Search results

 1. jiwe angavu

  Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

  Suala la kulipa kodi kabla ya biashara nalo unalizungumziaje. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 2. jiwe angavu

  Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

  Acha kupaniki..kwahiyo unataka ufanye biashara bila kukaguliwa..? We kua mpole serikali ifanye kazi yake. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 3. jiwe angavu

  Rais Mwinyi hongera sana kuchaguliwa lakini mulika idara zako za Serikali hasa Elimu na Ardhi

  Wazanzibar wana unafiki sana..kumbukeni hakuna wa kuizuia injili ya Kristo. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 4. jiwe angavu

  Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

  Mabeberu hawa tuwakatae..sisi ni dona katri..Nasema uongo ndugu zangu... #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 5. jiwe angavu

  Ombi: Serikali pandisheni Madaraja watumishi wa Umma. Ni miaka sita sasa, tuwe na huruma

  Tunajenga uchumi wa kati...Nasema uongo ndugu zangu. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 6. jiwe angavu

  Naenda Kongwa kumbe Dhahabu ya Kusini iko kule

  Hajafika kusini huyu..kaenda kongwa na hapo manyoni ndio anatoa conclusion. #MaendeleoHayanaChama
 7. jiwe angavu

  Kuzimwa kwa Siasa uchwara Vyuo Vikuu, Wanafunzi wengi wapata nafasi za ajira Serikalini Awamu ya Rais Magufuli

  Umesahau kuandika jina na namba ya simu..Shame You. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 8. jiwe angavu

  Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

  Pole sana mwalimu..tambua siasa ni maneno tu ukiziaminj utapotea..wao wanatafuta ulaji..chamsingi pambana tu kiume..ondoa matumaini kwenye siasa..Mungu Akuongoze..zaidi lower your expectations. #MaendeleoHayanaChama
 9. jiwe angavu

  Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

  Duuh..ukweli mchungu. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 10. jiwe angavu

  Wakinga huenda wakauangusha umaarufu wa kibiashara wa Wachaga

  Ni kweli hawa jamaa wana pambana sana.. nadhani biashara ya mbao inawapa mitaji sana. #MaendeleoHayanaChama
 11. jiwe angavu

  Vifaa vya saluni ya kiume vinauzwa

  Mbona unaacha biashara nasikia inalipa sana hasa maeneo ya huko DSM. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 12. jiwe angavu

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Inategemea na maeneo unayotaka kununua ardhi. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 13. jiwe angavu

  Rais Magufuli mulika Hospitali ya Mkoa wa Lindi ina madudu ya kutisha

  Ukiona mtu anaandika uzi JF kulala mikia uongozi hasa ndani ya Utumishi wa Umma huyu sio wa kupuuza..Naamini Rais wetu msikivu kakusikia na litafanyiwa kazi. #MaendeleoHayanaChama
 14. jiwe angavu

  Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

  Changamoto sana..Naamini wahusika wameyasikia watayafanyia kazi haraka iwezekanavyo... #MaendeleoHayanaChama
 15. jiwe angavu

  Kati ya Chuo cha Afya Lugalo na Kibaha kipi kizuri zaidi?

  Vyote vya serikali ada zinafanana tu..m nashauri aende kibaha..mana ni chuo kikongwe..zaidi tambua c.o sahivi imekua kama ualimu tu. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 16. jiwe angavu

  Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

  Marekani haijajengwa na wamarekani wenyewe..wengi ni wahamiaji kama mimi na wewe tulivyahamia DSM tukaijenga. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 17. jiwe angavu

  Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

  Subiri Biden akiapishwa.. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 18. jiwe angavu

  Hivi NMB dollars wananunua tu hawauzi?

  Hivi unaweza kununua dola na kuihifadhi kwa muda fulani uje kuirudisha tena kwenda Tsh..? Na je dolla hua haibadiliki in terms kwa muda wa matumizi..? #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 19. jiwe angavu

  Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

  Marangapi ajiharibie jina..ina maana umeshaua sakata la cecil mwambe..tarajia kusikia sijapewa barua ya wao kufukuzwa uanachama..ama kesi kupelekwa mahakamani na kupiwa dana dana kwa miaka 5..ila sasa ni sawa na kazi bure ma wanachama gani ambao hata vikao vya kichama hawaingii..ukizingatia...
 20. jiwe angavu

  Malipo katika biashara ya barbershop

  Elezea vizuri. #MaendeleoHayanaChama Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Top Bottom