Search results

 1. Mwana Ukoo

  Nimepata kazi kwenye NGO, nianze na kipi?

  Wakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa...
 2. Mwana Ukoo

  Taasisi karibia zote zi ajiri kupitia Utumishi

  Wakuu Moja ya mifumo imara ni huu wa Secretariat ya Ajira utumishi, Huu mfumo Utaleta Uimara mkubwa katika Taasisi za umma ambalo mwazo ilikuwa shamba la bibi yani ofisi unakuta imejaa ndugu tupu, Au watu wa ukanda fuĺani tu matokeo yake ufanisi hupungua sana na kufanya ofisi za umma kuwa kijiwe...
 3. Mwana Ukoo

  Naomba kujulishwa kuhusu maisha ya Songea, Ruvuma

  Wakuu naomba kujua machache kuhusu huu mji naweza kuwa kule kwa takribani miezi mitatu. Kwanza naomba kujua nauli za Bus kutoka Dar es Salam mpaka Songea? Je, maisha mji ule yapoje? Mtandao gani wa simu unatumika zaidi? Fursa za uwekezaji zikoje haswa katika biashara?
 4. Mwana Ukoo

  How Goverment is capable to shutdown internet access

  Hello technologist, I would like to hear technically from you, how is goverment could be able to shutdown imternet acces? tumesikia kuwa DRC congo has shutdown internet acces to their country to avoid leakage of election result s sasa ni kuwa wamewazaje kufanya ivo kuna switch yoyote inayoweza...
 5. Mwana Ukoo

  Kusimama Kwa Msafara wa Rais na Kuhutubia imekaaje Kiusalama

  Wakuu Msafara wa Rais (motorcade) ni msafara Makini na Wenye dhamani kubwa Popote upitapo, Traffic sambamba na wana usalama Hukakikisha Msafara huu upitapo Basi Barabara Hufungwa na watumiji wote wa Barabara kuupisha msafara Huu ili Kuondoa msongamano na kumpa uharaka mshesimwa Rais kufika...
 6. Mwana Ukoo

  Earhero Mbadala Wa Tube Coiled Earpiece Kwa Wana Usalama

  Ukiwauliza VIP protection Agents mbalimbali Changamoto juu ya Earpiece wanazovaa muda wote kwa ajili ya Kuwa linked na Kuwasiliana na Details inayokuwa Nje au Pembeni basi watakuambia Tube Coiled Earpiece Zinawaumiza sana masikio kushinda nazo, Secret Service Special Agent wanao mlindi POTUS...
 7. Mwana Ukoo

  Automatic Transfer Switch

  Wana Umeme, Automatic Transfer Switch ATS ni ipi Ni kiwa na Maana ATS inaweza Kutransfer load from one source of power to another whether Utility au Backup power Nataka Kujua Je ATS inapofanya Transferred hakuna Delay of time? Je hio delay of time haiwezi kuathiri load mfano TV, Au computer...
 8. Mwana Ukoo

  Wale Wataalamu (Expert) Wa IT kutoka Rwanda wameishia wapi

  Wakuu nilisikia Mkuu Kagame anataka kutupatia Wataalamu wa Information Technology na Mambo ya Computer Science kwa nia ya kuzidi Kuamsha Hamasa Juu ya Viwanda na sisi tumpe wataalamu wa Kiswahili Ivi ili swala limeishia Wapi, Niliona Pia swala La kupewa msaada wa Computer ambazo zinatumika...
 9. Mwana Ukoo

  Vijana Wenzangu Muache sasa kukimbilia Ualimu

  Wote tumesikia tangazo la Tamisemi juu ya kuajili walimu wa Sayansi na Hesabu tu, Najua hili litazua mijadala ambayo itapelekea serikali kuwachukua kidogo sana walimu wa Sanaa Ili kukwepa Kushushiwa lawama nyingi, Hali ya nchi sasa inaonekana ilivo hakuna haja ya kujadili, Vijana tuji kite...
 10. Mwana Ukoo

  Nataka Kujifunza Mambo ya Networking

  WAKUU, nahitaji muongozo wa kujifunza mambo ya Networking nijue tu basics ,Kwa wale wabobezi je nianze na kipi mimi ni mgeni kabisa japo Nina ufahamu kiasi Fulani wa computer
 11. Mwana Ukoo

  Je nikifuta window Folder?

  wakuu nikienda OS kuna folder la window sasa naona laptop yangu haina kabisa space yani apo os ni GB 29 huku window folder likila 20Gb unaona nabakiwa na GB 9 tu sioni local C au D PC yenyewe ni mini kama notebook Fulani ivi je nikifuta hili folder la windows 10 naweza vuruga mashine?
 12. Mwana Ukoo

  Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

  Wakuu Hii kampuni ilianza kwa kasi mno mno, Sina nia ya kuichafua wala kuipaka matope ila wame drop hata siamini kama ndio wale waliokuwa wanatandaza Fiber optical cable, Nimewah hudhulia site zao kadhaa kikazi lakini ilikuwa ni part time kabla ya kuwasha minara yao, Hawa jamaa walionesha njaaa...
 13. Mwana Ukoo

  Hivi seller ni lazima aandike Jina na namba ya simu?

  Wakuu hvi mzigo wangu ukifika posta ntajuaje kuwa umeshafika na nina paswa kwenda kuuchukua?, nimenunua Ebay
 14. Mwana Ukoo

  Atheists tulionekana wa ajabu sana!

  Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi...
 15. Mwana Ukoo

  Msaada tutani

  Wakuu Pc yangu ina matatizo kadhaa kama kutofungua apps ambazo zilikuja na Pc inasema apps can't open using the built-in adminstration niliwah badili akaunti kwenye machine sasa kuirudisha previous one nashindwa, Pili nilikuwa natumia simu kuunga na internet sasa nayo haitaki kabisa inakuwa...
 16. Mwana Ukoo

  Harakati ya kutengeneza Taifa la Wasomi Wa kati tu

  Wakuu habari ya wakati huu, Kwanza niwapongeze Watanzania wenzangu ndugu jamaa na marafiki waliofanikisha kujiunga na Taasisi za Elimu ya Juu Natambua si wote waliofanikisha hili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo haswa mikopo au Matatizo binafsi au kutodahiliwa, Elimu ni Daraja au nyezo...
 17. Mwana Ukoo

  Siamini kama Natumia Halotel

  Wakuu Nilitoka kidogo kwa muda kama wa miezi sita hvi sasa leo nimerejea hapo Nyumbani kusabahi ndugu jamaa na rafki na kujumuika nao holiday hii wakati naondoka halotel ilikuwa ni H+ plus muda wote, na speed ya kueleweka sasa tangu jana naona ni 3G na H tu isio na speed yani very slow mpaka...
 18. Mwana Ukoo

  Wapi Ntapata supu ya kenge hapa Dar?

  Wakuu nina shida sana na hii supu Kwani muda kweli sijaitumia nilisikia samaki samaki wanauza local food ila bado nilikosa mwenye kujua anielekeze wapi ntapata supu ya kenge au mamba kwa hapa Dar?
 19. Mwana Ukoo

  This app Can't open

  Cant be opened using the built-in adminstration account wakuu huu ujumbe unajitokeza sana ktk baadhi ya apps kama kamera,store na zinginezo natumia win 10 sasa niliwahi restart machine na kucreate new adminstration nifanyeje kusolve hili?
Top Bottom