Search results

  1. mwanakwetu

    GPL na Clouds FM waandaa Tamasha la Kuhamasisha Uzalendo

    Global Publishers kwa kushirikiana na Clouds group wanaanda tamasha la kuwahamasisha wananchi kuwa wazalendo kwa kile walichodai kuchafuliwa kwa hali ya hewa kulikosabaishwa na maandamano na kauli za wanasiasa dhidi ya serikali hivyo wananchi kupoteza imani kwa serikali yao. Tamasha litafanyika...
  2. mwanakwetu

    Shibuda ni mbunge wa chama gani?

    Najua wapo watakao shtushwa na kichwa cha habari na kudhani mm ni kilaza kwa kuuliza swali ambalo lipo wazi. Nimeuliza maana nimeshindwa kumuelewa John Shibuda aliyekuwa kada wa CCM na baada ya kuchakachuliwa na kura za maoni akakimbilia CDM. Kinachonishangaza ni mwenendo wake kama mwanachama na...
Back
Top Bottom