Search results

 1. IKIRIRI

  YouTube wanatumia kigezo gani kuifanya video iwe 1 trending?

  Wadau naomba ufafanuzi. Unakuta video ina 1300000 views iko no1 trending but pia kuna video ina 2M iko 2 trending ili linakuwaje wadau? Trending video Tz kwa sasa inafanana na mfano niliotoa.
 2. IKIRIRI

  Shareholders Wasafi media kuna siku Diamond Platnumz atawagharimu mjitafakari

  Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao. Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha Diamond Platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform. Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama...
 3. IKIRIRI

  Mkasa wa ajali ya bodaboda inavyomaliza vijana

  Jana nilikuwa nimeshuhudia boda wanapata ajali na kufariki papo hapo. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa bodaboda 1 aliye overtake Semi...kwa speed kwenye zebra... Kumbe mbele kuna pikipiki inatokea upande wa pili...wakakutana centre.. Wakagongana USO kwa USO....wote wakajikuta uvunguni mwa...
 4. IKIRIRI

  Mzazi mpime mwanao mimba kabla hajaenda shule

  Wazazi wenzangu nawasihi sana shule zikifunguliwa jitahidi umpime mimba mwanao unaweza mpeleka hospital. Watoto wa siku hizi hawaaminiki hata kidogo, ni vema uchukue tahadhari mapema kabla ya hatari Ikitokea ana mimba ni rahisi kuchukua hatua kabla haijagundulika shuleni\ ====== UPDATE ======...
 5. IKIRIRI

  Nina Tsh. milioni16, nataka kununua Hiace nifanye biashara ya daladala

  Wadau kichwa cha habari kinajieleza. Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani =====
 6. IKIRIRI

  Le Commandant comrade Makonda yuko wapi?

  Nimezoea kila wiki lazima Mh. Mkuu wa mkoa wa Dar ataleta hoja nzito za kimaendeleo, lakini moana kimya au yuko likizo? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. IKIRIRI

  Dudu Baya Serikali hawashindani nayo

  Imani yangu wapo wadau hapo wako karibu na Dudu Baya huko IG anatukana mno. Amepewa wito na basata ,anasema hatoenda kamwe,huku akitoa shit nyingi juu ya serikali na viongozi wa basata. Cha kushangaza anatoa sifa kwa magufuli huku anatoa shit kwa wateule wake. Sasa naomba waliokuwa karibu nae...
 8. IKIRIRI

  Kujenga nyumba ya ibada kwa fedha haramu hairuhusiwi

  Ila hapa lazima tuwe makini kidogo, inawezekana mtu akawa anauza pombe biashara haramu, lakini possibly akafanya biashara nyingine halali akaitumia kujenga nyumba ya ibada. Yote kwa yote katika hii dunia hakuna wa kumfunga paka kengele, binadamu wote ni wadhambi. Bora yule ambaye ni mdhambi...
 9. IKIRIRI

  Zitto Kabwe umeshindwa kumpokea Diamond?

  Wewe ndio Mbunge wa Kigoma Mjini, nashangaa msanii mkubwa vile anavuta umati kiasi kile wewe haupo kweli? Mbona project yako ya wasanii wa Kigoma ilipata support nzuri tu? Sent using Jamii Forums mobile app
 10. IKIRIRI

  Ukiwa shabiki wa Diamond raha sana

  Yani kuna muda binadamu unahitaji refreshments. Kama ni kweli ni mpenda burudani kama unamshabikia Diamond raha sana, jamaa ana vibe kali. Ipo sehemu tu katika mambo yake itakunogea na kukuvutia. Naangalia Wasafi TV live mapokezi anayopewa sitaki kuamini kama watu hawa wamenunuliwa; mji...
 11. IKIRIRI

  Maisha ya kustaafu magumu sana kwa kada hizi

  1. Polisi - Kwanza katika watu ambao wanaishi maisha yasiyo na stress hasa katika umiliki wa vyombo vya moto ni askari polisi, wanabebana mno, kuna askari ambao tangu wanunue gari hawajui bima, wala kukamatwa barabarani. Pia mambo yao mengi yanaenda vizuri kwa sababu wamepewa dhamani kubwa sana...
 12. IKIRIRI

  Nchi ya walevi

  Sikukuu ya Christmas kwa mujibu wa waumini ni sikukuu takatifu, lakini cha kushangaza ndio siku ambayo pombe inapewa nafasi. Mfano mdogo kwenye treni inayoenda Kilimanjaro abiria wanaomba kilevi kiongezwe coz ni msimu wa Christmas. Na serikali imetii kuongeza creti za bia kutoka 50 hadi 150...
 13. IKIRIRI

  Nilitarajia Rayvanny na Diamond wangepokelewa na Mh Sugu kama mwenyeji

  Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana. 1. Mbunge. 2. Msanii mwenzao Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji. Kama unakumbukumbu Ray kafanya sampo ya wimbo wa Sugu unaitwa SUGU. Inaonyesha wako pamoja sana lakini...
 14. IKIRIRI

  Vifo ya ghafla wajane/ wagane wanakutana na mambo mazito kwenye simu ya marehemu

  Mara baada ya kifo simu zinakuwa chini ya mgane au mjane. Kwa kipindi hiko baada ya kifo baadhi ya michepuko wanakuwa hawana taarifa ya kifo. Hapo ndipo maumivu yanazidi because anagundua madudu ya mwenzi wake. Hii imetokea kwa jirani yangu anadai uchungu wote umeisha baada ya kugundua...
 15. IKIRIRI

  Ni sahihi maduka ya rejareja mtaani kuuza dawa baridi?

  Hapa mtaani kwangu nimegundua maduka karibia yote, wanauza dawa baridi Panadol, Cofta, Paracetamol, Hedex nk. Pia wanauza na condom. Pia nimegundua baadhi ya dawa wanazouza ukienda maduka rasmi ya dawa baridi huwezi kupata. Pia dawa zao zimekaa muda mrefu sina hakika kama wahusika wanafuatilia...
 16. IKIRIRI

  Viongozi CHADEMA mnawapa wakati mgumu sana wanachama wenu

  Mmekuwa vigeugeu sana. 1. Mlisusa wakati wa kuapishwa eti hamtambua Urais wake. 2. Mlipinga kila kitu hadi mkaitisha operation UKUTA. 3. Juzi mkatia fora mkasusia uchaguzi. Haujapita hata mwezi mnakuja na wala la maridhiano. Kumbuka wanachama huku mtaani mnawachanganya nyie mnaelewana wao...
 17. IKIRIRI

  Tigo Fiesta haijafanikiwa kupata watu waliowatarajia

  Niko ground hapa uwanja haujajaa, pia majukwaa yako tupu. Nilijua bei ikiwa ndogo ingevuta watu wengi. Hii inapelekea mpaka sasa hawarushi live matangazo yao kwenye Tv. Hata Millard Ayo camera yake iko kwenye stage tu.
 18. IKIRIRI

  Serikali ipitishe sheria hijab na kanzu yawe mavazi ya utambulisho wa taifa

  Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika. Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi. Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi. Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na...
 19. IKIRIRI

  Kwanini Diamond nyimbo zake haziondolewi YouTube licha ya skendo za kukopi kopi?

  Katika wasanii wana skendo nyingi juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platnumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube. Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa YouTube. Hii ikoje wadau wa musiki?
 20. IKIRIRI

  Kauli ya ndoa ni uvumilivu imepitwa na wakati

  Zamani heshima ya mwanamke/mwanaume ilikuwa kuolewa au kuolewa hata kama una elimu kiasi gani. Lakini dunia ya leo mambo yamebadilika sana. Hili linawagusa sana wadada nawaambia mjue. Kwanza, wanaume wengi sio waoaji ni wachezeaji. Na wanaume wanaofanikiwa kuoa wanatumia muda mwingi kuwatesa...
Top Bottom