Search results

  1. Eng. Zezudu

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Huyo sio mamba , nyie endeleeni kuoga tu.
  2. Eng. Zezudu

    Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Isije ikawa mpira unakupenda mbona mzize alikuwa boda boda ila saiz ni forward wa Utopolo
  3. Eng. Zezudu

    Mbozi: Zahanati ya Kijiji yafungwa kwa kukosa Wahudumu. Wananchi wateseka

    Wahudumu wanadhurula mtaani kusambaza bahasha
  4. Eng. Zezudu

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Wanahitaji wazoefu sababu wanafahamu milija ya kupitisha maji bila kuacha alama
  5. Eng. Zezudu

    Naombeni majibu: Mnaosema hawa sio wana wa Israel. Je, waisraeli asilia walienda wapi?

    Mzee wa Israel halisi ni sisi weusi ambao mpaka Leo tupo utumwani.
  6. Eng. Zezudu

    Shambulizi la Sydney mbona media kimya

    Washazoea kuwa wengi wa magaidi ni wavaa kubazi. Kwa hiyo wavaa kubazi wamejijengea wenyewe picha Mbaya
  7. Eng. Zezudu

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Ungewauliza kwa Nini anatumia iphone, Kuna watu wanatumia iphone 5 lakini anatamba nayo mtani, hafu unakuta anataka mtu wa android amsaidie kumpa baadhi ya vitu kwenye simu yake , bitches
  8. Eng. Zezudu

    Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Ulienda kufanya Nini, mjini pale maisha yapo juu sana
  9. Eng. Zezudu

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Acha kudanganya watu mabikra kibao wameolewa na kuachika na mwisho wa siku wanakuwa vicheche, akili kumkichwa, mwanamke ni mwanamke tuu, Ili mradi ana content kichwani
  10. Eng. Zezudu

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Oa mzee sio single Maza wote hawana akili, wengine Wana akili sana, na Huwa hawarudi nyuma.
  11. Eng. Zezudu

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Du aisee kumbe kunaelekea kuchafuka uko ughaibuni
  12. Eng. Zezudu

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Hii vita mbona sii sikii
  13. Eng. Zezudu

    Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Hata ningekuwa Mimi ningepumzika na kuwapisha wengine, Mana kiti ni chamoto na Kila mtu anakitolea macho.
  14. Eng. Zezudu

    Je, tunataka kucheka sana au kujenga nchi yetu?

    Ukosefu wa ajira na mitaji umesababisha vijana tuingie katika uchumi vichekesho, boda boda, na wanawake nao wanaingia kwenye uchumi wa kuuza papuchi.
Back
Top Bottom