mi ndugu yangu nakuongezea linanofurahisha sana wanasiasa wetu wanaposema rushwa haramu rushwa haifai hivi wanajiona kwenye tv na magazeti pale wanapochukuwa wao wanakuwa watu wengine au temp wanajigeuza @~:@~:@
HAKUNA MAJADILIANO KABISAAA WAZIRI NA IGP WAJIUZURU %&^£$*&(:rant:HALAFU TUONGELEE MENGINE JK COME ON KANUMBA MBIO Mbio mpaka kitoto cha watu kinasota jela bila ya sababu, haya nimauaji haa tamko wala waziri wako na igp wao kujiuzuru pls hata ibada zak hazifai njoo bar tulewe tu
jk unachezewa mchezo na jamaa zako wa zaman ndani ya hilo chama lako wake up hao wanaokuchukia ndio wenye maslahi ya kibiashara na voda wamekupelekesha kwenye hio bila ya kujijua I HATE MUCHUZI BLOG coz never tell or show mr.p the reality kama humu ndani
Nimewachukia polisi kishnzi lakini hii inatokana na viongozi ndani ya ccm hawa polisi wanatumiwa kundi fulani la wanafiki hata ukisikilza habari zao utawajua na kuanzia leo siifungui tena blog ya michuzi ni ya kinafik kwa sababu jk na wapambe wake ndio blog wanayoiangalia hii habari haipo
Tumechoka walopitisha hizo dill n kutuachia uchafu wao wanakula kuku kwa mrija namaluku yao ya dezo kibao eeh mwenyezi mungu nipe nchi hii kuiongoza kwa miezi sita tu
jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza matatizo tunayoyaona sassa mji moja mameya sita kuna mkuu wa mkoa mkurugenzi nae ana sauti waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.