Search results

  1. S

    The important information to the selected students at UDSM

    the selected students to pursues various degree program at university of Dar-es-salaam are kindly informed that to visit the university web site and to red carefully all important requirement that the student are supposed have, this include the various attachment that the student will be used...
  2. S

    Selection UDSM 2014/2015

    wale wa pspa welcome tooo. but msongo wa mawazo kwenye course hauepukiki
  3. S

    first year udsm mbadilike.....

    kwakweli first year tuwe wastaarabu. me mwenyewe nimewasaidia madogo wengi sana lakini cha kushangaza leo hii ukiwapigia simu haawapokei wegine tumekubaliana mtaani kuwa tutakaa wote lakini ghafla wamenibadilikia. ila wakumbuke mwakani mambo yao yatakuwa magumu.
  4. S

    bwana heslb huyooooo

    tuwe makini.
  5. S

    Hatimaye UDSM yatoa majina mapya ya watakaojiunga

    we must remember that this is student from science subject that,s why their performance is not well even not poor but standard
  6. S

    Hatimaye UDSM yatoa majina mapya ya watakaojiunga

    chuo kikuu cha udsm cha toa majina mapya ya firt year haya hapa. UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR – ACADEMIC DIRECTORATE OF UNDERGRADUATE STUDIES UNDERGRADUATE ADMISSION FOR 2013/2014 ADDITIONAL LIST The following is an additional list of applicants who have been...
  7. S

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hakuna wa kuizuia arsenal .msimu huu ni wetu kutamba.
  8. S

    the best UNIVERSITY in TANZANIA

    kweli dunia ina mambo. hivi kwa nini huwa tunaendeleza mada hizi. vijana tujadili mstakabadhi wa ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo badala ya kutunishiana msuli kila wakati.
  9. S

    Msaada kwa wale wa UDSM

    kaka soma maelekezo kwenye tovuti ya chuo yaani www.udsm.ac.tz . tarehe ya kuripoti ni 12/10/2013. mdogo wangu form zote utazipata chuo siku ya kuripoti.ubarikiwe na bwana
  10. S

    Supplimentary Vyuoni: UDSM the Case Study.

    kaka ni kawaida lakini wengine hujitakia na wangine ni bahati mbaya kikubwa mwenyezi mungu atawasaidia kwa kila jambo kwani yeye ndiye mweza wa kila kitu. sala ni kitu pekee katika masomo kwan ukiwa karibu na mwenyezi mungu utaishi kwa amani milele
  11. S

    Wale wa udsm wanaotaka kubadili course walizochaguliwa, someni hapa

    kama umechaguliwa education sahau kubadili kwani ni agizo toka serikalini
  12. S

    Important information for first year who admited to join udsm and its branches,muce and duce

    WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA UDSM PAMOJA NA MATAWI YAKE YAANI MUCE PAMOJA DUCE WANAARIFIWA KUWA TAYARI CHUO KIMESHATOA MAELEKEZO YOTE MUHIMU. MASUALA HAYO NI PAMOJA NA 1.TUITION FEES 2.JOIN INSTRACTION FORM...
  13. S

    Mtazamo wa wanazi wa Arsenal juu ya Ozil!!

    acha utoto kijana we ulidhani arsenal hawataweza kusajili kinda kama ozil nin.i we wa zamani sana
  14. S

    Daruso udsm

    Uongozi wa wanafunzi chuo kikuu dar-es-salaam{ DARUSO} inawakumbusha wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na chuo hicho kwamba maelekezo yote kuhusiana na chuo yanapatikana ktk website ya chuo yaani www.udsm.ac.tz
  15. S

    Sup zinafanyika lini Udsm?

    daruso mpooo. kisanko mtoto wa mkulima the great president of udsm anawapa hai
  16. S

    Udsm, udsm, udsm.

    wote cumpus and off cumpus
  17. S

    Udsm, udsm, udsm.

    roman catholic
  18. S

    Udsm, udsm, udsm.

    kwaya ya mtakatifu flomena mabibo hosteli chuo kikuu cha udsm inawakaribisha wanafunzi wote wanaopenda kujiunga na kwaya hii. njooni tumwabudu mungu kwa kuimba .pia tunawaalika sana wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao wanatarajia kujiunga na chuo mwezi ujao. njoone nyote...
Back
Top Bottom