Search results

 1. N'yadikwa

  Azam tunapenda muwe mnatuonesha matukio ya kimichezo ya live mbali na soka k.v. Marathoni na Jogging

  Nikiangalia televisheni za wenzetu za michezo hasa za super sport wenzetu huonyesha Marathon mbalimbali kwenye miji lakini hapa kwetu Azam kupitia chaneli zake imekuwa ikijikita zaidi kwenye soka na kidogo siku za karibuni wamekuwa wakituonyesha masumbwi. USHAURI WANGU KWENU Hizi jogging na...
 2. N'yadikwa

  Jinsi Nyerere alivopiga chini mpango wa kutaifisha maduka

  Unaposoma Bayographia ya Mwalimu iliyotayarishwa na wanazuoni watatu ukurasa wa 125 hadi 126 kuna simulizi fupi ifuatayo Mwanzoni mwa miaka ya 80 kulikuwa na tatizo la baadhi ya wamiliki wa maduka kuhodhi bidhaa kisha kuja kuziuza baadae kwa bei juu baada ya kuadimika. Kwa kuliona hili...
 3. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
 4. N'yadikwa

  Khalid Ally Gangana, mtangazaji anaeibukia vizuri kuwakilisha utangazaji wenye weledi

  Kwa wafuatiliaji vyombo vya habari na wasikilizaji wa habari lakini pia wanaofuatilia kuwafahamu watangazaji jina la Khalid Gangana sio geni masikioni mwao na machoni mwao. HISTORIA YA KHALID GANGANA KWA UFUPI Kijana huyu alianza kazi ya utangazaji akichipukia yaani a humble beginning akiwa na...
 5. N'yadikwa

  Richard Mgamba, Mwandishi wa Habari ambaye nahisi bado hajatumika kiasi cha kutosha

  Namsikiliza hapa Mawingu 360 jamaa ana nondo sana. Ana data na anazungumza facts kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu madini. Ushauri wangu Rais ajae afikirie kumtumia huyu jamaa kuisaidia nchi yetu kwenye sekta ya Habari; ikiwezekana kwenye zile nafasi Kumi za Ubunge huyu jamaa ateuliwe apigwe...
 6. N'yadikwa

  Nashauri serikali itilie maanani mchezo wa Long Jump naamini tutaweza na ijenge viwanja vya mazoezi

  Wakati nikikua mchezo wa kuruka kwa upondo na ule wa kuruka kawaida sambamba na mchezo wa kurusha mkuki na vitu vizito ilikuwa inafanyika na watu walikuwa wanafanya vizuri. Ukizingatia kwamba Wakenya tayari wamejitambulisha kwa mchezo wa riadha; sisi hapa kwetu Tanzania bado hatujakuwa na...
 7. N'yadikwa

  Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

  Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk. Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi...
 8. N'yadikwa

  Kwanini eneo lote la Boko hadi Bunju hakuna ATM ya Umoja Switch?

  Nyie jamaa mjifikirie tena...no wonder crdb inazidi kupeta yaani eneo lote la Boko hadi Bunju hadi Mapinga wala Mbweni hakuna ATM ya Umoja Switch japo kwenye kituo chochote cha Mafuta. Worse enough hata mawakala wa benki za mtandao wa ATM hizi hawako na walioko mara zote hawanaga salio...
 9. N'yadikwa

  Changamoto kwa ITV na Azam News: Badilisheni muonekano wa studio ya habari

  Miongoni mwa vituo vikubwa vya runinga hapa kwetu Tanzania katika kuhabarisha bila longolongo na angalau kwa ubora wenye nafuu japo sio 100% ni hivi vituo viwili vya ITV na Azam. Kwa kweli studio zenu za kusomea taarifa za habari ziko old fashioned sana. Nawaomba kwa niaba ya watazamaji...
 10. N'yadikwa

  Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

  Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu. Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu. Vote – World Travel Awards
 11. N'yadikwa

  Je, ni sahihi kumuita mzee Karume 'The dictatorial Zanzibar President'?

  Nasoma kitabu cha Wasifu wa Mwalimu Nyerere kiitwacho 'A Biography of Julius Nyerere: The Making of a Philosopher Ruler' kilichoandikwa jointly na Watunzi watatu kikiwa na Juzuu tatu. Sasa nipo juzuu ya kwanza ya wasifu huu iliyoandikwa na Saida Yahya Othman ambapo kwenye ukurasa wa 71 nakutana...
 12. N'yadikwa

  Tanzania tuongeze wigo wa Biashara na Congo DRC

  Katika gazeti la The Citizen la leo Agosti 24,2020 habari iliyopo ukurasa wa mbele inasema "Nchi za Afrika Mashariki zinapoteza fursa ya biashara na Congo DRC inayofikia Dola za Marekani Bilioni 10. Hii ni hasara kubwa kwa Tanzania (Sitaki nizisemee nchi nyingine za E.A). Awali ifahamike...
 13. N'yadikwa

  Kwanini Afrika Kusini huandikwa kwa kifupi ZA?

  Ni urithi kutoka kwa wa-holanzi waliotawala nchi hiyo kiholanzi kilikuwa lugha rasmi nchini Afrika Kusini, na wakati Kiafrikani kiliposhika hatamu na kuwa lugha ya taifa bado kiholanzi kilionekana kuwa na ushawishi. Zuid-Afrika 'ZA' ikawa ndio kifupisho cha South Afrika badala ya 'SA' Mwaka...
 14. N'yadikwa

  Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule

  https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.forbesafrica.com/brand-voice/2020/08/19/tanzania-is-ahead-of-schedule-under-magufuli/%23:~:text%3DDespite%2520the%2520global%2520COVID%252D19,compatriots%2520on%2520this%2520historic%2520achievement.&ved=2ahUKEwjJ2-rMiqnrAhU6UhUIHZJ...
 15. N'yadikwa

  PICHA: Ghana inajenga flyover ya 4 interchange ya kipekee na ya pili Afrika

  My Take: Tanzania nasi tupige kitu kama hii tuwe wa-tatu; napendekeza ijengwe Morocco au Magomeni junction. Ili Wakenya watukome tuwe wababe wa miundombinu E.A. Hatushindwi, fedha tunazo.
 16. N'yadikwa

  Uganda's Prof. Emmanuel signature. Sasa wewe saini kama kamba ya viatu

  Na hapohapo haisaini mapesa wala dissertations au dibaji. Kuweka signature ndefu na complicated kwa mtazamo wangu hakuna maana yoyote.!!
 17. N'yadikwa

  Kuweka biashara ndogo njia za waenda miguu ni u-binafsi

  Hakika tunawapenda ndugu zetu wanaofanya biashara ndogo hasa kwenye miji mikubwa lakini kuna hii kero ya kuziba njia za waenda miguu kwa kuweka biashara.Haikubaliki! Tunaomba Mamlaka husika ziweke utaratibu wa kuwezesha wananchi kupita na hawa wafanyabiashara kufanya biashara zao bila mmojawapo...
 18. N'yadikwa

  Kuweka lami barabara ya Iyegeya hadi Sawala ila Mgololo highway haina lami sio poa!

  Naomba niwakosoe watoa maamuzi. Kwanini feeder roads za barabara kuu itokayo Mafinga-Mgololo zina lami lakini hii barabara kwa miongo kadhaa sasa lami inaombwa lakini haiwekwi!? SERIKALI TAFADHALI WAANGALIENI WANANCHI WA ENEO HILI LA MAFINGA MGOLOLO kuna uchumi sana huko lakini mabarabara hayako...
 19. N'yadikwa

  Fursa ya kuuza majeneza Tegeta jirani na Rabininsia Hospital

  Hii hospitali ni kubwa sana ukanda huu wa Kinondoni na hivi juzi wameipanua imekuwa kubwa sana...ila jirani pale hakuna kabisa huduma za mazishi au supply ya vifaa vya mazishi kama gari za maiti,majeneza,maua misalaba et al. Watu wakifiwa pale vifaa wanaenda kutafuta huko. Vijana kamateni...
 20. N'yadikwa

  Waziri Lukuvi: Mafaili yetu ya uthaminishaji yanakaa sana Wizarani

  Naamini barua hii fupi ya malalamiko itafika kwako timely. Nimekuwa nikifuatilia faili langu la kuthaminisha ardhi Halmashauri ya Kinondoni mwezi wa tatu sasa wananipiga danadana pamoja na baadhi ya wenzangu ambao tunaamini mafaili yetu yamekaa kuzidi kawaida ya muda huko wizarani kama maafisa...
Top Bottom