Search results

  1. S

    Bora kufeli au kukosa mkopo???

    pole sana kaka tuko pamoja hata mi nimekosa ilhali nimepata div 2 ya 12 ila amini mungu bado yupo upande wetu. hivi nasikiasikia tu kuna batch 2 ila sijaipata hata mimi pia unaweza kujaribu hlssf maana huwezi jua.
  2. S

    New allocation batch release two

    mkuu hiyo kitu ina ukweli ndani yake? maana watu bado tuna pressure za kukosa mkopo.
  3. S

    Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    mkuu iyo ya pili ni maboga lakini kwa sentensi ya kwanza mi mwenyewe imenipiga mtama
  4. S

    Aaah,wamekata

    hivi kwani humu jamvini hakuna msanii, mbona hi track inaonekana kali sana ikiandikiwa mstari ya kutosha..... ahahahahahah
Back
Top Bottom