Search results

 1. Veyron

  Kigezo cha kwanza kwa mtu anayewania urais awe na shahada ya uchumi

  Habari zenu wakuu. Poleni na majukumu. Hapa nilikuwa nimekaa tu natafakari mambo kadhaa ambapo niliangali tangu mwanzo wa awamu wa tatu mpaka hapa tulipo, huku nikichambua mambo kinagaubaga kwenye baadhi ya sera za viongozi wetu. Nilijaribu kuangalia mafanikio na mapungufu ya awamu ambazo...
 2. Veyron

  Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu nawapenda wanawake wa Kanda ya Kaskazini

  Habari za wakati huu wakuu. Mimi sio mzaliwa wa kanda ya kaskazini lakini kutokana na harakati za kimaisha tunapita mahali pengi sana na tunakutana na watu wengi. Binafsi wakati wa kusaka maisha ya Mapenzi kutoka ujana mpaka saivi nahisi tunakutana na mapenzi ya aina nyingi lakini kwakusema...
 3. Veyron

  Kwanini watazamaji wengi wa filamu zenye maudhui ya mapenzi (Drama Series) wamefeli sana kwenye sekta hiyo?

  Habari zenu wakuu. Nimejaribu kuwaza tu kwa sauti japo mawazo yangu yanaweza kuwa sio sheria . Kuna wakati naangalia kulia na kushoto naona kuna idadi kubwa ya watu wanapenda kuangalia sana zile cinema au movie zenye maudhui ya mapenzi maarufu kama drama series nyingi zikiwa zimetengenezwa...
 4. Veyron

  Kwanini customer care ya mwanaume ni bora zaidi kuliko ya mwanamke?

  Habari wanajamvi! Hapa nimetoka kuongea na customer care wa offisi Fulani hivi(Naomba nisiitaje) Kuhusu malalamiko ya account Yangu kutowezesha pesa kutoka . Nilipiga simu Mara ya kwanza akapokea Mdada na mazungumzo yalikuwa hivi? Customer care : Haloow...unaongea na ......naongea na nani...
 5. Veyron

  Naskia ukitumia SMARTPHONE unakuwa mwanaume wa Dar.

  Na hao watu wanaojiita wamikoani sijui tatizo nini? Kuna watu saivi mtaani hawali chips vibandani Kuna watu saivi kuoga Mara moja kwa wiki. Kuna watu saivi Maisha yao yameharibiwa na hii misemo ya watu wasio kaa dar. At kufanya kitu flani ni chakimama. Sasa hii Mpya na Kali yao nimeisoma...
 6. Veyron

  Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

  Mtoto wa kiume wa mwalimu wa neno la mungu kutoka Arusha, Christopher Mwakasege aitwaye Joshua Mwakasege amefariki katika hospital ya Agha Khan baada ya kuugua ghafla akitokea kazini kwake. Habari za awali zinasema alijisikia vibaya ghafla na kukimbizwa hospitalin hapo ambapo madaktari...
 7. Veyron

  Kwanini wanawake wengi wa JF wanaonekana kuchangia sana post zinazohusu mapenzi ukilinganisha na post zingine?

  Habari za muda wadau! Nimeona Leo nijaribu kuona maoni ya wadau kuhusu wanawake wengi kuonekana wakivamia post za mapenzi na kuonekana kuwa na mchango Lakini katika pitapita zangu siwaoni wakichangia sana Kwenye post zinazohusu siasa wala siwaoni Kwenye jukwaa la teknolojia wala uchumi. Hii...
 8. Veyron

  Mnaoweka vioo vyeusi "TINTED" Kwenye Magari yenu huwa mnajificha nini?

  Ndugu zangu habarini! Hivi staili ya kuweka vioo vyeusi au tinted huwa inaashiria nini ! Unakuta mtu Yuko Kwenye VX V8 afu kaweka tinted ukiangalia ndani unabaki kujiona mwenyewe ...sasa huwa najiuliza Mali umetafuta kwa jasho lako mwenyewe iweje ujifiche au unaona aibu gani watu wakikuona na...
 9. Veyron

  Noah Road Tourer 1999 nataka nibadilishe manufacture year uwe 2000 Niitumie kwenye Uber!

  Kwa wataalam wa magari Niko na kanoah kangu kamoja hivi nataka nikabadili mwaka wa kutengenezwa kutoka mwaka 1999 kwenda mwaka 2000 ili niitumie kwenye uber ,sasa sijui kama inawezekana na ikiwezekana ndo nafanyajefanyaje kwenye cadi ya Gari ! By the way biashara ya uber wanataka Gari...
 10. Veyron

  Ulianzaje Kushabikia Timu unayoipenda ..Mimi nilianza hivi..!

  Nakumbuka mwaka 1998 France wanachukua kombe la dunia Niko darasa la tatu Mdogo sana ila nafuatilia mpira hatari ! Nakumbuka Kwenye fainali hiyo hiyo zinedine zidane (zizou) anafunga goli Kali sana Lililosababbisha Mimi na watoto wenzangu kushangilia mpaka tukadondosha TV ... Nilichezea...
 11. Veyron

  American movies: Characters wanaocheza scene ndogo zenye sex actions huwa wanaipangiliaje hiyo scene?

  Unakuta most of american Hollywood movies unakuta kuna sex action zimewekwa yaani watu wakifanya ngono hadharani mbele ya kamera Na hali wakijua wanaonekana Na wazazi wao Na Ndugu. Nafikiri hii Ni mbaya maana mshiriki hakujidhihirisha kuwa yeye Ni porngraphic actor lakin anakuwa tayari Yuko...
 12. Veyron

  Kwanini wakati wa Kikwete watu walikuwa wachapa kazi kuzidi wakati huu wa Magufuli?

  Nimejaribu kuangalia Takwimu zangu za haraka haraka nimegundua wakati wa kikwete watu walikuwa wanapiga kazi sana watu walikuwa saa 3 ndo mtu anaingia home,Hata kujituma kulikuwa kwa hali ya juu. Hali imebadilika sana kwa saivi unakuta mtu anarudi nyumbani saa 12 kichwa chini mikono nyuma...
 13. Veyron

  Kwa wenye uelewa na maswala ya kiuchumi ,Njooni mnisaidie maswali Yangu machache!

  Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyosema . Nina maswali Yangu ambayo naamini wachumi watanijibu kufasaha na nitaelewa ! 1. Kwanini bei ya mafuta inapanda na kushuka ikifika mwishoni mwa mwezi ! ? Na Mara nyingi siku za jumatano! 2. Hivi pesa inakuwaje ngumu kupatikana hali...
 14. Veyron

  Nimejikuta uzalendo na nchi yangu Tanzania umepotea, nimepata uzalendo wa nchi ya China

  Kupenda sikizote Ni moyo .moyo ndio unaamua upende wapi. Miaka kama miwili nimejikuta kuichukia sana Tanzania sijui kama tatizo Ni LA nchi au nilangu binafsi hilo bado natafakari mpaka Leo! Nimejikuta natamani kuishi CHINA na kuwa Mmoja wa raia wa nchi ile kutokana na Maisha niliyoishi Kwa muda...
 15. Veyron

  Uliambiwa ulikuwa unapenda nini ukiwa mdogo? Tafsiri halisi iliyofanikisha maisha yangu

  Habari za siku wadau, Bila shaka kila mtu yupo hapa duniani kwa malengo ya kuishi maisha mazuri. Haifurahishi sana kuwa katika maisha ambayo hayakupi furaha na pia inaumiza sana kuona unaishi maisha yaleyale kila siku. Binafsi nilijaribu kutoka kwa kila njia maishani ila nilishindwa kiukweli...
 16. Veyron

  Baada ya serikari kuitangaza UDART kuwa kinara wa utoaji huduma bora mwaka 2017. Mimi ningependa AZAM wapewe no 1

  Habari wakuu! Kiukweli Mi sikuridhika sana na serikari kuipa UDART kuwa kinara wa utoaji huduma bora. Nakumbuka kuna mwaka huko nyuma serikari ilitoa tuzo Kwa kampuni ya SCANDINAVIA kiuhalali kabisa na miaka hiyo mabasi hayo yalikuwa Ni moto sana .nilikuwa nikikosa ticket ya mabasi hayo nabaki...
 17. Veyron

  Ametoa bikra 8 kati ya hizo mbili ndio zilizotoa damu ,,Unakosea unapotoa bikra mwanamke hadi atoe damu

  Habari wakuu. Kuna kijana wangu Mmoja alieñifundisha maswala ya mahusiano na namna nzuri ya kupata mwanamke . Alinipa basic step mwanzo mpaka mwisho unapewa mzigo Nakumbuka nilikua na tabia nzuri zamani lakini baada ya kuwa na urafiki na huyu jamaa Tabia Yangu ilibadilika na alinifundisha...
 18. Veyron

  Hospital inayotoa huduma nzuri Kwa Dar es Salaam kati ya Regency, Aga Khan na Hindul Mandal kwa vipimo vya mwili mzima?

  Habar za mida wakuu, Binafsi huwa napenda kila Mwisho wa mwaka kufanya full body check up. Naangalia mwili wangu unahitaji nini. Naangali sukari mwilin. Naangalia sumu ikoje mwilini. Damu naipima kila kitu. Nachek H.I.V Kiujumla naangalia mwili mzima. Sasa nahitaji sehemu nzuri yenye vifaa...
 19. Veyron

  Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

  Nimekutana na kaubishi jioni hii . vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae . Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu. Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama...
 20. Veyron

  Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

  Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho. Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku...
Top Bottom