Search results

 1. Shukurani

  Polisi na fuvu la kichwa cha binandamu: Je, siyo fuvu hili hili lilitumika pia katika tukio la 2009

  POLISI NA FUVU LA KICHWA CHA BINANDAMU: JE, SIYO FUVU HILI HILI LILITUMIKA PIA KATIKA TUKIO HILI LA 2009 Katikati ya wiki hii ambayo wizara la mambo ya ndani iliwakilisha bajeti yake na jeshi la polisi kujikuta katika lawama kubwa saana ya kubabikiza wananchi kesi, japo ndani ya bunge...
 2. Shukurani

  Uwanja huu ni kwaajili ya gwaride la jeshi?

  Jana katika taarifa ya habari ya star TV,kilitokea kituko cha mwaka kuhusiana na uwanja mpya. Mhe naibu waziri,Bendera aling'aka kuhusiana na TFF kudai mechi za timu ya taifa lazima zichezewe kwenye uwanja mpya,majibu ya waziri yalikuwa hivi,nanukuu "HIVI WAKATI HUU UWANJA MPYA HAUPO,HIYO TIMU...
 3. Shukurani

  Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

  Nakaa na kufikiri sana kama hotuba ya JK mwezi huu itaweza kujibu maswali yetu yote muhimu ambayo yanahitaji majibu ya haraka. Tungependa kujua tume ya BOT imefikia wapi? Vipi kuhusu Attoney general,atawajibika lini? vipi kuhusu Hosea,amefikia wapi? Watuhumiwa wa Richmond,serikali inachukua...
 4. Shukurani

  Fisadi kaitwa shujaa kwao:Nyerere na moringe tuwaiteje

  wanaJF nimepatwa na kizunguzungu cha kufa mtu,baada ya kuona watanzania wenye akili timamu wanampokea mtuhumiwa wa ufisadi Lowassa wakiwa na fulana zenye maandishi "karibu lowassa,shujaa wetu".Nikajiuliza huyu mtu ni shujaa kwa misingi ipi? Kwa ufisadi wa kuliingiza taifa hasara? Kwa kuwajibika...
 5. Shukurani

  Hizi kesi zimefikia wapi?

  Kumekuwa na kesi mbili za mauaji zilizowahusisha watendaji wakubwa serikalini. Ya kwanza ni kesi ya Zombe aliyetoa amri ya kuuwawa vijana wenzetu kwa risasi na askari polisi,kesi hii ilikuwa ikiendelea pale mahakama kuu,imefikia wapi. Ya pili ni kesi ya Ditopile,aliyemtwanga risasi ya kichwa...
 6. Shukurani

  Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

  Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
 7. Shukurani

  Kikwete: Vijana wakiongoza nchi pekee yao itawaka moto

  Hii ilinigusa sana wakati wa hotuba ya JK wakati akitangaza baraza la mawaziri pale Dodoma. Moja kati ya statement aliyotoa ni kwamba nchi hii ikiongozwa na vijana itawaka moto. Nikajiuliza,ina maana vijana hatuna uwezo na uzoefu wa kuongoza nchi? Tutaendelea mpaka lini kukumbatia hawa wazee...
 8. Shukurani

  Padre: sio mafisadi ni mafisi- maji

  Source: Mwananchi Tunakoelekea matusi ya nguoni yatawatoka watu. hii inaonyesha jinsi watu walivyochukizwa na suala hiliPadri: Waliohusika Richmond si mafisadi bali mafisi maji Na Geofrey Nyang?oro PADRE Agapit Mhando wa Jimbo la Morogoro, amedai kuwa watu wote waliohusika na kashfa...
 9. Shukurani

  Haaoo: Watimuliwa kwa kutafuta kuomba uwaziri kwa JK

  Akataa kuteta na wabunge *Ni mpaka atangaze Baraza la Mawaziri * Walikwenda kumwona warudi patupu Na Mwandishi Wetu, Dodoma RAIS Jakaya Kikwete jana amekataa kukutana na wabunge na baadhi ya waliokuwa mawaziri hadi hapo atakapotangaza Baraza jipya leo. Habari za kuaminika kutoka Ikulu ya...
 10. Shukurani

  Mwanyika: Sihusiki na kashfa ya Richmond

  na Mwandishi Wetu | Tanzania daima MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, amesema hana tatizo licha ya kutakiwa kujiuzulu na Kamati Teule ya Bunge, iliyopewa kazi ya kuchunguza mchakato wa zabuni ya Kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond. Aidha, Mwanyika alishindwa kuweka...
 11. Shukurani

  Nguvu ya wananchi: Yamkumba mkuu wa wilaya Magu

  Wananchi wagomea mkutano wa DC Source: Tanzania Daima na Ahmed Makongo, Magu WANANCHI wa Kijiji cha Yichobela, Kata ya Nyigogo, wilayani Magu, Mwanza, mwishoni mwa wiki waligoma kuhudhuria mkutano uliokuwa umeitishwa na Mkuu wa wilaya hiyo (DC), Mathow Nasei, kwa ajili ya...
 12. Shukurani

  Kuna haja gani ya kuwapongeza mafisadi waliojiuzuru

  Jana katika kikao cha bunge, wachangia hoja waliopata nafasi waliwapongeza Lowasa, Karamagi na Msabahaa kwa uamuzi wao wa kujiuzuru. Kwa upande wangu sikuona sababu ya kuwapongeza watu ambao wameshindwa kutimiza wajibu wao na kulitia taifa hasara kubwa. Kiujumula Lowassa alitakiwa ajiuzuru toka...
 13. Shukurani

  Mwafrika wa kike maneno yako nayaunga mkono

  Dada mwafrika wa kike napenda kukupongeza kwa kilio chako ulichokuwa unapeleka kwa JK, naona maono yako sasa yametimia. Sioni sababu za kuendela kuwa na baraza la mawiziri ambalo mwenyekiti wake ananuka rushwa. Mwafrika wa kike is now Challenging President Kikwete to dissolve his Cabinet for a...
 14. Shukurani

  Ukisikia kuchoka kwa watanzania basi ni huu mkasa wa jana katika ofisi ya kinondoni

  Source: ITV news Jana jioni kuliripotiwa kuzuka kwa vurugu la kukata na shoka kati ya raia na mgambo wa manispaa ya kinondoni katika ofisi za mkuu wa wilaya hiyo. Chazo ni baada ya mgambo kumshambulia raia moja ambaye walimkuta akisubiri daladala katika kituo hicho na kumfaninisha na chinga...
 15. Shukurani

  Bei Ya Umeme Juu Kwa Asilimia Moja

  WAKATI SAKATA LA RICHMONDULI LIKIWA LIMEWAKALI KOONI WANACCM HUKO DODOMA,TANESCO YAONGEZA BEI YA UMEME KWA ASILIMIA 1 KWA WATEJA WAKE WOTE. JE TUTAFIKA? TANESCO yamwongezea mteja mzigo SOURCE: MAJIRA Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa mara nyingine...
 16. Shukurani

  Msimamo Wa Chama Huenda Ukatawala Mjadala Wa Richmonduli

  HOFU YANGU NI MSIMAMO WA CHAMA KUTAWALA WAKATI WA MAJADILIANO Wabunge CCM wajipaga kuikabili joto la Kashfa ya Richmond Na Tausi Mbowe, Dodoma SOURCE: MWANANCHI WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanakutana leo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kwa ajili ya kupanga msimamo wa pamoja katika...
 17. Shukurani

  Wabunge: Kaza Buti

  Wabunge wembe huo huo Habari Zinazoshabihiana • Wabunge hii ni changamoto kwenu 27.01.2008 [Soma] • Cheyo, Ole Sendeka waungwe mkono 03.02.2008 [Soma] • Rais Kibaki kafanya usanii? 10.01.2008 [Soma] JUZI semina ya wabunge iliyokuwa ikijadili Muswada wa Sheria za Umeme na...
 18. Shukurani

  Siri Ya Spika Kuhairisha Safari Yafichuka

  Sitta atoboa siri kupiga 'stop' mjadala Habari Zinazoshabihiana • Sitta aagiza Richmond, EPA 'ziwekwe kiporo' 02.02.2008 [Soma] • Mahakama yaipiga 'stop' baa ya mtoto wa Kingunge 14.12.2007 [Soma] • Upimaji UKIMWI kesho Baadhi ya wabunge kiroho juu 20.07.2007 [Soma] Na...
 19. Shukurani

  Mbuge ODM: auhutubia DAR

  Mbunge ODM ahutubia Dar aomba majeshi ya AU kwa Kikwete * Kalonzo aenda Ulaya, Marekani kurekebisha mambo Na Waandishi Wetu MBUNGE wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha nchini Kenya, Mohamed Dor Mohamed, amemuomba Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete...
 20. Shukurani

  Slaa-ufisadi mwingine waibuliwa kwenye mfuko wa import support

  Dk Slaa aibua ufisadi mwingine wa Sh1 trilioni Na Tausi Mbowe, Dodoma MBUNGE wa Karatu, (Chadema), Dk Willibrod Slaa, ameibua kashfa nyingine na kudai kuwa zaidi ya Sh1 trilioni zimepotea katika mpango wa Mfuko wa Kusaidia Wafanyabiashara Kuagiza Bidhaa kutoka Nje (Import Support)...
Top Bottom