Search results

  1. V

    INAUZWA Air compressor

    Nauza Air cimpressor, lita 50 karibia mpya toka UK.Ni nzuri kwa upakaji rangi kwenye magari bei tsh 600000. Muhitaji piga simu 0712652110 Dar.
  2. V

    INAUZWA Nikon Camera D90 for sale

    Camera nikon D90 inauzwa katika hali nzuri. Bei Tsh 900000 piga simu 0712652110 Dar.
  3. V

    DOKEZO Majembe Auction Mart waiba madirisha Majohe

    Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba zao kwa amri ya Mahakama ilihali kesi ya msingi bado ipo Mahakamani. Wananchi wamekosa kabisa...
  4. V

    Gari ya kukodi inatafutwa

    Natafuta gari ya kukodi kwa mizunguko ya hapo Dar kwa wiki moja wakati wa likizo. Napendelea mfumo manual. PM na kiasi chako cha gharama kwa siku.
  5. V

    INAUZWA Blood Pressure machine for sale

    Nauza digital blood pressure machine iko katika hali nzuri sana. Bei sh 140000.00 mazungumzo yako. Punguza gharama za kwenda kucheck BP kwenye clinic .simu 0712652110
  6. V

    Computer4Sale Acer na Hp computer AIO for sale

    Nauza computer Acer na Hp all in one zipo katika hali nzuri sana. Acer specifications Ram 8gb, Hdd465 seriously buyer contact 0712652110 Dar Majohe Price 450000 neg
  7. V

    Desk top computer for sale

    Nauza Dell desk top Intel core 2 duo,8GB na 320HDD.Zipo zaidi ya kumi ,from a closed office in UK. Ni nzuri safe kwa mtu anaehitaji kufungua computer centre.Seriously buyer only to contact 0712652110 Dar Bei 350000 mazungumzo yako .Huo mzigo sio wa kukosa
  8. V

    CCM imenajisi demokrasia mchakato wa kumpata mgombea wa Uspika

    Kura za kumpata spika zinapigwa ndani ya BUNGE, nilitegemea CCM itapitisha wagombea kama watatu hivi na kupigiwa kura za kugombea nafasi ya uspika . Ofisi ya katibu wa BUNGE ndio hutoa jina la atakayepigiwa kura . Je kama Tulia alipigwa chini na ofisi ya BUNGE itakuwaje. Dr Tulia alitakiwa...
  9. V

    Msaada; Naomba kueleweshwa kwanini fomu za kuwania Uspika zinatolewa na CCM badala ya Bunge?

    Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM. Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya uongozi ikitokea bungeni ni suala la kumuona katibu wa bunge na kuchukua form na kugombea. Misingi ya...
  10. V

    Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa. Miradi ambayo haijakamilika ingemalizwa kwa pesa gani?

    Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na pesa zetu za ndani. Wananchi walikuwa wanapiga makofi na Ndugai mwenyewe anapiga makofi. Ni kweli...
  11. V

    Amekula sana hela zangu

    Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae. UPDATE Jamani yule mdada jambazi amefulia sana,hata...
  12. V

    Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

    Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania. CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi. Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe...
  13. V

    Computer4Sale All in one computer

    Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me with your price
  14. V

    Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP Sirro?

    Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari ipo mahakamani. Sijui kwa kutojua au uzembe wa kufikiri kwamba kesi ikishafika mahakamani sio jambo...
  15. V

    Wabunge wa viti maalumu ni mzigo wa TAIFA

    Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
  16. V

    Floor scrubbing machine

    NAUZA floor scrubbing machine ziko mbili pamoja na pad zake , ni nzuri sana kwa wale wenye mahoteli au tenda za usafi. Bei ni sh 400000 kwa machine moja na pad 3 , Anehitaji piga simu 0712652110 Dar.
  17. V

    Electric motor for sale

    Nauza motor za umeme ni mpya kabisa toka kampuni ya maarufu sana ya vifaa vya umeme ya ABB , bei ni sh 400000 kila moja . Kwa anaehitaji piga simu 0712652110 DAR, Angalia label ya kibati cha silver kwa maelezo zaidi ya motor
  18. V

    #COVID19 EU countries consider covid-19 vaccine passport

    Nchi za EU wanafikiria kuanzisha mpanga wa covid vaccine passport miongoni mwa nchi wanachama. Hii ni moja ya mkakati wa kukabiliana na covid 19 miongoni mwa raia wao wanaposafiri. TUTAELEWANA TU ====== A patchwork: Europe and COVID-19 vaccination passports European Union leaders moved...
  19. V

    Profesa Kabudi, nenda Madagascar ukatuletee miche ya Vanilla

    Nchi ya Madagscar inasifika sana kwa ulimaji wa zao la vanilla. Zao hili linawaongezea kipato kikubwa sana raia wa Madagascar kwani kilo moja inafika karibu dola 600 za Kimarekani. Nakumbuka sana Profesa Kabudi aliporudi na mitishamba ya Corona toka Madagascar kwa mbwembe nyingi sana na...
  20. V

    Uchaguzi 2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

    Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU. Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka...
Back
Top Bottom