Search results

  1. N

    Waandishi wa habari Iringa wamgomea Robert Manumba!

    Tutatue kwanza msingi wa tatizo, ndiyo tuje kwenye tatizo lenyewe, la sivyo, kuongea upuuzi, eti mara Dailynews halisomwi, haitusaidii. Daily news lenyewe, huenda hata wewe mwenyewe na kadigirii au kadiploma kako ka Gentleman class huwezi kulisoma na kulielewa. Chanzo cha watu kufa ni ubishani...
  2. N

    Barua Kwa Freeman Mbowe

    Duuuu. Hakika unataka kutufanya hatuijui Marekani wala UK. Haya, tuambie hawa wataalam wanaojipanga kuja kuisadia Chadema wako kona zipi na wanafanya nini? Hivi umewahi kuhudhuria mikutano ya Chadema Marekani na UK? Kwa ufupi, Tanzania hakuna upinzani, ni njaa tupu. Dr Slaa ni dhaifu kuliko hata...
  3. N

    Operation VUA GAMBA VAA GWANDA imeishia wapi?

    Siyo uongo, ni ukweli mkuu, ila wanaojiunga na CHADEMA ni wale wale waliokuwa CHADEMA, siyo wapya, hivyo operation yao ilitakiwa kuitwa VUA GWANDA KWA MUDA, KISHA LIVAE TENA ILI KUWATISHIA CCM. Huku UK wamewavisha Magwanda Wakenya, eti kuongeza idadi, hii ni usanii usio na manufaa, kwani...
  4. N

    Utafiti: Waislam walisusia sensa kwa asilimia 60%

    TUANZISHE TENA KIJIJI CHA NGENGEMKENI MITO MINGI Kwa kuwa umenihakikishia kuwa waliogomea sensa ni wasomi, nachelea kusema kwamba tuanzishe tena kijiji cha Ngengemkeni Mitomingi. Wale wasomi waliosoma kitabu cha penzi kitovu cha uzembe, wanajua maudhui ya kitabu hicho, moja ya maudhui ni ya...
  5. N

    Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

    hata msiba wa ccm, Chadema watakwenda. Siasa siyo vita. Kama Zitto ni Msalti, anaweza kusalti hata kama hatakwenda na JK.
  6. N

    PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

    Hivi ulitaka wafurike hivi?? Unafikiri dc yote ni wa tz?? Au unadhani wanazaliana kama wa-tz?? Una uhakika wana uroho wa vitumbua hawa??
  7. N

    Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

    wANAOHITAJI DR. ULIMBOKA ASEME UKWELI ALIONAO, WAJIORODHESHE HAPA CHINI, TAJA MAJINA YAKO 3, ANUANI YAKO NA SHULE ULIZOSOMEA. UKIWEZA, BILA KUDANGANYA, DR ULIMBOKA ATAFUNGUKA MAANA UTAKUWA UNAMAANISHA KWELI. ANAEPENDA MWENZIE AWE JASIRI, AANZE YEYE KWANZA KWA KAUJASIRI KADOGO HAKA.
  8. N

    Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

    Mmmmmmmmh. Huenda ccm wakakiona cha moto mwaka 2015, lakini si kwa hili la mbowe marekani. Tatizo ni kwamba watanzania tukisikia marekani tunachachawa. Ebu weka picha hapa halafu nikwambie huo mkutano ulifanyikia wapi na ni taifa gani zaidi walihudhuria. Hivi unadhani kila mweusi aliyepo...
  9. N

    Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanzania

    Kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ktk kumruhusu mwekezaji kuwekeza, siyo Company Profile tu, na si kuvutiwa na kiasi cha pesa eti ni matirioni mangapi. Waziri kapewa dhamana hiyo, aaminiwe, kazi anayoifanya anaijua vema. Au unataka kusema wewe unajua kuliko yeye? Je waweza kutuambia tungefaidi...
  10. N

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Hivi Uk umefika ukaona tofauti ya wa-Uk na sisi? au unasoma tu vijalida? Mbona unapenda kuangalizia kila kitu. Angalia usije kopi sumu maana si majibu yote ya kuibia ni sahihi na usipende sana kuangalizia.Tafuta mambo ya msingi ya kuiga, hili sasa unalitaka lina manufaa gani? ebu tudokeze pande...
  11. N

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Udini utakimaliza kizazi hasa kijacho. hapatatawalika, chama chochote hakitaweza kutawala, tusipige kelele kwa jazba, hii ni hatari sana maana kamwe Tanzania haitaweza kuwa nchi ya dini moja, tutachapana bakola sana, hakuna atakaeshinda na hivyo tutakuwa na vita ya kudumu na tutaandika historia...
Back
Top Bottom