Search results

 1. amakyasya

  Kigogo wa Escrow asema alitumia hela kumuuguza mkewe

  Baada ya kituko cha prof. Tibaijuka kuwa hela ya escrow alitumia kwa mboga, kigogo mwingine katoa kali kwenye utetezi wake kuwa alitumia milioni 80.5 kumuuguza mkewe ambaye hata hivyo alifariki mwaka jana. Huyu ni mkurugenzi mdhibiti uchumi wa mamlaka ya usafiri wa anga ndugu James Diu...
 2. amakyasya

  Zaidi ya Migodi 15 Merereni yateketea kwa moto Arusha

  Migodi midogo 15 ya wachimbaji madini wadogo wa madini imeteketea kwa moto katika Eneo la kitalu B Mirerani simanjiro Chanzo kikiwa ni hitilafu ya umeme wakati mafundi walipokuwa wakitengeneza moja ya mita iliyokuwa katika moja ya nguzo zilizokuwepo eneo hilo na inagharimu zaidi ya shilingi...
 3. amakyasya

  Maajabu! Huyu mnyama kaingiaje mjini kufanya maafa?

  Ni kweli ameshindwa kudhibitiwa tena katikati ya mji?
 4. amakyasya

  Kikwete: Wanawake jitokezeni kugombea Urais

  Rais Kikwete ametaka wanawake kugombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kuwa anaamini wanaweza hivyo wasiogope na kuwaachia wanaume pekee. Kumbukumbu: Jana pia kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, rais Kikwete amesema kikubwa anachojivunia alichokifanya akiwa madarakani hadi...
 5. amakyasya

  Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

  Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu! Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
 6. amakyasya

  Yamoto band kwanini wanaogopa defender? Wakamatwe wachunguzwe!

  Kama sio mhalifu kwa nini uogope defender? Je, wewe ni kibaka, mwizi, jambazi, mvuta bangi/madawa ya kulevya au muuza madawa ya kulevya! Hawa machalii napenda sana nyimbo zao na jinsi wanavyoperform kwenye stage. Lakini hivi vipande vya kuogopa defender katika nyimbo zao vimenishtua kidogo...
 7. amakyasya

  Najitoa mhanga kimapenzi kwa msanii Lulu

  Yamesemwa mengi sana kuhusiana huyu msanii wa bongo movie Lulu kuwa kila mwanaume anayekuwa naye kimapenzi kwa muda mrefu mwisho wake ni kifo. Kama sio kwa kusukumwa ukutani basi kwa pressure eti ukitaka kuwa na huyu msichana unashauriwa kuandika kabisa wosia na mgawanyo wa urithi wa mali zako...
 8. amakyasya

  WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

  Natoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliojitokeza kuniunga mkono kushiriki nami pamoja na kununua nguruwe na kitimoto jumla na rejareja baada ya kuleta tangazo hapa jf wiki iliyopita. Mzigo wote uliisha. Tuonane mwaka mpya.
 9. amakyasya

  Utabiri wa Vichwa vya habari kesho kuhusu tukio la leo

  Kuhusiana na tukio la Rais Kikwete kuhutubia taifa kupitia wazee wa CCM dar es salaam leo hii, vyombo vya habari ikiwemo magazeti vitatoka na vichwa mbalimbali vya habari japo vikilenga tukio moja tu. Miongoni mwa headline hizo mi natabiri kama ifuatavyo: Uhuru : Mkuu wa mkoa aonyesha ushindi...
 10. amakyasya

  Hivi huyu mzee wa dar es salaam anaelewa chochote kinachoendelea hapa?

  Kwenye mkutano na rais Jk diamond jubilee
 11. amakyasya

  Punguzo la bei ya Nguruwe/Kitimoto msimu wa sikukuu

  Wahi ofa maalum ya msimu wa sikukuu, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja nguruwe mzima au kwa kilo. Tunapatikana Kimara, Mkwajuni, Mwenge, Tegeta, Ilala karibu na club ya wazee. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM. Kama haikuhusu pita zako kimyakimya.
 12. amakyasya

  WARIOBA : NYERERE angefufuka leo, angeniunga mkono

  Jaji Joseph Sinde Warioba amesema kuwa laiti mwl. Nyerere angefufuka leo angemuunga mkono kwa yale anayoyasimamia na kuyapigania kwa maslahi ya taifa. Source: Gazeti Nipashe
 13. amakyasya

  Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

  Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo. Source: gazeti Mzalendo. Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
 14. amakyasya

  Tukio gani kubwa lililotikisa mwaka huu kisiasa?

  Wakuu tunaelekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. Je, ni tukio/matukio gani unakumbuka hadi sasa kisiasa ni kali zaidi na kutikisa nchi? Binafsi nakumbuka yafuatayo: 1. Mchakato wa katiba mpya 2. Sakata la ESCROW ; wabunge kuitana tumbili na wezi. 3. Rais wetu kupatwa na...
 15. amakyasya

  Jina la mchezaji labadilishwa kukidhi tamaduni za kitanzania

  Lile jina la mcheza soka nchini toka Uganda anayechezea Simba sports club amebadilishwa jina ili kuondoa ukakasi katika kulitamka kuonekana kama tusi kwa lugha yetu. Jina hilo litasomeka Simon Senkuruma badala ya Simon Serunkuma. Source : radio Efm 93.7 Dsm na mtangazaji Sogy dogy hunter.
 16. amakyasya

  ESCROW imeharibu mfumo mzima na imani kwa matajiri na viongozi

  Yaani sasa hivi mtu ukionekana na gari zuri la kifahari, nyumba yenye thamani kubwa sana au kitu chochote cha thamani kubwa watu wanadai " ni pesa za ESCROW hizo" Jana nilipanda daladala kutokea Makumbusho, tulipofika maeneo ya Sinza kuna jamaa akawa anashangaa akamuuliza mwenzake kwamba mbona...
 17. amakyasya

  Juma Nkamia anusurika kipigo jimboni kwake kwa kauli chafu

  Naibu waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Juma Ngamia alinusurika kupigwa na wananchi jimboni kwake akiwanadi wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa uliofanyika juzi. Source : Magic fm , habari kwa ufupi magazetini leo. My take : Ni muda muafaka sasa kwa mbunge huyu kujirekebisha...
 18. amakyasya

  Hivi gazeti NIPASHE na MWANANCHI mwandishi ni mmoja? Ona hapa!

  Yote leo yametoka na headline ya front page inayofanana. ESCROW YAMNG'OA WEREMA.
Top Bottom