Search results

 1. Isaack Kyando

  Je Dawa ya Meno (Toothpaste) inaweza kutumika kama Thermal paste ya Pc's Processor?

  Wadau naombeni uhakika kwasababu kuna post nilisoma net wamesema "Toothpaste is also an excellent substitute for thermal paste" Kwa anayejua naomba anithibitishie.
 2. Isaack Kyando

  Consuption ya 100 watts ina hitaji bettri ya volt ngapi ili itumike zaidi ya masaa 72

  Wadau habari zenu naomba msaada kwa anae jua umeme wa bettri lolote la maji au kavu. Nahitaji kujua volt ngap inahitajika ili bettri liweze kukaa na chaji hata siku 3 ikiwa jumla ya matumizi ya vyombo vyangu ni watts 100.
 3. Isaack Kyando

  Msaada wa kuzuia kupigiwa simu kutoka namba yoyote

  Habari wadau naomba msaada wa namna gani naweza kuzuia namba fulani kunipigia bila ya kuizima simu yangu. Kwa anayejua code za kusett simu anisaidie please.
 4. Isaack Kyando

  Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

  Nimepokea ujumbe huu, "CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
 5. Isaack Kyando

  Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

  Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal. Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
 6. Isaack Kyando

  Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

  Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
 7. Isaack Kyando

  Jinsi ya kutumia meta tag ya revist

  Hi, naomba msaada nijinsi gani naweza kuifanya search engine ije kila baada ya muda kwa njia ya meta tag revist. Asante
Top Bottom