Search results

  1. the horticulturist

    Tanganyika na Zanzibar kutumia leseni za udereva tofauti

    Assallam Alleykum! Poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtanzania mwenye leseni ya udereva ya Tanzania ila sasa niko kikazi Zanzibar (Unguja na Pemba) kazi itakayoniweka kwa zaidi ya miaka mitatu huku visiwani. Kero yangu leseni yangu ya udereva huku haitumiki nimetafuta kibali cha kuendesha...
  2. the horticulturist

    Msaada kupata android 6 kwa ajili ya samsung galaxy note 4

    Habari za majukumu, Kuna note 4 ambayo ina custom version ya android 5.1.1 hivyo inakataa kwenda android six kwa kupitia OTA, naomba msaada wa kupata official android 6.0.1 ya note SM N910H ili niidownload na kuinstal kwa kutumia Odin. Nimejaribu kutafute online nazikuta ila natakiwa...
  3. the horticulturist

    Katuni si zote zinafaa kutazamwa na watoto,tuwe makini.

    Habari za muda huu. Huwa naona kutowaharibu watoto basi mbali na habari watazame katuni kwenye Tv ila leo hii nimegundua sio zote njema hivyo napenda pia kuwasia wazazi na walezi. Kuna hii nilikua naitazama inaitwa RONAL THE BARBARIAN YA 2011 yaani ina lugha na vitendo vya matusi vingi sana...
  4. the horticulturist

    Msaada: Laptop haipokei wireless network

    Habarini za asubuh . Natumia laptop ya dell nimeinstall windows 10 kwa kutumia usb device(flash) tatizo laptop sasa inapokea signal za wifi kutoka kwenye any windows phone only nikiconnect kwa simu za android au wifi ya ofisini inaconnect but no network inaweka alama ya njano kwenye signal bar...
  5. the horticulturist

    Naomba mnielekeze jinsi ya kufunga dishi la zuku

    Mwanzo imenitoka elfu ishirini kusetiwa tu likamate channel ila nilifunga mwenyewe,sasa nataka nifanye yote mwenyewe maana nimelihamisha upande, nielekezeni tafadhari ili from today niwe nafunga na kuset channels mwenyewe. Natanguliza shukrani
  6. the horticulturist

    Ushauri wa kitaalam nauhitaji juu ya flat screen and music system.

    Habari wana jamvi ,nimevutika na flat nchi 32 niko Arusha,nimepitia kwenye maduka ya Samsung na kwa Benson bei ya nchi 32 flat aina ya samsung na sony ni 650,000 na 700,000 tshs,kwa home theatre nimekuta ni kati ya laki 5 kwa sony na laki 6 kwa samsung. Sasa kabla sijavuta soksi kujikuna...
  7. the horticulturist

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga, matunda, maua, viungo na dawa. Wataalam na wakulima tukutane hapa. ============================================== Kwa kuanza niongelee live barrier, Kiswahili tutasema uzio hai huu huwa ni mtama au ngano inayopandwa kuzunguka shamba kwa...
  8. the horticulturist

    Maumivu wakati wa kujisaidia choo kikubwa

    Napata maumivu wakat wa kujisaidia haja kubwa maumivu kama ya mtu aliekula pili pili nyingi na muda mwingne nawashwa sana,takribani wiki ya pili sasa,najisaidia choo cha kawaida na sio kigumu.Tatizo ni nini na tiba ni nini?Ahsanteni
  9. the horticulturist

    Anatabia za ajabu,natamani nimuache lakini tupo karibu nifanyaje?

    Habari za jioni Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Naombeni ushauri kwa hili na tafadhari msinicrash vibaya,kuna binti ambae nilianza nae kama utani mwisho wa siku nimejikuta nikiingia kwenye dip love nae kiasi nawish awe wangu siku zote,tatizo anavitabia vichache vya ajabu ambavyo...
  10. the horticulturist

    Naomba msaada tatizo kwenye Huawei Y300-0100

    Simu tajwa inasumbua ukiwaiwasha inawaka then inanipa option ya password nikiweka inakubali ila some time inagomea kwenye logo ya huawey other time inawaka kabisa then inaanza kudisplay fail messages za google market, yaani hapo inakua huwezi tumia tena mpaka utoe betri na ukiiwasha inarudia...
  11. the horticulturist

    Naomba mnitumie nyimbo za omary kopa haswa send off kitchen party

    Nimehangaika kwa muda mrefu kuzisaka nyimbo za omary kopa mtandaoni ila sijafanikiwa kudownload hata moja kwani natumia simu,naomba mwenye link ya direct download au aliyenazo azishare hapa nizichukue,natanguliza shukrani
  12. the horticulturist

    Kujua umechaguliwa wapi na TCU ingia hapa!

    Ingia kwenye hii link utafahamu ulikopangiwa (http://cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants.php )
  13. the horticulturist

    Naomba msaada kuhusu email kwenye bb 9780

    Samahani jamani nilikua na bb 9800 ya vodafone nikafungua email ya voda sasa nimebadili nina bb9780 sasa tatizo nikifungua email kwenye hii simu mpya inanitaka password za email ya voda ambako kwenye hii mpya hazikubali,nimewipe sana ila still bado nikifungua email inafunguka kwanza ile ya voda...
  14. the horticulturist

    nini visababisha na tiba kwa mmba wa kichwani!?

    Kama habari inavyojieleza mimi ni muhanga wa mmba wa kichwani ingawa napunguza nywele kila wiki,napenda kufahamu chanzo cha mmba kichwani na nini tiba yake kwani nimeshajaribu shampoo,sabuni za asili na hata dawa za hospitalini za kumeza na kupaka ila bado tatizo liko palepale,naombeni kwa...
  15. the horticulturist

    Matokeo yametoka kwa walioomba vyuo vya kilimo

    Hisika na mada kama uliomba chuo chochote cha kilimo cha kiserikali majibu yametoka yako vyuoni yamebandikwa, ushuhuda ya Horti Tengeru yako kwenye ubao wa matangazo wa chuo Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  16. the horticulturist

    Yahoo mail haifunguki kwenye opera min browser ya simu,solution kwa hili tafadhari.

    Natumia blackberry 9800 na mara nyingi najiunga blackberry plan ya 500 kwa siku mbili tatizo nikifungua yahoo mail kwenye opera min inagoma na pia nimejaribu kwenye Lg inayorun android pia imegoma inanipa option ya kudownload application ambayo huwa haimaliza inatoa report ya failed,naomba...
  17. the horticulturist

    msaada:Jinsi gani tutaboresha mahusiano ya ndoa!?

    Habari za jion na poleni na swaumu!kuna suala linaonekana la kawaida ila kiukweli lina utata na ugumu wake pia,jinsi gani ya kuishi na mke ndani wengi tunatumia tu mazoea na hatimae mahusiano mengi yanakufa,naomba tupeana msaada hivi ni jinsi gani kuishi na hawa wenzetu maana wa kwangu anaelekea...
  18. the horticulturist

    Naomba msaada jinsi ya kujiunga na sim banking

    Nimejaribu ila kila mara naambiwa nimekosa namba ya siri au namba ya kadi, namba ya kadi ni ipi!? Maana mimi natumia hizi namba 16 ziko mbele ya kadi na bank ni CRDB mtandao ninaotumia ni vodacom, ahsanteni ambae alifanikiwa anijuze tafadhari.
  19. the horticulturist

    msaada!application gani ya kudownloadia video za you tube on bb 9800?

    Naomba mnijuze wana jf naimani humu mtanipa solution nzuri haswa
  20. the horticulturist

    msaada jinsi ya kulipia whatsapp!

    Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama...
Back
Top Bottom