio kweli msama hajamfukuza mulinda kazi mimi naujua ukweli wote hata kama mulinda anatumia na mafisaid. Huyo mullinda najiaharibia mwenyewe anatumiaka vibaya na msama amekuwa akimbeba muda mrefu na yeye mullinda kama mhariri mtendajia aliandika makala chafu sana ya kumtukana kamanda charles...
  2. M

    Alex Msama atimua Mhariri mtendaji (Dira) fisadi

    habari za kutolipana mishahara ni tatizo kwa media house karibu zote kwani yeye msama nani asidaiwe?serikali yenyewe na mihela kibao inadai sembuse Msama?
  3. M

    Chanzo cha foleni Dar es salaam, serikali inahusika

    ni kweli kwa mfano mbezi asubuhi trafiki wanasimamisha malori yasiingie mjini ili kuepuka mafoleni lakini matokeo yake wanayasimamisha kienyeji wanachukua elfu 2 mbili za malori na magari ya maji na inakuwa usumbufu badala ya kutatua foleni wanaizidisha
  4. M

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Jamanii msimlaumu rais wetu JK, ilaumuni na cdm ambayo wameambiwa wasubiri hawakusikia. Kujerukiwa kwa polisi hakumaanishi cdm ndio wameua polisi wanaweza hata kumtoa mwezao kafara ili watimize lengo lao au ilikuwa bahati mbaya. Tusubiri taarifa rasmi. Napata tabu na kauli aliyoitoa slaa siku...
  5. M

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Rest in Peace Daudi Mwangosi. Hawa polisi wetu hatuwaelewi kwani bomu la machozi linaweza kumuua mtu au wametumia silaha za moto? Tunaomba tupewe taarifa kamili inaonekana polisi wamezoea kuua na kila mara inapotokea hakuna taarifa yoyote ya maana au kufukuzwa kazi kwa polisi aliyehusika. IGP...
  6. M

    CUF hiki chama bado kipo? sikisikii kwenye katiba, Sensa, vitambulisho wala mikutano

    Cuf hamna chama tena hapo toka maalimu seif apewe umakamu wa rais mambo yamevadilika na ameshakuwa mccm alichokuwa anakitaka ni uongozi ambao kashaupata. Hamad rashid nae cuf wamempiga chini nani tena kabaki cuf? Labda lipumba peke yake ndio mwenye akili kidogo cuf wengine waliobaki ni mamluki.
  7. M

    Dk Ulimboka, kwanini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?

    Jamani kila mtu anaupenda uhai wake. Kwa kitendo alichofanyiwa sijui hata kama ni wewe ungekuwa na ujasiri wa kuendeleza mapambano. Tusubiri hiyo ripoti yao ambao hatujui itatoka lini tuone. Ila tunaomba na kwenye hiyo ripoti watuambie yule rama aliyekuwa ni usalama wa taifa yuko wapi na...
  8. M

    Barua Kwa Freeman Mbowe

    Mbowe hajafaa kuwa rais. Kama anashindwa kuendesha ofisi yake tu ndogo ya gazeti la tanzania daima na ofisi nyingine moshi ambayo imemshinda hadi kaifunga kwa kuwa alikuwa halipi mishahara watu wakaacha. Kwa haya machache tu mbowe hafai hata kidogo kuwa rais. Na mengi sana ya mbowe ambayo...
Back
Top Bottom