Search results

  1. swamy

    Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Sawa, ila tuwape kina nani sasa mzee baba, sbbu wengine tunaogopa watasaini makubaliano na LGBTQ...[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
  2. swamy

    Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
  3. swamy

    Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Ndio serikali ni jukumu lake kuwapa wananchi wake maisha mazuri na elimu, kuwalisha watoto shule sio jambo geni, ikiamua inaweza.
  4. swamy

    Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

    HIII IMEKAA SAWA KABISAA [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
  5. swamy

    Niliacha kazi kumsaidia aliyewahi kunisaidia na hata hatukuwahi kufahamiana kabla

    Imependeza sanaaa, imekaa poa kabisaa. Nimeikubali sanaaa
  6. swamy

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. swamy

    Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

    Poleeee baba Ameshinda tayari...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. swamy

    Maji ya kunywa ya Canadian yameanza kubandikwa nembo ya TRA kama kilevi toka nje, yapanda bei

    Vizuri walipe KODI, tujengewe miundombinu.... safi sanaaaaa, bila kulipa kodi mtapataje maendeleo ya miundombinu mizuri!!! Au mutawahukumu vipi viongozi wenu.... fact.
  9. swamy

    Kwanini Wanajeshi huagwa kwa gwaride?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. swamy

    Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

    Wewe ulitaka mahakama ifanye nini? Iwafunge bila kulipa walichoiba au walipe wasifungwe.. hapo nashindwa kukuelewa ukisema wanadhulumiwa...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  11. swamy

    Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

    .... sababu hauzingatii muda!!!!!, sisi wengine accounts zetu zimefungwa sababu hatuna muda wa kwenda bank.. mambo yote chap chap kwenye simu... @ wajasiriamali wa ukweli.
  12. swamy

    Je, ni Mambo gani yalikuwa ya kawaida sana miaka ya 1980s - 1990s ambayo Vijana wa sasa hawawezi kuyajua?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakumbuka tukiwa tunaoga mtoni, huku kwetu kuna mto kulikuwa na sehemu ya kuoga wanawake na wanaume.... mida ya saa kumi jioni kila mtuu anaelekea huko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah. Sahii huo mto hakuna tena...
  13. swamy

    Hongera Wana Manyara

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
  14. swamy

    Tukiwekewa vikwazo, tutanunua wapi vipuli vya ndege?

    Hakuna vikwazo wazungu sio wajinga kiasi hicho,,,, Hawawezi kudanganyika na ha watundu wachache... niamini bro.
  15. swamy

    Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Watalipwa watapata hela, matumbo yatajaa, Ndio kuwa makini na wanasiasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  16. swamy

    Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Kasome kanuni zao huko bungeni wacha kukimbila huku kujadili ujinga wako...[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
  17. swamy

    Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    NAJIVUNIA KUTAMBUA WANASIASA ZAMANI SANA NA KUJITENGA NAO...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] MWENZIO MIMI NAANGALIA MAENDELEO SINA CHAMA SABABU SINA MANUFAA NA CHAMA NINA MANUFAA NA MAENDELEO YATAKAYOFANYIKA... HIVYO POROJO ZAO WANASIASA NAWAACHIAGA WENYEWE... MIMI NAPIGIAGA KURA MAENDELEO SIO...
Back
Top Bottom