Search results

  1. ymollel

    Durian fruit linaitwaje kwa kiswahili?

    Hili tunda linaitwaje kwa Kiswahili? Je? Linapatikana Tanzania. Kwa waliowahi kutumia hili tunda, lina ladha na harufu ya namna gani. Lina virutubisho gani au madhara gani?
  2. ymollel

    Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

    Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia "-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR) 2019-12-27 13:14:02 [GMT+8]" Hapo imekaa tangu tarehe 27-Dec-2019. Nimejaribu kwenda post na kuwapa tracking number, yule...
  3. ymollel

    DOUBT: IPHONE 7 PHOTO ON GSMARENA

    Nimeshangaa nilipitia gallery ya iPHONE 7 pale GSM ARENA na kukuta hiyo picha yenye 3.5mm audio Jack. sasa swali ni kwamba hii imamaanisha GSMArena hawatumii official images kutoka Apple au huwa wanatumia external source ndio maana wanasemaga Information zao sio accurate 100%. Au kuna iPhone 7...
  4. ymollel

    Shazam for windows phone is discontinued

    Kama ulikuwa ni fan wa Shazam na umeitumia windows phone, basi utambue ya kuwa utakapo-Uninstall au kureSet Simu yako basi hutaweza tena kuipata kutoka APP STORE. officially kuanzai 7 february 2017 shazam wamejitoa kwenye WIndows phone. Shazam kills off its Windows Phone and Windows 10 app...
  5. ymollel

    Picha: Flashback ya zile simu kali enzi hizo

    Nilikuwa ninalo hili folder la picture za baadhi ya simu zilizovuma miaka hiyo. kila nikizitazama ninafarijika na technolojia ya mobile phone ilipotoka hadi ilipofikia. Nashindwa kuzi Upload Zote zipo nyingi sana.
  6. ymollel

    Sailfish OS ingepata msukumo kwenye mobile phones

    Jolla C ni moja ya simu zenye OS hii ya Sailfish ambayo endapo project hii ingeshika soko basi tungekuwa na chaguo la ziada pale unapoenda kununua Simu basi ungeweza kuchagua smartphone ya Sailfish badala ya Android au windows au hizo zingine. jolla tablet onePlus X Turing phone...
  7. ymollel

    Kama umesumbuliwa na IDM, hii hapa itakufaa

    CHUKUA hii idm , soma maelekezo vizuri utafurahia. Dropbox - I-D-M-6-26-B-u-i-l-d-7-P-l-u-s-C-r-a-c-k.rar
  8. ymollel

    Windows 10 mobile latest build, removed FM radio app

    Kwa wale wanaotumia baadhi ya simu za lumia zinazosaport windows 10, ka umechunguza utagundua kwamba ile stock FM app imeondolewa kabisa. Sasa kwa wale wanaopenda kusikiliza traditional FM radio itawalazimu ku-Stream au kutumia Third party FM players ambapo hakuna iliyo Bora kama ile iliyokuwa...
  9. ymollel

    TapaTalk for windows phone

    Hii tatizo la tapatalk kutokuwepo kwenye App Store naona lina impact kwa wale walioUnistall hii app hawataoweza kuipata kwenye AppStore. Na endapo utaiDownload kutoka Kwenye website ya tapatalk, basi inakuwa na Buggs kama vile settings hazikubali kusave, pia huwezi kuReply wala kuCreate wala...
  10. ymollel

    MSAADA: ANAYEFANYA BIASHARA YA USED COMPUTERS

    Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
  11. ymollel

    Msaada: Anayefanya biashara ya used computers

    Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
  12. ymollel

    Windows 8,8.1,10 search Tool not AVA FIND

    Kwa wale waliosumbuka na AvaFind kwenye windows 8,8.1 na 10 . Suluhisho lipo hapa : Download hii tool inaitwa Search Everything iko poa, faste,Lighter Low resources consumption na ni freeeee Downloads
  13. ymollel

    Smile internet speed test, inaashiria nini?

    Ingawa Speed Test sio accurate sana lakini pia Smile wameshuka kulinganisha na mwanzoni. Hii inaashiria wateja wameongezeka. Hapo kwenye setting ya speed imewekwa Highest speed ya 21Mbps HAPA KWA KUTUMIA WI-FI HAPA KWA KUTUMIA WI-FI HAPA KWA KUTUMIA ETHERNET CABLE HAPA KWA KUTUMIA...
  14. ymollel

    Baadhi ya programs unazoweza kuhitaji hizi hapa - DIRECT LINKS ONLY!!

    NERO 8 + KEYS Dropbox - NERO_8_withKey.rar BIGASOFT TOTAL VIDEO CONVERTER Dropbox - bigasoft-total video.rar PDF CREATOR CONVERTER/PRINTER Dropbox - PDFCreator-1_3_2_setup.zip POWERISO 4.7 + KEYS Dropbox - PowerISO v4.7 + Serials [ChattChitto RG].rar ADOBE ACROBAT 6.0 Dropbox -...
  15. ymollel

    TECNO PHANTOM PAD MINI P9. 7"

    imekufa Main Board, haiwezi kuchaji na hata ukichajia battery nje, ina OverHeat na battery inaisha ndani ya dakika 10. Sasa deal hapa niuze kama spare parts au uniuzie board nzima ya android 4.2. kama upo Arusha Board yake yenye matatizo ni hii hapa.
  16. ymollel

    KIFURUSHI CHA WIKI startimes

    kwa anayefahamu namna ya kujiunga na kifurushi cha siku7 cha startimes pls aniambie
  17. ymollel

    Tetesi: Hii inawezekana? Iphone 7 kuja na Dual Sim

    Apple iPhone 7 to reportedly retain the 3.5mm headphone jack and boast dual-SIM functionality. “New leaked images suggest that the iPhone 7 will be the first from Apple to sport dual-SIM slots” http://blog.img.91mobiles.com/articles/wp-content/uploads/2016/06/iPhone-7-part-leak-1.jpg Apple...
  18. ymollel

    Je Motorola na Lenovo wana uhusiano?

    ni baada ya kutuma IMEI ya simu yangu ya zamani MOTOROLA L6i , kwenda namba 15090. Na majibu ni MOTOROLA LLC, LENOVO COMPANY,....kama nilivyoambatanisha, kwenye picha.
  19. ymollel

    Je, TCRA watazimaje simu bandia ifikapo June?

    Kuna maswali mengi sana mitaani watu wakisema mwezi wa sita simu feki zitazimwa. Kitaalamu na kiuhalisia TCRA hawataizima simu iliyo feki, na si kwamba simu iliyokuwa imewashwa itazimika na kuwa OFF. bali simu isiyotambulika itashindwa kujisajili na kupata mtandao kwa kutumia simcard husika...
  20. ymollel

    Hii ndio simu Fero V501 inayouzwa katika maduka ya vodacom bei poa

    Kama umekuwa unatafuta smartphone ya bajeti ndogo na yenye sifa za wastani. Basi hii inaweza kukufaa. Inaitwa FERO model V501 Ram 1GB Processor ni quadcore Chipset ni Cortex Storage 8GB Dual sim Android 4.4.2 kitkat Screen 5 inches Na vitu vingine ni kama inavyoonekana hapo kwenye cpu Z
Back
Top Bottom