Search results

 1. bintishomvi

  House4Sale Nyumba ipo Kimara Mwisho inauzwa

  Habari wanajukwaa nauza nyumba ipo kimara mwisho maeneo ya kwamashaka km 4 kutoka barabara ya morogoro road kwa boda bodo ni sh/ 1000 kwa bajajish/500. Eneo lina upana wa 40 -33 na 40 20 - 33. Eneo limepimwa Lina namba ya ardhi bado prosses za hati tu. Nyumba ina master 1 ,vyumba vya kulala 2...
 2. bintishomvi

  Biashara ya magari na spare part Dubai na changamoto zake

  Habari wapendwa nataka kwenda Dubai kununua spare part na magari. Naitaji kujua machimbo ya ununuzi na changamoto zake na jinsi ya kusafirisha Michango yenu na ushauri tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. bintishomvi

  Msaada Tafadhali: Namna ya kutoa lebo kwenye chupa

  Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
 4. bintishomvi

  Umilikishwaji ardhi unavyonikwamisha maendeleo yangu

  Habari wapendwa, Mimi ni mwanamke ninayefuatilia umilikishwaji ardhi toka mwaka 2009 maeneo ya Mavulunza Kimara, tulipimiwa mwaka ulipita mradi wa Manispaa 2012 ikaonekana mie nilipe 440,000 nikalipa nikapimiwa na kuwekewa beacon, mradi ukapita kimya pesa tulipigwa. Ukaja mradi mwingine mwaka...
 5. bintishomvi

  Msaada na ushauri

  Habari wana jamvi ! Nilikuwa naomba ushauri kuna Fundi maeneo ya Tabata garage nilipa pesa ya kunitengenezea machine ya kusaga plastic chakavu .Toka mwaka 2011 kwa makubaliano ya kipindi kile atatumia week 2 nikampa nusu na robo ya pesa akimaliza tumaliziane kiasi kilicho baki ,tukakakubaliana...
 6. bintishomvi

  Msaada tafadhali

  Naomba wajuzi wanielekeze kutumia email nikituma jumbe inaenda na neno la siri
 7. bintishomvi

  Msaada: Nataka kujua ni kampuni gani inayotuma/kupokea vifurushi kutoka Dubai au Uingereza

  Habari wadau, Nilikuwa naomba ushauri kuna mpendwa mmoja ana taka kunitumia kifurushi,(zawadi) kutoka Dubai au akifika Uingereza ni muingereza ameniambia nimtumie. 1.Jina langu kamili 2.Namba ya simu 3.Box namba 4.E-mael Na la mwisho nimtajie company ya kupokea na kutuma hiyo zawadi iliyokuwa...
 8. bintishomvi

  House4Sale Nyumba inauzwa Kimara mwisho

  Nyumba ipo Kimara mwisho km 3 kutoka barabara ya MOROGORO maeneo ya Mavurunza eneo limepimwa lina ukubwa wa sq mita 900 nyumba imeishia linta ,(haijapauliwa) ni selfu ina vyumba 3 vya kulala kimoja wapo ni master sebure,sehemu ya chakula, jiko stoo vyoo 2 vya ndani ipo sehemu nzuri gari inafika...
 9. bintishomvi

  Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

  Mimi ni mjasiliamali ninae shugulika na biashara za takarejea kwa mfano Machupa na Plastic chakavu nimejitahidi nimenunua mota na machine ya kuchakata na kutoa vipandevipande. Nguvu yangu imeishia hapo nimezunguka kwenye kuomba mikopo wanadai mpaka waone eneo la biashara na mpaka ifike miezi 6...
 10. bintishomvi

  Nyumba inauzwa Kimara Mwisho

  Nauza nyumba ipo Kimara mwisho nyumba imeishia linta bei 29,000,000 ina vyumba 3 kimojawapo ni master ina sebure kubwa sehemu ya chakura ,jiko ,vyoo 2 vya ndani na stoo. Eneo lina ukubwa wa meta mraba 900 eneo limepimwa bado kukabidhiwa hati miliki gari mpaka mlangoni . Kwa mawasiliano...
 11. bintishomvi

  Msaada wa kisheria tafadhali

  Nimeenda kwenye eneo langu ambalo naendeleza ujenzi nimekuta jirani yangu nilie karibu yangu mpakani ametoa beacon moja wapo zilizo wekwa miaka mitatu iliyopita, nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya wito nimeipeleka kwa mjumbe. Sasa wakuu naombeni ushauri nilivyofanya ni sahihi naweza...
 12. bintishomvi

  Msaada wa kisheria tafadhali

  Nilienda kwenye eneo langu nimekuta jiwe langu wamelitoa nalietoa ameweka nguzo yake ya geti na anaendelea na ujenzi. Nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya nipeleke kwa mjumbe na amkabidhi mlengwa ili tukutane tuyaongee sasa naomba msaada wa kisheria ya hardhi hapo inafafanua nini kwa...
 13. bintishomvi

  Anayejua masoko china ya recycle tafadhali.

  Nataka kupeleka material ya pp na pet Naona wachina wanaitana tu na kujazana kwetu wakati nasi tunaweza kufanya na tuna uzoefu wa kutosha kupata malighafi.
 14. bintishomvi

  Hodi hodi wanajamvi

  mimi ni mdau mpya
Top Bottom