Search results

  1. W

    UBUNGO, DAR: Bomoabomoa ya Jengo la Wizara ya Maji Ubungo yaanza. Watumishi wahangaika kuokoa mali

    Na hii kukatikakatika umeme hawakawii sasa kusingizia jengo kubomolewa
  2. W

    Kwa mbali mradi wa mabasi ya mwendo kasi ulee unateketea {UDART}

    Ingekuwa kodi yake haitumiki na serikali basi asingekuwa na haki ya kulalamika unapouliza yeye afanye nini kama mwananchi kutatua hili tatizo ulitaka yeye ndio akasimamie huo mradi au awafukukuze wahusika? Simtetei lakini sidhani kama he is in any position to do anything zaidi yakutoa sauti yake...
  3. W

    Nafikiri MESSAGE ameipata, Lipumba alidhani umma uko upande wake.

    H Hapa Chadema wanaingiaje? Hebu tufafanulie bro.
  4. W

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Freemanson ndio nani? Sisi tunawajua Freemasons
  5. W

    Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo

    Jamii Forum was supposed to be home of great thinkers not utter stupidity. I pity you.
  6. W

    Shy-Rose Bhanji sema ukweli wa kilichofanya ukatwe au kaa kimya

    Ana acc. FB, Twitter na Instagram nenda huko ukamuulize haya maswali halafu utuletee majibu.
  7. W

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Leo nimeamini maneno ya rafiki yangu mmoja aliyeniambia watanzania wenye akili hawazidi laki tano.
  8. W

    Gerson Msigwa au CS Kijazi saa ngapi mtatutangazia Watanzania kufutwa Kazi kwa RC Makonda?

    Natumainj watakapotangaza bado utakuwepo kuendelea kupost maana hukawii kukimbia
  9. W

    Muungano wa Madaktari wa Kenya, wawakataa Madaktari wa Tanzania

    Hahaha wewe ujue hujatulia kabisaa
  10. W

    Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Hahaha hebu mtafuteni tuone atakuja na porojo gani this time
  11. W

    Gwajima, MwanaHALISI should be dragged to court for slandering RC Dar

    Kama anahisi kachafuliwa yeye ndio aende mahakamani, very simple serikali inahusika nini hapa au nyie nendeni mkashitaki kwa niaba yake kama kimewauma, alete vyeti hatutaki upuuzi
  12. W

    Polepole usidanganye umma kuwa CCM haijawahi kuchukua mali za umma na kujimilikisha

    Una uhakika? Kwa sababu nchi ilikuwa na chama kimoja then unafikiri kila mtu alikuwa mwanachama wa CCM? Hata leo hii kuna watu hatuna vyama
  13. W

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Dont be stupid unajuaje ni taarifa za uongo? Nashauri chama chenu kuelekea uchaguzi 2020 muongeze Ilani ya kumkamata lissu mara kwa mara kwa sababu hicho ndio mnachofanikiwa kwa sasa
Back
Top Bottom