Search results

  1. R

    Muda mwingine unaweza kupata hela kirahisi sana jaribu hii njia sitanii!

    Get your online Job today and make huge money now online up to 300$ per day with very easy job tasks! | moneytreet.com
  2. R

    kaka yako ana mke wingi je nipe jibu

    Ukifuata sheria za ngeli unatkiwa kusema 'kaka WAngu wameo',,, kwa kua ngeli ya YU-A-WA tu! Ndo inayotumika kwa binadamu na baadhi ya viumbe hai vingine.
  3. R

    KUTOKA HESLB: Wote tuliokosa mkopo tutafanyiwa screening tena.

    Tuweni wavumilivu sote tuliokosa, me kunam2 aliniambia wale mwaka wa pili na kuendelea majina yetu yatatumwa vyuoni moja kwa moja.
  4. R

    window phone inauzwa

    Ni bonge bonge la simu aina ya Samsung; kwa maelezo nipigie 0653616244
  5. R

    Maandamano IFM

    pole sana kwa ifm! Pole zaid kwa hao wanaume waliobakwa!
  6. R

    Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

    Hapa CBE Dar nshamaliza usajiri, hostel za ndani nimekosa! So nasaka kitaa na sina boom ntaweza?
  7. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    Ahsante sana kaka nawengine wote mnaoendelea kunipa moyo na ushauri. Napenda kusema kwamba nyinyi ndo rafiki zangu waukweli kwani rafiki zangu wameanza kukaa mbali nami coz nimekosa boom! Ila ntafuata ushauri wenu. Thanx all!
  8. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    namwachia mungu!
  9. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    nina div two ndg yangu ya 11.
  10. R

    jaribuni kuwa na subira ndugu zangu

    Anyway! Ngoja 2subir But tui la kwanza! yapili maji!
  11. R

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    Habari zenu wadau mnaofurahia kupata mkopo na mnaosikitika? Mi nipo kwa wanaosikitika japo sio wengi sana ila naungana nao sababu na mi nimekosa mkopo! Jamani maumivu ni makali sana bora ningefeli2 sahv ningeshajpanga ktambo. Sjw hata la kufanya coz mi ni mtoto wa mkulima. 2peana hata ushaur!
  12. R

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    2nasubir kwa hamu mkuu! Huku 2kitegemea yote mazur na mabaya!
  13. R

    Walio Kosa Mkopo na Majina Hayapo wanahatima Gani Chuoni??

    kwel ww ni gt! Namba 3 inawezekana sn 2ckate tamaa.
  14. R

    Wanajamvi tu-enjoy na hii kitu.

    Simply because I have enjoyed with this thread It doesn't mean I have forgotten about heslb!
  15. R

    Wanajamvi tu-enjoy na hii kitu.

    simply bcoz I was admitted at cbe it doesn't mean I'm kilaza!
  16. R

    TCU YATOA MAJINA YA FIRST AND SECOND SELECTION 2012/13 click here

    Wakuu ni kweli coz mi nlijaribu usiku ikakubali but sahv inagoma!
  17. R

    Msaada: Ofisi za elimu Morogoro

    Wadau ninatafuta ofisi za elimu ya watu wazima Morogoro,naomba mwenye kufahamu zilipo ofisi za Elimu ya watu wazima hapa Moro anielekeze ni mtaa gani!ahsanteni. Nenda Sabasaba jengo la ccm mkoa hapo pia kunakituo cha elimu.
  18. R

    Wahaya wote inawahusu!!!

    That's whatsup! Kama 100% nakuongeza 20%. Huyu m2 kweli ni Great Thinker.
  19. R

    Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

    Mtoa mada ni great thinker 7bu kila utan unaukweli ndani yake, japo mi nimechaguliwa cbe dar! Ila inauma!!!
Back
Top Bottom