Search results

  1. Penelope

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada,,kioo cha mbele cha dereva hakipandi wala kushuka,ila vioo vingine viko vizuri,wapi naeza kubadilisha hi mashine ??gari ni mercedes c class Pia natafuta maeneo kwa arusha wanaofanya service Mshana Jr
  2. Penelope

    Interior design tufurahishe macho

    Moshi
  3. Penelope

    Interior design tufurahishe macho

    Carpet/rugs nzuri anaejua pakuzipata..sio za nyoya
  4. Penelope

    Itinerary hitilafu messages za PM ziwa hadharani

    Kwani huaga kuna nini huko pm?
  5. Penelope

    Rafiki wa kishua anaibiwa

    Rafiki wa kweli ni yule atakaekuambia ukweli hatakama hiko kitu kitamuumiza, zaidi ya hapo ni unafiki..
  6. Penelope

    Ukiachwa achika

    jamani ni ngumu kupona..hasa kwa sisi wanawake.hapo kweli depression napata ya hatari
  7. Penelope

    Ukisikia wakati mgumu ndo huu we ushawahi kukuta?

    mapenzi yanatesa.
  8. Penelope

    Private detective/investigator (Mpelelezi binafsi) kwa sasa ni Fursa. Tuitumie!

    ukiwa na namba ya mtu unaweza kujua yuko wap na kupata picha yake hata kama hayuko whatsapp?
  9. Penelope

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    wale wanaotumia benz kwa arusha na maeneo ya karibu wapi mnafanya service...msaada
  10. Penelope

    Mercedes Benz C- Class

    Mercedes benz c class zinafaa kueka spacers??
  11. Penelope

    Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

    hata kama hela ipo sitazubutu aisee.
  12. Penelope

    Ukifikiria sana kuhusu ndoa unaweza usione umuhimu wake

    Umeongea kweli.mtu unapoolewa kama wewe ni mwanamke mwenye ndoto zako inakua ngumu ku adjust manake sasa mnakutana watu wenye fikra tofauti.inaweza kukurudisha nyuma au kutokuendeleza maono yako kabisa.cha muhimu pande zote mbili mkubaliane vipaumbele vyenu ni nini.Ila huyo mwanaume ni mbinafsi...
  13. Penelope

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    hii gari nimeipenda sema sasa hiyo steering left hapo ndo shida..Bei haipungui?
  14. Penelope

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    kazi ipo,,ila usimuondoe dada wa kazi. ulioa sista duu nini,kweli huyo ni mateso.hivi mwanamke unakua na makucha kama jini shuhuli zako unafanyaje
  15. Penelope

    Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    Asante najitahidi kupima kwa macho sina mizani..nafanya kila kitu kama video zinavoonyesha..nikapatia siku ya kwanza na ya pili kiasi baada ya hapo ndo balaa likaanza..na wasiwasi na oveni pia manake hata haionyeshi ni joto kiasi gani..ni jiko la gesi lenye oven chini
  16. Penelope

    Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

    asante natumia baking powder yenye hilo box la blue na huo sijazi kijiko cha chakula,,nusu ndo naeka
  17. Penelope

    Kiongozi wa Korea Kaskazini avuka mpaka na kuingia Korea Kusini

    vijamaa vifupi lakn vikorofi ..
Back
Top Bottom