Search results

  1. S

    Mashine ya kumwagilia ile ya kurusha maji juu

    Matikiti maji hayahitaji maji mengi saana na ukitaka kutumia njia ya umwagiliaji inahtaji uwe ba initial capital kubwa Kwa eneo la heka tatu na ukitaka umwagilia kwa kutumia sprinkler method inayomwaga maji 6*6 m itakubid utumie jetgun (boom sprayer) ambayo inahtaj pump yenye uwezo mkubwa...
  2. S

    Tafadhali naomba kujua,Mbegu za mwanaume huchukua muda gani kukomaa!

    Speed na wingi inategemea maturity ya sperm so inashauriwa kukaa siku mbili au tatu ili mbegu za kiume kuwa matured
  3. S

    Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

    Sina hakika saana kama huyo ni mke wako wa ndoa na si rahisi kumshitaki mahakaman na kesi ikawa simple chakufanya mweleze mkeo kwanin ulifanya hvo na jitahidi kumshirikisha mkeo kwa kila kitu
  4. S

    Continuing student SUA soma hapa

    Academic year 2014/2015 will start on 20th October instead of 13rd october
  5. S

    Fedha za field zimekuwa majanga !

    "Ukiwa una uhakika mchana utakula asbh kiporo unaweza kumwaga" hii ndo ilowakuta wanafunzi baada ya kujia hela ya field ipo wakatumia iliyokuwepo Japo nao wanamakosa lakini hebu turudi kwenye ukweli nchi haiwezi kukosa pesa lijue hilo make BUNGE LA KATIBA linaanza ndo utajua hela ipo au la.na...
  6. S

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    Haya canop kwenye kikao nilikuwepo hadi pont ya mwisho.
  7. S

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    Umesoma engineering ya wapi hiyo, leo ukimuuliza mtu wa MUHAS atakwambia sua kuna VET sasa engineer yupi ambaye hajui SUA kuna engineering. kwa taarifa yako ni kwamba ilianzishwa mwaka 1974.
  8. S

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    If you have no data don't comment, fatilia kwanza ndo uanze kucomment make kuna watu mnakulupuka tu kukoment kabla hujafikilia.think twice kijana
  9. S

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    Kama hujui kitu uliza ili uelimishwe, Tanzania nzima hakuna chuo chochote kinachotoa wahandisi kilimo isipokua SUA tu. We unayeshangaa may be upo form one make mtu akiwa form one mawazo yake yanaishia o level.
  10. S

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    Hawa ndo wahandisi ambao kwa namna moja ama nyingine wanaumia sana kuona haki haitendeki kwa mnyonge, maamuzi ni kuonana na dvc asbuhii hii kama hana jibu cjui jitakacho endelea. where there is no vision people perish
  11. S

    Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

    poleni sana wana mzumbe
  12. S

    Big result now( BRN)WALIOFELI FOMU "TWO" RUKSA KUENDELEA FOMU "THREE".

    Tanzania tunamukufuru Mungu hatuwezi kuwalea watoto katika njia hii mbovu iliyojaa siasa tupuu, ambayo inameza destiny ya future generation
  13. S

    Dkt. HAMISI KIGWANGALLA NDANI YA CHUO CHA SAUTI MWANZA KESHO 18 JANUARY 2014

    Muulizeni maswali ya kuhoji mstakabari wa sera ya elimu nchini
  14. S

    Je ni haki egm na pcb wasome bioprocessing and postharvest engeneering.?

    Huyo head of departiment katoka wapi anayekwambia eti mwaka wa tatu wapo wa4 ni nan? may be hujui acha ni kwambie kuna kozi hata myu aliyesoma hkl anweza faulu eg AE111, dogo piga shule jmoc una paper ya kukupima uwezo wako sasa kuwa makini ni creditless na ni lazima uisome
  15. S

    Sua is not an eaSy thing..!!

    Nani kakwambia pass mark ni 40 hayo yako may be unasoma LITI
  16. S

    Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

    May be hawajui maana ya great thinker wapowapo tu
Back
Top Bottom