Search results

 1. UNIQUEMAN1

  Walimu wa english language shikamooni, nisaidieni hili swali

  Hili hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 2. UNIQUEMAN1

  Wakuu hii ndoto inanitesa sana

  Kiufupi. Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa na rafiki wa utoto. Kwa bahati mbaya aliachia la 6. Siku moja tupo juu ya mti Wote tunakata tawi la mti. Ghafla alisikika mchunga mbuzi anapiga yowe, nyokaa nyokaa Rama nyokaaa! Basi yule rafiki yangu Rama akaniambia vp nishuke? Nikamuambia ndio...
 3. UNIQUEMAN1

  Huwa nawaza mengi kuhusu utengenezwaji wa fedha

  Habari. Huwa serikali inajitengenezea fedha zake yenyewe? Je, ni kwanini isiprinti pesa nyingi za kutosha kila mwananchi apate? Au kuna siri gani hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. UNIQUEMAN1

  Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

  Wakuu vipi, hamjambo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba msaada wa namna ya kujua kuongea ung'eng'e vizuri mbele ya watu. Nimesoma mpaka digrii ya kwanza lakini najiona fala tu, hasa linapokuja suala la kuwasilisha mada kwa lugha ya Kiingereza. Niombe kwa yeyote mwenye linki...
 5. UNIQUEMAN1

  Ndoto ya Marehemu baba yangu inanitesa

  Ni miaka 4 tangu baba yetu atutoke. Mara nyingi amekuwa akinitokea ndotoni. Alikuwa na kawaida ya kutuachia chakula au tukirudi kutoka shule anatuambia ingia ndani kwenye kabati kuna msosi mle. Sasa, nimekuwa naota anatukusanya watoto wake anaanza kutupa maneno ya kuishi na watu vizuri n.k...
 6. UNIQUEMAN1

  Asanteni sana wana jf nimeimprove kwa michango yenu

  Ni mara nyingi nimekuja kwenu kuhusiana na wife wangu. Kwa kweli nimepata darasa kubwa sana kwenu, hakika nikajihisi nimetua mzigo fulani. Kama nilivyoeleza kwenye baadhi ya thread kuwa alinisababisha hadi nikawa mnywa Pombe, sigara n.k kwa kauli zake (thread nitaziweka). Hakika mapenzi yanauwa...
 7. UNIQUEMAN1

  Kauli hii haifutiki mpaka leo ni mwaka wa 6

  Mimi ni mwanaume mwenye mke na tumefanikiwa kuwa na mtoto wa kike mmoja. Siku ya kwanza nakutana na mke wangu kimwili, baadae aliniambia sikumfanya vizuri. Siku zilivyoenda akawa ananisifia kuwa nafanya vizuri now. Ingawa alinieleza ukweli wake direct, nimejaribu kuisahau nmeshindwa...
 8. UNIQUEMAN1

  Vijana msikosee kuoa, nmeharibika baada ya kukosea kuoa

  Nina mtoto mmoja wa kike. Mwanamke huyu nimegundua hatuendani kabisa mwanzo hakuwa hivi. Yupo ambaye nilikuwa nampenda. Nalia[emoji24][emoji24][emoji24]. Mimi ni mpumbavu tu. Inakuwaje naishi na mwanamke eti kwa kuangalia sura? Nimefika huku. [emoji24][emoji24]
 9. UNIQUEMAN1

  Najuta kuoa

  Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA Analala na jinsi suruali Ananifokea kama katoto Nikimshika kiuno anajidai anaumwa Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali Nikimkaripia anakuja juu Maneno yamekuwa mengi Sana Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara...
 10. UNIQUEMAN1

  MSAADA. SIMU INAANDIKA MEMORY FULL LAKINI INTERNAL STORAGE NI GB62 AVAILABLE SPACE

  Wakuu husika na kichwa Cha habari. Je nifanyeje? Shida ni nini? Aina ya simu ni SAMSUNG GALAXY A6+
 11. UNIQUEMAN1

  Mke wangu kanishangaza

  Tuna mtoto mmoja wa kike. Tupo mkoa wa Dodoma. Jana nimetoka kuchepuka kutokana na mke wangu kutonisikiliza na kujifanya na yeye ni mwanaume ndani ya nyumba. Cha ajabu baada ya kurudi kutoka kwa huyo dem, kesho yake mke kaniambia ameota ndoto ambayo nipo na binti. Kaanza kumuelezea hadi...
 12. UNIQUEMAN1

  Nimetoka kuangalia mpira nimekuta mke kafunga milango, kaniambia nirudi nilipokuwa...

  Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi Sent...
 13. UNIQUEMAN1

  Naomba kujuzwa wanapouza sabuni za magadi za jumla

  Mada tajwa hapo juu yahusika. Nipo hapa DSM . Naomba kama kuna anayejua kiwanda cha kutengeneza hizi sabuni za magadi (mche wa rangi mbili bluu na nyeupe) hapa Dar. Asante
Top Bottom