Search results

 1. Mnyonywaji

  Huduma mbovu MultiChoice Tanzania

  Na mimi yamenikuta ya hawa DSTv (Multichoice), nimelipa tokea jana mchana lakini mpaka leo mchana huu hawajaniwashia niweze kuangalia. Simu yenyewe napiga tokea hiyo jana lakini zote hazipokelewi. Hii ni customer service ya aina gani? Huduma zimeoza kabisa, hapa wakija wengine natoa kabisa na...
 2. Mnyonywaji

  Mauaji Chuoni Muhimbili

  Domo Zege, no wonder umechagua hili jina, usiwe na hasira lakini maana taarifa zaidi utazipata tuu humu humu, mimi nina uhakika na taarifa hii sema nimekosa taarifa zaidi kwa haraka kutokana na namna nilivyozipata.
 3. Mnyonywaji

  Mauaji Chuoni Muhimbili

  Wana Jamii, Nimepata taarifa kwamba kuna mwanafunzi ameuawa pale Chuo Muhimbili. Mwenye taarifa kamili au aliyepo karibu na maeneo hayo atujuze tafadhali.
 4. Mnyonywaji

  World Economic Forum yaja - wadaresalama mtapita wapi?

  Zitafungwa kwa muda gani? Maana hiyo inaweza leta balaa jijini Dar.
 5. Mnyonywaji

  Low price for new projectors

  Low Price ndio TSH ngapi? Au wauza kwa USD?
 6. Mnyonywaji

  CCM pawaka moto Dodoma

  Naona sasa unaifanya JF kama sehemu ya majaribio. Weka data zinazoeleweka, sio kusema tuu CCM ndiyo mwisho. Sasa hapo ndio unamaanisha nini? Audio recordings zenu ziko wapi? Hapa naona hamna ukweli wowote...Pasco jitoe kuwatetea hawa jamaa. Kuna harufu ya kutumwa kupima wana JF na kuwapoteza...
 7. Mnyonywaji

  CCM pawaka moto Dodoma

  No wonder wewe ni FIELD MARSHALL
 8. Mnyonywaji

  International friendly: Tanzania (Taifa Stars) vs Ivory Coast (Les Éléphants)-Updates

  Mechi inaanza 1930hrs EAT yaani saa moja na nusu usiku kwa masaa ya Tanzania. Na ticket za mechi hiyo zimeandikwa muda huo.
 9. Mnyonywaji

  Mzee Kawawa afariki dunia!

  R.I.P. Simba wa Vita
 10. Mnyonywaji

  Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

  To: All our esteemed customer in Tanzania Dear Sir, and Madam, Hello, good day to you. How have you been ??? Hope you and yoru all family are fine. This is Toru Ogawa, Autorec Enterprise, LTD. Japan. We really appreciate your support to us and Autorec Enterprise Ltd. Japan. At...
 11. Mnyonywaji

  Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

  Nasikia ZOMBE nae kaachiwa.
 12. Mnyonywaji

  Barclays Bank Vacancies

  Barclays wanafungua Branch kule Tabora. Hizo nafasi zote walizotangaza ni za kwenye Branch hiyo ya Tabora. Kwa hiyo sio ajabu kwa wao kutangaza kazi licha ya kwamba wamewapunguza wengi hivi karibuni.
 13. Mnyonywaji

  Mr. M. R. J. Sabodo atoa tahadhari

  Wanajamii, Leo kwenye gazeti la Daily News, ukurasa wa mbele Mr. M. R. J. SABODO ameweka ujumbe kwa wa Tanzania kuwatahadharisha kuhusu Nephew wake, ujumbe wenyewe ni kama hivi: AUNALI AKBARALI KASSAM (A nephew to M. R. J. SABODO) If he (AUNALI AKBARALI KASSAM) takes any money from...
 14. Mnyonywaji

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Arsenal watamaliza katika Fourth position msimu huu. Aston Villa wameshaanza kuharibu, safari yao ya kuanza kuachia nafasi ya nne ilianza tokea wapigwe na Chelsea.
 15. Mnyonywaji

  Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

  Mapigo ya moyo yanaanza kuongezeka tena kama jana, hili swala la kesi kufanyika kwa siri linakuwaje? Mbona wengine wote wamewekwa hadharani? Ni nini kinafichwa hapa? Kama hili swala ni kweli kabisa basi nimeshaona dalili zote za kipigwa changa la macho. Wananchi tuna haki zote za kujua makosa...
 16. Mnyonywaji

  Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

  Saa Nane mchana Currently Active Users Viewing This Thread: 411 (140 members and 271 guests) Mnyonywaji, 911, Ab-Titchaz, Al, allse, Alnadaby, Arsenal, August_Shao, Baba_Enock, Bi Tarabushi, Binti Haki, Blanche, Boney E.M., Bubu Msemaovyo, bulugu, CHAUMBEYA, Chuma, CottonEyeJoe, dash, dedee...
 17. Mnyonywaji

  Epa na mambo yake

  Vica kama unalijua hilo jina si uliweke tuu watu walichambue? D.Ka ndio nani?
 18. Mnyonywaji

  Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

  Leo tumejionea mengi kwa kweli...Kandoro, Kova na Kimbisa wakiongoza magari. Tusubiri tamko la serikali kuhusiana na hali hii...hasa hasa Rais Kikwete atakapoongea na taifa mwisho wa mwezi kama ilivyo ada.
 19. Mnyonywaji

  Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

  Wazee wa EAC wametolewa bararani kibabe na sasa magari yameanza kupita. Kandoro na Kova hawakusikilizwa kabisa. Kule Kigamboni nako kivuko kimenasa kwenye mchanga na watu wengi sana wamenasa.
 20. Mnyonywaji

  TUCTA washindwa kuandaa mgomo hata mmoja!

  Hili swala la NMB lina impact kwenye Uchumi wa nchi vile vile. Maana NMB kwa siku mbili sasa hivi haipo kwenye Market ambapo Bank nyingi huwa zinafanya biashara na NMB haziwezi kufanya hivyo, ikimaanisha kwamba kutakuwa na uhaba wa pesa kwenye soko. Pia NMB wanakula hasara kubwa kwasababu kwa...
Top Bottom