Search results

  1. Sokomoko

    Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

    Asalam alaikum, Habari za masiku ndugu zanguni. Naanza kwa jina la Mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake! mwenye kujua ya dhahiri na ya siri (yaliyo mioyoni mwetu) na rehma zimfikie kipenzi chetu Muhammad SAW. Je Ponda ni nani? Mimi awali nilikuwa najua Ponda na...
  2. Sokomoko

    Ushauri wangu wa bure kwa Zitto Zuberi Kabwe

    Habari yako Mheshimiwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mahesabu ya umma, nakuandikia waraka huu kwa kuwa mimi ni mmoja wa huo umma ambao unasimamia mahesabu yetu. Nimefatilia hoja uliyoiwasilisha bungeni michango ya wabunge na hitimisho la hoja yako. Uliazimia kukusanya sahihi 70 kutoka kwa...
  3. Sokomoko

    Nafunga ndoa natawakali

    Salaamu zangu natuma, zifike kila mahali, Tunaziomba rehema, za Mungu zituwasili, Hapo siku ya Qiyaama, tuwe chini ya kivuli, Nafunga ndoa natawakali, naoa mke Muumini. Naoa mke Muumini, nafunga ndoa natawakali, Mke aloshika dini, na kila siku kuswali, Hijaab ipo kichwani, afunikae wote...
  4. Sokomoko

    Dokta Kitila Mkumbo usikimbie hoja mzee wangu

    Baada ya mdau sulphadoxine kuleta upupu ufuatao. Mheshimiwa Dokta Kitilla Mkumbo akamjibu........... Nilipomwona Dokta wa ukweli yupo online na alikuwa akifatilia mada nikamuuliza Mheshimiwa Mkumbo. Japo mimi ni mtanzania lakini sina usahaulifu kama wengi miongoni mwetu tulivyo...
  5. Sokomoko

    Hadith ya punda, DOWANS na Symbion

    Hapo zamani kulikuwa na kijiji na katika hicho kijiji kulikuwa na punda aliekuwa akitumiwa kubeba mizigo ya wanakijiji. Wenye kutaka kwenda kusaga, kuchota maji, kubebea mazao walimkodi kuwafanyia kazi zao. Mwenye punda akataka kumuuza na kuachana na biashara ya punda yule. Wanakijiji wengi...
  6. Sokomoko

    NSSF wapigwa chini, Kiwira wapewa Wachina; Ngeleja abebeshwa lawama

    Waziri wa NIshati na Madini William Ngeleja akiwa bungeni, jana wabunge walimshutumu kuwa tokea ateuliwa katika nafasi yake hakuna alichokifanya katika wizara yake Kizitto Noya na Habel Chidawali, Dodoma WABUNGE wameibana Serikali na Shirika la Umeme nchini(Tanesco), wakitaka majibu ya...
  7. Sokomoko

    Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

    Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ni ule wa kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na chama cha kikristo cha ujerumani, christian democratic union (cdu). Kutokana na urafiki huo, cdu...
  8. Sokomoko

    Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikristo

    Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni ule wa Kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na Chama cha Kikristo cha Ujerumani, Christian Democratic Union (CDU). Kutokana na urafiki huo, CDU kimesema...
  9. Sokomoko

    Unafiki wa wanaJF inamaana hamumfeel mchizi kama anavyowafeel?

    Hivi ina maana mliotajwa hapa mamumfeel huyu jamaa? kweli ubinadamu kazi sie ambao hatujatajwa tunaona unafiki wa waliotajwa Shosti kafungua thread https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/111177-shossi-uko-wapi.html anamuomba jamaa arudi nyie mmeipotezea duh! Mohammed...
  10. Sokomoko

    Moto wa katiba mpya wazidi kushika kasi, KANISA KATOLIKI WAJITOSA,

    Geofrey Nyang’oro HATIMAYE Kanisa Katoliki nchini limejitosa rasmi katika mjadala wa katiba mpya likisema kuwa linaunga mkono mchakato huo, lakini likihadharisha kuwa mchakato huo unahitaji subira, weledi na ujasiri wa kisiasa kukubali mabadiliko. Hayo yamo katika tamko maalumu lililotolewa...
  11. Sokomoko

    Dk Slaa: Nyongeza ya mishahara kiini macho

    Salim Said, Kwimba MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema kwamba nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi iliyofanyika hivi karibuni ni kwa ajili ya kutafutia kura na hakitakuwapo kama CCM itarudi madarakani Oktoba mwaka huu.Alisema kiwango cha fedha zilizoingizwa katika...
  12. Sokomoko

    Wananchi wang'ang'ania wakabidhiwe polisi aliyeua kwa risasi

    Brandy Nelson, Mbarali SAKATA la polisi kuua raia kwa risasi katika kata ya Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya limeingia katika sura Mpya baada ya wananchi kumtaka Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Kosmas Kayombo kumkamata na kumpeleka kwao askari polisi aliyemuua mwenzao kwa risasi, ili...
  13. Sokomoko

    Polisi wamtelekeza mtoto waliyempiga risasi

    Editha Majura POLISI wanatuhumiwa kumtelekeza mtoto Juma Hamza (12) waliyempiga risasi na hivi sasa hali ya mtoto huyo ni mbaya kiasi cha kumlazimu kutolea haja kubwa katika kidonda kilichotokana na jeraha la risasi hiyo.Baada ya kupigwa risasi, utumbo ulitoka nje na sasa sehemu ya utumbo...
  14. Sokomoko

    Modernization" of Girls

    Modernization" of Girls 1970 : Love me, but don't touch me. 1980: Touch me, but don't kiss me. 1990: Kiss me, but don't do anything more. 2000: Do everything, but don't tell anyone. 2010: Do everything, otherwise I will tell everyone that you cant do anything. .
  15. Sokomoko

    Msuya: Sijui kwa nini tuilipe DOWANS!

    WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amezungumzia sakata la Kampuni ya Kufua Umeme wa Dharura ya Dowans akieleza kuwa mpaka sasa hafahamu kwa nini Tanzania inapaswa kuilipa fidia kampuni hiyo ya kigeni inayodaiwa kuingia nchini kitapeli. Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili...
  16. Sokomoko

    Video iliyonitoa taka masikioni.

    YouTube - The naked truth (part_1of12) You should watch this
  17. Sokomoko

    On top starts with "B" and bottom "P"

    Everything on girls upper starts with "B" Blouse, Bra, Bikini, Boobs. And lower with "P" Pants, Periods, Panties, Pussy That's why mostly men get BP problem.
  18. Sokomoko

    Dar Gizani thanks to Tanesco.

    WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili. Hivi sasa ni saa 6 usiku tangu umeme ulivyokatika saa mbili kasoro asubuhi haujarudi na wala hauna...
  19. Sokomoko

    Je huu ni mwanzo au mwisho wa CHADEMA?????

    Zitto njia panda Send to a friend Monday, 13 December 2010 23:40 0diggsdigg Geofrey Nyang’oro CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kupima mwenyewe kama aendelee na wadhifa wake wa naibu...
  20. Sokomoko

    Toa tafsiri ya picha hii

    Wadau hawa mapriest wanafanya nini?
Back
Top Bottom