Search results

  1. TOFU

    Tujifunze kuwapongeza watenda haki na wafuata shEria kama Salum Rashid Hamduni

    Wengi wamepewa wajibu huo lakini hawajatekeleza majukumu yao ipasavyo badala yake wametizama jukumu lile kama fursa kwao na maisha yao ..!! Japo bado naheshimu sana mawazo yako Mkuu[emoji120][emoji4] Niombe radhi kwa mara nyingine tena .. Si muandishi mzuri wa makala Apo nimeji switch hadi...
  2. TOFU

    Tujifunze kuwapongeza watenda haki na wafuata shEria kama Salum Rashid Hamduni

    Mungu ni mwema wana jamvi .[emoji120] Nawasalim Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kuwasilisha uzi huu mahususi nikimlenga moja kwa moja Man of the match POLISI SALUM RASHID HAMDUNI. Kwa mara kwanza kabisa nialianza kumfahamu polisi huyu pindi alpokuwa RPC Mkoani Kilimanjaro. Alishuhulika...
  3. TOFU

    Msanii Hussein Machozi anayeishi Italia adai watu weusi wakiugua corona hawatibiwi

    Mwambie arudi nyumbani kumenoga ... Uku dawa imeshapatikana maana Ummy kasema wale wooote wamepimwa wameonekana Positive ..!! (KAMTAJA KWA JINA MGONJWA WA KWANZA TANZANIA) Sasa sijui positive ndio nini [emoji848][emoji848][emoji848] Ila nimeona wanajipongeza kwa kanzi nzito...
  4. TOFU

    RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    Ninachompendea Mzee Baba hana rafiki wa kudumu ... Hakika nawaambieni iko siku huyu bashite huyu atatolewa kafara na Baba mchana kweupee ili kupata mileage zake za kisiasa ...!! Mda hausemi uongo ... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. TOFU

    Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

    Huna tofauti na Mwanamke aliejiweka kitanzi cha njiti mkonono kuzui kupata ujauzito lakini anakufata mwanamke mwenzako akitaka ushauri kwako na yeye anataka kujiweka njia ya uzazi wa mpango kama yako na wewe unamwambia ni hatari inasababisha maradhi lukuki ilhali wewe umejiweka ...!! Acha roho...
  6. TOFU

    Baba kamuacha Mama, kaangaika na kupata maambukizi, kaugua mama kamuudumia kapata nguvu na kutaka kuendeleza mahusiano na Mama, Mama kagoma.

    Wakuu nawasalimu kwa heshma na taadhima ... Nianze kwakusema Baba alimuacha Mama na kuamua kuwa kijana wa Mambo mengi Katika maangaiko yake kwa bahati mbaya akapata maambukizi ya VvU na kupelekea kuugua sana Alipoenda kucheki afya aligundua tayari ni muadhirika wa UKIMWI Ilhali Mama hakuwa...
  7. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Sio X tu mkuu ila ninamtoto kabisa ila nimeweka utaratibu kwenye Shule husika.. Nalipa ada mwaka mzima... Bima ya mtoto ipo .. nikitaka kumuona mtoto namfata Shuleni . Sina mawasiliano na Mzazi mwenzangu kabisaa ... Nimeamua kujenga mazingira magumu ili nisimkwaze mke wangu .. Taarifa za mtoto...
  8. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Mkuu wangu asante kwa Ushauri ila bado siamini kuoa mwanamke mwenye mtoto kama ni dhambi... Kwa sisi ambao tumepevuka kiakili sidhani kama naweza kusumbuana na vitoto vya kidacho cha 4 ... Mimi niliangalia mwanamke ambae tutaelekezana tutakatazana na kuambiana ukweli... Mwanamke ambae anajua...
  9. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Mkuu kabla ya kuingia kwenye Ndoa nilifundishwa Ndoa ni uvumilivu na kusameheana ... Histoshe ndoa ya kikristo ni moja tu mpaka kufa ... Sikatai ushauri wako wa kudukua mawasiliano ila nikishapata ninachokitaka alaf nifanyaje sasa... mimi naona ukimchunguza bata sana hakika uwezi kumla so ivyo...
  10. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Mkuu ukweli ni kwamba hakuna mtu mbea kama mke wangu... Hata akinyonga mtu nahakika ataniambia tu .. Hivyo basi sina shaka sana na alichoniambia ... Alaf mimi sio mtu wakufatilia sana Mwanamke maana mwisho wa siku nitajiumiza tu na kuacha kufanya mamho ya msingi .. Furaha usipoitafuta mwenyewe...
  11. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Mkuu najarubu kutafakari ushauri wako .. inamaana Mwanamke mwenye mtoto afai kuolewa tena... Istoshe mke wangu huyu hajawai kuwa na ndoa na uyo Mzazi mwenza.. Swala la kuchunguza mpaka kufunga na ndoa halikuwa ni swala la siku moja .. Vingi nilichunguza na nikajiridhisha .. Wasiwasi wangu ni...
  12. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Ukweli ni kwamba mawasiliano mengi huwa kwa issue ya mtoto tu.. Kama kunamengine kiukweli sijawai kuyaona .. Huwa nayafumania kwenye simu ya mke wangu maana tunatabia ya kushare simu..
  13. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Kabla ya kufikia uko Mkuu ndio maana nikaja kwenu wakubwa zangu maana subra na hekima ni bora zaidi kuliko gunia la mkaa ... Asante kwa Ushauri
  14. TOFU

    Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    Tatizo mkuu tumeshafunga ndoa na tayari tumejaliwa mtoto wa Kike ... Hana shida tatizo ni hayo mawasiliano tu mkuu... Naweza kumpiga marufu Naweza peleka mtoto kwa Baba ake Lakini naisi bado naitaji ushairi mzuri na wenye busara ili ndoa yetu isije kupata doa siku za mbeleni maana mimi na mke...
Back
Top Bottom