Search results

 1. bbwaoy

  Lipi lina faa kutumika.

  Unapokesea jambo.... Neno gani sahihi zaidi "Samahani" Au " Kumradhi " Mf. Samahani siku jua kama nili kosea. Kumradhi siku jua kama nili kosea. Ruksa kuni rekebisha.
 2. bbwaoy

  Mswaki unatakiwa utumike kwa muda gani?

  Ni muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi? Week, Mwezi au Mwaka? Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!
 3. bbwaoy

  Tofauti ya neno heshima, adabu na utii

  Naomba kujuzwa na wajuzi utofauti wa maneno tajwa hapo juu.
 4. bbwaoy

  Interview.

  Ni ukweli usio pingika, hakuna simu nzuri na itakayo kupa tabasamu kama unayo pokea na kusikia " hello! Nazungumza na flani flani? Ndio. tuna kukaribisha kwenye interview siku flani muda flani " Huwa napata ukakasi pale napo pigiwa simu muda ume kwenda naambiwa kesho asubuhi una hitajika kwa...
 5. bbwaoy

  Bei ya mti mkomavu na idadi yake ya mbao.

  1. Kuna anae jua bei ya mti ulio komaa kabisa vizuri kwa jili yaku chana mbao? Lets say mti una miaka 7-9 hivi. 2. Je mti wa aina hio ya ukomavu au basi kwa kawaida mti ulio komaa vizuri kabisa unauwezo waku toa mbao ngapi kiujumla? Tume amua na familia kipindi kijacho tufanye zoezi hili...
 6. bbwaoy

  Aina za Ugali.

  Tembea uya one... “sio nyumba zilizo pandiana hapana ni maghorofa.” Hivi kumbe kuna Ugali wa nazi ? Yani ugali umepikwa kwa nazi ? Aise ! Jana nili ula huu ugali ...nime amua huu ndio Ugali wangu kwanzia leo labda niende sehemu haupo ila nikiwa kwangu ni ugali nazi tu! Kama kuna aina nyingine...
 7. bbwaoy

  Kunenepa naku Nawili.

  Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda. Kuna utofauti gani kati ya meneno haya . Kunenepa naku nawili. Karibu!
 8. bbwaoy

  Dhana ya kuoga sana au mara kwa mara, Je nao ni ugonjwa?

  Heri, Nakiri kua nina yapenda sana maji kupita kiasi. Naweza kuoga hata mara 6 kwa siku. Sipendi jasho hivyo huni fanya nioge mara kwa mara. Sasa basi kuna dhana kua " uki oga mara kwa mara hupati afya au wakati mwingine utasikia , unaoga sana ndio maana hunenepi" Kuna uhusiano wowote wa...
 9. bbwaoy

  Lugha yetu ni " Kiswahili " au " Swahili "?

  Heri, Katika mapambano yangu yaku pata elimu somo la Kiswahili lilikua changamoto kwangu. Hivyo najifunza kila siku. Nini tofauti yake? " Kiswahili " na "Swahili". Wageni kutoka nje wata kuuliza swali: Do you speak Swahili? Wazawa wata kuuliza: Una zungumza/kuongea Kiswahili? Nini hasa...
 10. bbwaoy

  Naomba kufahamishwa maana ya maneno haya kwa lugha ya Kiswahili.

  1. Certificate 2. Diploma 3. Degree 4. Post graduate 5. Masters 6. Phd Asante!
 11. bbwaoy

  Lipi sahihi kati ya haya.....

  1. Mtu yoyote Au 2. Mtu yeyote Kiswahili kina changamoto tusaidiane.
 12. bbwaoy

  Tanzania hatuna mashindano ya "Spelling Bee"

  Huwa na tamani sana kuona vijana wakionyesha waledi wao katika kutambua herufi za Maneno magumu/ vocabularies kwa lugha ya kizungu. Spelling Bee kwa wenzetu imewasaidia vijana wadogo kuweza kukuza lugha na matamshi kiujumla ila kwa Tanzania sija wai kuona hichi kitu.... Unaweza kutembelea...
 13. bbwaoy

  Tahadhari: Kuwa makini na matangazo ya Kazi za Tear Aid, ni Uzushi mtupu

  Heri! Nime kutana na uzi unao husu fake job announcements. Si mbaya tuka peana tahadhari... kwa tunao pita pita mitandaoni kucheki fursa za ajira, Huenda tusha kutana na kazi za hawa Tear Aid hasa kazi ya " project officer" manake wana ipenda kweli kuitangaza. Hawa ajiri chochote hawa...
 14. bbwaoy

  Msaada: Kwenye Ajira portal nimejaza bado inasoma 92% completed. Ni nini tatizo?

  Heri? Napata tabu kidogo sijui ndio iko hivyo au la , kwenye ajira portal ujazaji wangu wa taarifa binafsi na makorokoro kibao bado ina soma 92% completed. Kuna uwezekano huenda sija wahi kuitwa kwenye usahili wa ajira za serikali kisa hii 92%? Au ni mpaka ifike 100%? Au kuna kitu sija...
 15. bbwaoy

  Niliomba kazi Bank, halafu nimeitwa na hawa Kp recruiters au Kaparama recruiters ila Wanataka hela kabla ya Interview

  Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali. Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika...
 16. bbwaoy

  Sauti ya uchuzi/kujampa wakati wa tendo

  Aisee imenibidi nitafute majibu ya hichi kitu kilicho kua kina nipa shida kujua huwa ni nini shida? Unafanya mapenzi na mwanamke afu una sikia sauti ya kujampa/ushuzi ila hakuna harufu yoyote ile isipo kua hii sauti. Kumbe bana ni hali ya kawaida kabisa hutokea pale ambapo hewa hujaa ndani ya...
 17. bbwaoy

  Harufu gani isiyo vumilika ?

  Usafi umekuwa mtihani kwa watu wengi , kwa kifupi sio kila mtu anaupenda usafi, ukikutana na mtu msafi basi ni hobby. Sikuwahi kujua kama usafi inaweza kuwa hobby ??? Kitu ambacho ni lazima kufanywa. Anyway haya maeneo yasipofanyiwa usafi kwa muda harufu zitokazo maeneo haya ni kero kwa jirani...
 18. bbwaoy

  Vina kubomoa vima neno hivi?

  Una tuma sms kwa mtu ana jibu huku sms ikiwa imechanganyika na tuma neno hutu.. tyu _ tu Jomoni_ jamani xaxa_sasa K_ okay Vepe_vipi Buana_ Bwana/Bana Exn_Thanks G9t_Goodnight Poah_Poa Share mengine yano kukera katika uandishi wa sms.....
 19. bbwaoy

  Opportunities in renewable energy.

  Ni kwa sababu ya ukosefu wa capital ila hakuna business inayo lipa na yenye pesa ndefu kama Solar. Hasa ukizingati Grid kuu ya taifa huduma zake hazija weza kufika kila kona ya Tanzania na wenye uhitaji wa mwanga ni wengi sana hasa vijijini. Nimefanya kazi kwenye kampuni kadhaa za solar...kila...
 20. bbwaoy

  Tiba ya vipele vigumu pembezoni mwa lips za mdomo

  Mwaendeleaje na hali? Kuna vipele vigumu na wakati mwingine huwa vidogo vidogo huota pembeni mwa lips au kuzunguka lips na ukijaribu kuvi binya huwa na maumivu makali kidogo. Kuna treatment/ tiba ya hivi vipele? Au kuna sehemu zinazo tumbua vipele hivyo kitaalamu kabisa? Nawasilisha!
Top Bottom