Search results

 1. East African Eagle

  Ukiona vijana wanaandamana kwenda kwa Rais kudai kuangalia TV ni mzigo kwa Taifa

  Vijana na TV sasa hivi linaelekea kuwa ni tatizo kubwa la kitaifa.Vijana kutwa wanaangalia MOVIE iwe usiku iwe mchana wao ni kukodolea macho TV.Hawafanyi homework za shule hadi upige kelele.Hawalali ni TV tu.Huu utamaduni ulioibuka wa kupenda kuangalia TV hasa kwa vijana utazalisha kizazi cha...
 2. East African Eagle

  Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

  Ndio huyo huyo.Ambaye alikuwa yuko huko UKAWA ni mtu wa TEAM LOWASA na alikuwa bega kwa bega kwenye mbio zake za uraisi.Ndio hao nadhani Kingunge alikuwa akijivunia kuwa Lowasa akishindwa nchi itawaka moto.Lowasa alikuwa na mtandao wa ajabu acha tu.Mungu kainusuru Tanzania
 3. East African Eagle

  Waziri Mbarawa: Hakikisheni watumishi wote wanatumia Electronic attendance

  Uwaziri kazi.Mcheki huyo mama anayemgongesha kidole waziri .Tumaziwa twake katuweka wazi kalengesha usawa wa macho ya waziri kuwa kwa hiyo ANGLE ya macho ya waziri lazima huto tumatiti atuone aamue mwenyewe kama atahitaji maelezo zaidi kuhusu hiyo teknolojia ya mahudhurio wakaongee vizuri...
 4. East African Eagle

  Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

  Hongereni CHADEMA kwa kuwa wazi kuhusu makusanyo ingawa ni kawaida yenu kutaja kiasi hata mlichokusanya kwenye harambee na michango mbali mbali.Tatizo huwa mnakuwa mabubu na hamuwi wazi wa kuelezea klichokusanywa kimetumikaje. Ni matarajio yangu kuwa kwa uwazi huu huu na matumizi ya hiyo pesa...
 5. East African Eagle

  Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

  Mimi binafsi nitamkumbuka hasa kwa uwezo wake wa kusimamia Ulinzi shirikishi unaoonekana na usioonekana katika kuhakikisha jiji linakuwa salama.Ni makamanda wachache wamebobea kwenye eneo hilo la ulinzi hasa lile la ulinzi shirikishi usioonekana. Kova alikuwa kamanda aliyekamilika
 6. East African Eagle

  Mhariri The Guardian amtaka Magufuli amchukulie hatua tajiri Sethi wa Tegeta Escrow account

  Maazimio ya bunge yangekuwa ya maana na yanaheshimiwa UKAWA wasingemchukua LOWASA kuwa mgombea wao.Maana bunge lilimhukumu kwa Ufisadi UKAWA wakasema wanamchukua kwa kuwa mahakama ilikuwa haijamhukumu pamoja na maazimio ya bunge kuwepo.Wanasheria akina Tundu Lisu ndio walikuwa vinara kutetea...
 7. East African Eagle

  Mhariri The Guardian amtaka Magufuli amchukulie hatua tajiri Sethi wa Tegeta Escrow account

  Wapinzani wepi unaowaongelea? Hawa waliokuwa wakibwata bungeni kuwa Lowasa fisadi wa Richmond ili awape pesa? Baada ya kuwapa wakasema si fisadi na wakazunguka nchi nzima kumnadi?? Hapo wanataka huyo singa singa wabwate awape pesa halafu waseme hana hatia sababu hajahukumiwa na mahakama...
 8. East African Eagle

  Mhariri The Guardian amtaka Magufuli amchukulie hatua tajiri Sethi wa Tegeta Escrow account

  Hivi wakiburuzwa mahakamani na huyo mhariri akatakiwa athibitishe kama ana utaalamu wa kujua nyaraka original na feki huo muziki atauweza? Na kama hizo nyaraka anazo ana uhakika ni feki? Anazijua original?Yeye ni mtaalamu wa forensic? Kwa maoni yangu hicho kitu ni cha kitaalamu kama haku-quote...
 9. East African Eagle

  Staili za zimamoto na ziara za kushitukiza haziendeshi serikali

  Ulimwengu bure kabisa.Muulize alipokuwa Mkuu wa wilaya ya Ilala ana kipi cha kukumbukwa na wanailala kwa staili yake ya uongozi zaidi ya ulevi wake uliopindukia.
 10. East African Eagle

  Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

  Mimi nafikiri kuna hujuma za kisiasa pia.Ni vizuri serikali itafute majibu kwa mkurugenzi mkuu wa huo mfuko Bernard Mchomvu ambaye ni mtanzania.Atoe jibu la kueleweka kisheria na kikatiba ya Tanzania. Wanadiplomasia pia waingie kazini na MCC itoe jibu kwa watanzania la kueleweka nini ni nini?
 11. East African Eagle

  Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

  Pamoja na kuwa hujaweka ushahidi ila niseme mikataba haiishi bado kuna vingi tu watakuja.Tanzania panaitwa Mtakuja.Wakija watatukuta.Mikataba yote itakayoingiwa iwe ni ya kibiashara hasa tusiangaliane usoni. Ndiyo maana CHINA imeanza kuiteka Afrika sababu misaada yao haina masharti ya kisiasa...
 12. East African Eagle

  Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

  Hao uliowataja wote wanatakiwa kuchukuliwa hatua kwa kulea uzembe ambao naibu waziri kauona.Wangekuwa wachapa kazi uzembe aliouona naibu waziri usingeonekana.Hao na ni majipu ya kutumbua waondoke wapishe wengine washike hivyo vyeo vyao. Hayo mambo makubwa ya kitaifa ya afya unayosema yanafanywa...
 13. East African Eagle

  Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

  Nafikiri ni vizuri pia kuondoa misamaha yote ya kodi toka kwa wawekezaji wa kutoka nchi za nje sababu sehemu ya faida wanazopata kwa uwekezaji wao Tanzania ndizo huzitumia kutupa misaada.Ajabu sisi tunapowapa nafasi ya uwekezaji nchini kwetu huwa hatuwapi masharti ya kisiasa lakini wao...
 14. East African Eagle

  Ukweli: Kama Lowassa angekuwa rais, MCC wasingeweka pembeni faili la Tanzania

  Labda niulize maana kulikuwa na hujuma nyingi sana za teamLowasa. Lowasa angeshika tungepewa kwa kuwa mkurugenzi MKUU wa huo mfuko wa MCC kwa Tanzania ni Bernard MCHOMVU toka KILIMANJARO labda naye alikuwa team Lowasa? au unataka kusema nini? Sijakuelewa Sasa kwa kuwa Lowasa hajapata kwa hiyo...
 15. East African Eagle

  NBAA wafuatilieni wakaguzi waliokagua TPA mtumbue majipu

  NBAA ndio msimamizi mkuu wa wakaguzi wa mahesabu wa ndani na nje na kusimamia utendaji wao.Madudu yaliyoonekana Bandarini lazima kulikuwa na uhusika wa namna fulani wa wakaguzi wa ndani na nje.NBAA na yenyewe itumbue majipu ya wakaguzi wa TPA
 16. East African Eagle

  Who is the next target?

  TPA nasikia ilikuwa haikaguliwi na CAG sina uhakika ila naambiwa walikuwa wanakaguliwa na kampuni ndogo ndogo za ujanja za ukaguzi.Mategemeo yangu NBAA watafuatilia Hao wakaguzi wao pia wa Ndani na wa nje kuangalia hizo kaguzi zao zikoje na wachukue hatua stahiki kwa wahusika
 17. East African Eagle

  Tanzania kuanzisha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa Burundi

  Suluhisho la mgogoro wa Zanzibar lilishapatikana nalo ni uchaguzi kurudiwa.Anayekataa kurudia shauri yake.Si lazima mtu aende kupiga kura
 18. East African Eagle

  CHADEMA kwanini msiende Mahakamani kupinga zuio hili linalopingana na Katiba ya nchi?

  Baada ya uchaguzi kumalizika Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA hadi awe anaendesha harakati za siasa na kuhutubia? Biashara ya mgombea uraisi iliishia octoba 25 baada ya hapo yeye ni mwanachama wa kawaida tu.Hawezi itisha mkutano wowote kama mwanachama wa Kawaida.Polisi wasiruhusu mwanachama wa...
 19. East African Eagle

  Lowassa kuwa Mwenyekiti na Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA

  Kama ni kweli Lowasa alinunua chama Mbowe lazima afunge virago.Lengo la lowasa kuwa mwenyekiti itakuwa ni kutaka kumiliki chama ili adhibiti ruzuku za CHADEMA arudishe pesa yake aliyonunulia CHama.Kama Alinunua CHADEMA kwa bilioni 10 na ikiwa ruku ya CHADEMA ni bilioni moja kwa mwezi ina maana...
 20. East African Eagle

  Wapiga kura wa CCM Zanzibar 181,837 kuwakosesha Watanzania millioni 49 ruzuku ya MCC

  JWTZ hawajajipeleka ZAnzibar .JWTZ wako kule kikatiba.Katiba zote hii ya sasa na ya warioba zinawatambua.Kama ukitaka waondoke waondoe kwanza kwenye katiba.Kwa sasa they are there to stay.
Top Bottom