Search results

 1. rushanju

  Hapa sasa TCRA mmezidi

  Kama mnaweka masharti naomba muwe mnaangalia uwezo wa mitambo yenu. Tangu Ijumaa wiki iliyopita watu walipa kwa ajili ya kurudisha line zao zilizoptea lakini hakuna aliyepata line yake. Matokeo yake watu wanalipa kila siku na kauli yenu ni MTANDAO uko chini. Unaambiwa lipa tena na unalipa wimbo...
 2. rushanju

  TANZIA Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Patricia Majalisa katutoka

  Mwanamziki nguli wa muziki wa AfroPop Bi Patricia Majalisa kaaga dunia. South African disco queen, Patricia Majalisa, has died. In a message posted on the late Dan Tshanda’s Facebook page, Sylvia Tshanda and Dalom Stable said the world has lost a music icon, leader and great entertainer. “It...
 3. rushanju

  Tinataka kusikia haya

  Msikilize Deo Nsokolo
 4. rushanju

  Hivi ni mitandao gani huvujisha mawasiliano?

  Hi ni mtandao gani huu unaoweza kudukuliwa kirahisi tuuhame. Kama kweli hawa waliodukuliwa na ikafundulika kuwa ni mtandao mmoja basi natoa wazo watanzania wote kwa umjumla wetu tuupige chini tuone kama watafanya biashara. Kama ni mitandao tofauti basi TCRA wasikwepe hizi lawama
 5. rushanju

  Kuna anaemjua hata mmoja kati yao

  Wale wafanyakazi ambao sisi tuliaminishwa kuwa watarudi kazini baada ya vyeti vyao kuonekana kuwa havikuwa na tatizo je wamerudi kweli kazini? Je kuna mtu anaefahamu hiyo orodha ya watu hao? Je walisema hayo kabla ya bunge la bajeti kusudi bajeti yao ipite salama? Naomba anaejua lolote...
 6. rushanju

  Wanaosema Siyo Wameshinda

  Hii sasa inachefua Sent using Jamii Forums mobile app
 7. rushanju

  Askofu Gamanywa adai amechoshwa kuhusishwa na siasa, awauliza maswali ya DINI na SIASA wale wanaomfuatilia!

  DINI NA SIASA BISHOP GAMANYWA: Nimechoshwa sana na lawama za watu wanaoshutumu kwamba mimi nimekuwa mwanasiasa! Kabla sijatoa msimamo wangu katika eneo hili nataka kupata majibu ya maswali yafuatayo: 1. Kipi kimeingilia kingine, dini imeingia kwenye siasa au siasa imeingia katika dini? 2...
 8. rushanju

  Hugh Masekela hatunae tena

  Mwanamziki mkongwe nchini Afrika ya kusini Hugh Masekela amefariki nyumbani kwake Mpumalanga baada ya kupigania uhai wake kwa muda. Amekufa kwa ugonjwa wa saratani ya Tezi dume. Mwana mziki huyu ndiye mume wake wa kwanza na mama Miriam Makeba. Alizaliwa Mpumalanga mwaka 1936. Bwana Ametwaa
 9. rushanju

  Hata Sabasaba bunge haliko live

  Nilitaka kwenda kwenye banda la sabasaba kuulizia kwa nini bunge halirushwi live, ila kwa bahati mbaya nikakuta banda lao nalo haliko live (limefungwa). Nikauliza mlinzi aliyekuwa pale akasema ni kwasababu bunge lilikuwa linaendelea kule Dodoma. Lakini pembeni lilikuwepo Banda la Mahakama...
 10. rushanju

  Baada ya bei ya Mafuta kusuasua, Angola waamua kupanda ndizi

  Baada ya bei ya mafuta kusuasua duniani Angola ambayo ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Afrika, sasa imeamua kujitika katika kilimo cha ndizi ili kujipatia fedha za kigeni. Tutatazama kilimo cha ndizi katika eneo la Caxito. Je unadhani kilimo kitaweza kuziba pengo la kipato cha...
 11. rushanju

  Hivi ni Watanzania wangapi wanajua kuhusu hili

  Mambo mengi na gunduzi nyingi zimefanyika/ zinafanyika hapa nchini lkn kwa bahati mbaya hatujua na hatufshsmishwi kabisa kama hili hapa
 12. rushanju

  Kupanda kwa bei ya petrol

  Bei ya mafuta imepanda jana . Hii ni kawaida kila jumanne ya kwanza kila mwezi kufanya marekebisho ya bei ya mafuta. Ni juzi tu nimesikia mafuta yamepanda kidogo kwenye soko la dunia. Hapa kwetu haraka haraka wamepandisha, lakini nadhani mnakumbuka yalipokuwa yanashuka na mnakumbuka...
 13. rushanju

  Namba ya mtandao gani hii?

  Inaanza na 0744
 14. rushanju

  Mvua nyingi Januari hii: Mama Kijazi

  Huyu mama hakuna hata siku moja utabiri wake ukawa kweli. Namshauri akae kimya na heshima yake itabaki na mshahara atalipwa bila tatizo lolote. Hiki kitendo cha kujitokeza kwenye vyombo vya habari kila siku na stori za mvua nyingi, kwangu mimi zinaniondolea imani na huyu mama na taasisi yake.
 15. rushanju

  Hakuna tena El-nino

  Upepo ambao ungetuletea lile balaa la El-nino umebadili mwelekeo na sasa hatuko tena kwenye tishio hilo. Kwa sasa upepo unatokea ukanda wetu na kwenda bara la Asia na kuondoa kabisa uwezekeno wa mvua nyingi upande wetu. Hii inaweza kuwa ni habari njema kwa waishio mabondeni lakini habari mbaya...
 16. rushanju

  TANESCO inatunyanyasa sisi watu wa Vigwaza

  Kuanzi mwezi wa 5/2015 wapima njia ya msongo mkubwa wa umeme kutoka kinyerezi kwenda chalinze walipima nakutukataza tusifanye maedeleo yoyote kwa mdomo. Chakushangaza hakuna karatasi yoyote waliyo tupatia ili baada miezi 6 tuweze kudai fidia. Ninapo andika uzi huu tunaelekea mwezi wa 3 tangia...
 17. rushanju

  Club Soda

  Soda hii pamoja na tonic water ni soda ambazo ladha yake inapendwa na watu maalum. Mimi niliinywa kwa mara ya kwanza katika mazingira tatanishi kdg. Je wenzangu yaliwakuta yapi mlipokunywa soda hii kwa mara ya kwanza.
 18. rushanju

  Hili sakata limefika wapo?

  Lile sakata la mabasi kuwa na namba zinazofanana liliishia wapi? Mwenye data atutonye jamani
 19. rushanju

  Hawa ffu wanaenda wapi

  Niko Mandela karibu na ofisi za Halmashauri Temeke naona magari ya FFU na gari lao la washa washa wanakwenda kwa kasi na ving'ora. Naomba kuuliza wapi kimenuka?
 20. rushanju

  kwa lugha ya kwenu hili neno linaitwaje

  kwa kutumia lugha ya kwenu neno HASARA linaitwaje??
Top Bottom