India. (News of The South) -Indian company, Techno Brain, which has a massive footprint in the technology and software industry is feeling the heat after fierce rival, Twenty Third Century Systems (TTCS) – a pan African major, entered the fray, securing coveted tenders to upgrade government...
Mbunge Lema na Madiwani wa Chadema Arusha wapata kiwewe.
Baada ya Dc wa Arusha Bw. Mrisho Gambo Kuunda tume ya vyombo vya dola ya kupitia mikataba pamoja na vibanda vya kwenye masoko na stendi Jijini Arusha inasemekana jambo hili limewapa kiwewe Lema na wenzie. Taarifa za kina zinaonyesha...
Mkuu thanks,
Tatizo hajajieleza vizuri dhumuni la yeye kufanya mazoezi au kwenda gym ni nini? kuna kupunguwa, fitness, tonning/ anataka kuwa Shredded. Hapo naweza kumshauri gym gani ingemfaa kwa mfano tu, Rio ilioko LPAF building opposite PPF towers wako vizuri sana kwa aerobics, salsa na...
"Comedian Joan Rivers has died in a New York hospital, her daughter says." -- CNN CNN.com - Breaking News, U.S., World, Weather, Entertainment & Video News
Wanachokifanya Hawa wahuni unapeleka gari na card original then una sign mkataba wa kuuza usipokuwa umelipa Kwa kipindi mlichokubaliana.... Huo ni utapeli. Ukiweka Gari Kama dhamana credit policy says that u should pledge the chattel mortgage Kwa kuacha card Yako original ya Gari na ukishindwa...
BOT wanaanza ku monitor hizi micro finance very soon na zote zitafungwa Kwa vile hazifwati taratibu Za kukopesha watu. Nyingi sio hii siifahamu ni Za kitapeli Kwa mfano easy finance. Unaweka Gari kama dhamana siku ya kulipia uchukuwe hapatikani hewani ukienda unakuta wameuza wanakwambia umechelewa.
Mshana mimi sikupi pole wewe ni mfanya biashara wa kati SME ambaye hujui matumizi sahihi ya taasisi au mifumo ya fedha kwa nini hukuwaambia wa deposit bank then wakupe deposit slip? million 4 ulizihesabu kwa mkono? ungekuwa na counting machine inauwezo wa ku detect fake notes. Ulishindwa hata...
Kama huu sio uzushi sisi CHADEMA kwa akili zetu timamu tunapinga maamuzi haya kwa vile hawakutuhusisha na ni ya pupa mno tutazunguka nchi nzima na chopa kushawishi maandamano.
Egypt's government has called on US authorities to show restraint against protesters in Ferguson, Missouri.
It said it was "closely following the escalation of protests" after the fatal shooting of an unarmed black teenager by a white policeman on 9 August.
The statement echoes US President...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.