Search results

  1. M

    Mwigulu Nchemba bungeni: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    huyu muweka mada na mwigulu akili zao sawa.kama mwigulu anaushaid aende mahakaman akafungue kes ugaid dhid chadema:A S angel:
  2. M

    Naomba msaada wa KARO kwa Master's Course

    ongera sana kwa kupenda elim ya juu.mm ni mwalim wa s/msingi nliyesoma msc-hrm mzumbe tawi la morogoro 210-2011 kwa kujlpia mwenyewe.binafsi niliaandaa gunia 100 za mkaa na nkaziuza kpind cha maska pia nlikuwa nmelma alizet hekari 20 zilizonpatia gunia 120 na @ gunia nliliuza kwa...
  3. M

    Chuo bora hiki hapa.....Bonyeza kidude

    chuo bora kpo na ndo maana hata credit za kujiunga na vyuo znatofautiana.usangalie tu kwa mtazamo wa tz, ukienda marekan chuo knachoheshimika au ni bora kurko vyote marekani ni havard university na kna sifa ya kutoa marais wanaoongoza nchi hiyo takriban marais wote wa marekan wamesoma chuon...
  4. M

    Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

    Eti mtoa hoja hivi akitokea mtu amekuja nyumban kwako na kukwambia mkeo ni mjinga, kichaa n..je wewe utamjibuje? kimeo k
  5. M

    Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

    tuwe macho na viongozi wa makanisa wanaweza kutupotosha katika kuwapata viongoz bora.kumbuken miaka ile ya 2005 walitambili rais wa awamu ya nne anaupako wa mungu!
Back
Top Bottom