Search results

 1. masara

  Unaweza mwambia mpenzi wako mpya makosa yako uliyofanya hadi ukaachwa?

  Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali... Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya yeye kuachwa.ila wengi huwa wanasema upande wa pili kuwa kuwa ndio wenye makosa na wao ndio...
 2. masara

  Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

  za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
 3. masara

  Vodacom(mitandao ya simu) wekani uchaguzi wa mteja kutumia mastervcard ipi kama kasajili zaidi ya moja

  za mda huu wadau, mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili mastercard zaidi ya moja kwenye laini ya simu moja lakini pale anapotaka kutumia card fulani hakuna...
 4. masara

  RAFIKI MCHUMBA MKE, ANAHITAJIKA NINAMAANISHA,NIKO MWANZA

  Hello nisiwe na mambo mengi ukweli nahitaji kumpenda mtu(mwanamke) ambaye naye yuko tayari kupenda hasa na kupendana hasa... mimi ni kijana na umri wangu ni miaka 30s, naishi Mwanza.. sina vigezo vingi kwa aliye tayari tutaongea kwa mawasiliano, bila kujari umri na hali yako kwa mhitaji...
 5. masara

  Naomba Serikali iwakataze matajiri wa magari kushikilia leseni za madereva wao kama dhamana ya kazi zao

  Za asubuhi, Niende kwenye mada moja kwa moja na sababu yai mimi kuleta uzi huu. Sababu kubwa ni kisa cha rafiki yangu mmoja ambaye ni dereva wa hiace au daladala hapa Mwanza na bosi wake ambaye pia ni mfanyakazi wa serikali misugwi.. huyu bosi wake anaitwa Mage...mwenye gari namba DQD.. yenye...
 6. masara

  Mafuta ya kula ya mia,100 katika picha ya mfuko wa nylon.

  Jasiri haachi asili yake..
 7. masara

  Kama kweli Bunge ni dhaifu,taja udhaifu Wa Bunge ili nao wajipime

  Kama kichwa cha habari kinavyosema, Mimi naanza ya langu Udhaifu ninaouona ni kila mbunge Wa CCM kusimama na kuisifia Serikali na kilanja mkuu wakati sio wajibu wao. Natamani ifikie hatua Serikali iliogope Bunge kiasi kwamba wakiwa wanaleta hoja kupitia mawaziri basi waonekane wanabembeleza na...
 8. masara

  WEWE KIWANGO CHAKO CHA JUU CHA KUNUNUA/KUUZA PENZI NI SH.NGAPI??

  wadau za mida hii. Kwa hapa mwanza mida hii na siku ya jumatano kuna live bend nzuri hapa VILLA PARK RESORT.hivyo kwa mdada aliye karibu hapa sio mbaya akanipm pia tuone nini cha kufanya. Nirundi kwenye mada, Kwa mwanaume mwezangu..tuambie wewe kiwango chako cha juu unapoamua kupata huduma ya...
 9. masara

  Hivi kazi ya wabunge wa CCM ni kumsifia Rais na Serikali na sio kukosoa na kuhoji?

  Za mda huu wadau, Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wajibu wa wabunge wetu wa CCM, Pale wanapoamua kuwa upande wa Serikali asilimia mia moja hali wao ni fimbo ya Serikali. Unakuta mbunge anasifia serikali kuliko hata anavyomsifia mwezi wake au mtoto wake anapofanya vizuri. Ikumbukwe Tanzania...
 10. masara

  Hivi kazi ya bunge ni kuisafisha Serikali na sio kuisimamia? Naona bunge limejipanga kuisafisha Serikali dhidi ya ripoti ya CAG

  Za muda huu wadau, Kama wengi tunaofatilia mtifuano kati ya Speaker na CAG ambapo wengi wa wachambuzi wanashidwa kutoa taswira ya moja kwa moja kama Spika anatumika na upande wa kulia au ni msimamo wake tu. Nimesikiliza kwa makini na kutafakari Speaker Ndugai alivyo-ongea na waandishi wa...
 11. masara

  Salam za kwa-resma ziende kwa....

  Baada ya mfungo kuanza naona kuna baadhi ya member wamekuwa wapitaji tu.naona wameamua kufunga kutumia JAMII FORUM.maana huenda ndio ulevi wao ilo wapatie thawabu. Mimi napenda kumtumia salamu member NAKWEDE a.k.a.@NAHUJA. The mshenga wangu ndugu wa konk master pierre. Mtoto wa kipare Naona hata...
 12. masara

  Hivi hii ya jumamosi ya mwisho wa mwezi ndio nilipigia kura mwaka 2015.

  Za asubuhi hii wadau wa hapa. Leo nimejikuta nawaza na kudharau siku nilipoamka asubuhi kwenda kupiga kura.. na kibaya zaidi hata kanisani sikwenda. Yaani Mtu anatoa tamko kuwa watu wasifanye kazi hadi saa nne asubuhi. Hivyo maduka na mighahawa vifungwe na watu wasipate mahitaji yao lakini...
 13. masara

  Tuliotegemea mualiko leo na hatukupata;nyoosha mkono juu hapa

  Hii inatuhusu hasa sisi vijana tena wa kiume. KWA sababu unajiamini kwamba unajuana na watu wengi halafu na hauwezi kuomba mwaliko wa sikukuu kwa kuanza wewe maana unaamini kuwa watakuita tu.. Naomba unaoshe mkono kisha useme neno kwa kifufu, ukimaliza shusha na uendelee na shughuli zako...
 14. masara

  Nilichojifunza kwa Malaya(wanawake)wa mtandaoni

  Kwanza naomba nisihukumie kwa niyaliyopita. Maana wapo watu huwa mabigwa wa kufukuwa makaburi kuliko kujenga future. Kama vile wao ni watakatifu sana na hisitoria yao iko safi. SIO NIA YANGU KUIKUZA AU KUIPA PROMO HIO BIASHARA YA ONLINE DATING Katika pitapita zangu siku za nyuma nikajikuta nipo...
 15. masara

  Utafanyaje pale moja ya kondom ulizotumia utaikosa baada ya kuwa umevusha mchepuko, wakati mwenzi sasa anauhuru na hicho chumba

  ZA mda huu wadau.. Nimejikuta nawaza halafu nikaishia kushangaa tu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleze.. wewe unaweza kuwa mwanaume au mwanamke. Lakini pia unaweza kuwa mke au mme wa mtu. Nianze na vijana. Pale inatokea ghafla umepata mchepuko ghetto kwako wakati una mtu tunawaita...
 16. masara

  BRELA; REKEBISHENI MFUMO WENU YA USAJILI MTANDAONI UWE RAFIKI NA RAHISI KWA KILA MTU

  Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekuwa najaribu kusajiri mara kwa mara lakini ni kama kuna ugumu fulani... Kuna kipengele cha kujaza kitambulisho. Lakini sio wote wenye vitambulisho vya Taifa. Ila naona mmefunga kwa neno NIDA. lakini pia hata namna ya mfumo mlivyoumeweka kwa maoni yangu...
 17. masara

  Ukweli wanaume tukubali, siku hizi tumepugukiwa nguvu/hisia za kiume. Ndio maana wanawake wanajeuri ya kutembea nusu uchi

  INGEKUWA ZAMANI BASI WENGI WETU WANGEISHIA JERA KWA KESI ZA KUBAKA TU! Haya maneno nilijikuta nayaongea kwa sauti mbele ya fundi nguo wa kike, bila kujua nimeyatafakari mda gani. Ilikuwa hivi. Nimeenda kwa findi cherehani na nikamkuta anapunguza sket.. kwa mimi niliiona ni fupi na ni ndogo...
 18. masara

  Ni jambo/tendo gani ambali hauwezi lisahau maisha yako na ukilimbuka unaishia kwenye sintfahamu.. LIANDIKE HAPA

  za jumapili yenu na mda huu wa A Jamii forum Katika maisha kuanzia maisha ya udogo hadi hivi sasa naamini kuna jambo ambalo kiukweli ukilikumbuka unaishia kusimulia na ila wewe binafsi unakuwa na sintofaham. JAMBO HILO LINAWEZA KUWA NI MAHUSIANO AU KUNYANYASWA. AU MAISHA AU JAMBO LOLOTE AMBALO...
 19. masara

  Rafiki yangu kapewa masharti 3 na mganga wa kienyeji ili afanikiwe kimaisha

  Za mda huu wana JFGT nina jamaa yangu ambaye ana meza pale makoroboi lakini pia huwa anatembeza bidhaa kama machinga na ile meza huwa mara nyingi anamuachia mke wake. Huyu rafiki siku moja alikuja dukani kwangu na tukaanza mazungumzo ya utafutaji. Na ghafla akaniambia anataka kwenda Geita...
 20. masara

  Ni bora uwe na mpenzi anayetumia pombe/bangi au malaya?

  Za mda huu Wadau Leo mchana kuna mdada mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida pia ni mwanajeshi alikuja kazini kwangu na tukaanza story za hapa na pale. Baada ya mda tukaanza kubishana kuhusu mahusiano. Maana aliniambia usiku wa leo amepasua simu ya mpenzi wake kwa vile jamaa ana wanawake...
Top Bottom