Search results

  1. mangusha kitoi

    Nitakavyomkumbuka JK

    Chuo cha UDOM tunaangalia majengo au taaluma? Mleta hoja kaeleza mambo 10 je hayo mengine hayasomeki?
  2. mangusha kitoi

    MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

    Jamani usimfannyie mtu tathimini wakati wa raha........msubirie kipindi kama hiki utamjua tu!
  3. mangusha kitoi

    Simba v/s Azam ngao ya hisani

    Asante sana wadau kwa kutujuza. Hata hivyo sikuwa na pressure sana kwani mtoto halali na pipi mkononi
  4. mangusha kitoi

    CRDB Mobile na CRDB internet Bank sio salama kwa pesa zetu.

    Acha ushamba wewe ulizaliwa wapi? Hiyo password nilitumiwa nilipoingia katika email yangu nilikuta ujumbe toka crdb bank. Wakati wa kufungua nikadaiwa password nikaweka hiyo niliyotumiwa kwenye......kitu hicho kikafunguka kumbe ni statement yangu. Nafikiri ninkwa ajili ya usalama wa statement...
  5. mangusha kitoi

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Mi simo katika maneno ya police Mungu nisamehe kama nimeyasikia kwa bahati mbaya kwani halikuw kusudio langu kusikiliza uongo ule
  6. mangusha kitoi

    JK NYERERE: Ukishakula nyama ya mtu hutaacha bali utaendelea kuila tu

    Watanzania wenzangu, tukio la Mafinga huko Iringa halijatokea kwa bahati mbaya, kama kuna mtu amefanikiwa kuona picha za polisi wakitoa kipigo kwa Mwangosi utagundua lile kundi la polisi lenye silaha za kivita, mafimbo makubwa na mabuti yao walikuwa ba jitihada za ziada katika kuhakikisha ndg...
  7. mangusha kitoi

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Watanzania tuache utani, Hawa Police tunaona wanafanya mambo mazuri hadi siku watakapoua mkeo, mumeo, mtoto wako, shemeji yako, baba yako, mama yako nk. Jamani tatizo hapa ni police na siyo raia. Hawa raia wanakua hawana chochote tena wapo kwenye tawi lao. Je ingekuwa CCM wangewafyatulia risasi...
  8. mangusha kitoi

    Bw. Lowassa, A Bitter Pill to Swallow

    Ni heri kuwa na "mtuhumiwa" mwenye uwezo wa kufanyq haya hapa chini kuliko kuwa na mtu "asiyechafuka" lakini goigoi. -mwenye maamuzi -mwenye kujua tatizo letu -mwenye solutions za matatizo yetu -mwenye uwezo wa kujenga hoja -mwenye udhubutu Bila hivyo nchi itakuwa na viongozi wasafi wanaojua...
  9. mangusha kitoi

    Tunamshukuru Rais kwa Kuongeza Muda wa Sensa

    Kweli Watz hatujui tunatoka wapi tunakwenda wapi na dunia iko wapi na inakwenda wapi!!! Hivi ikijua waislam wako idadi fulani ndo inaongeza nini? Kwa hiyo inasaidia nini kumaliza umaskini wetu?
Back
Top Bottom