Search results

 1. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  Nadhani Ujumbe Umefika kwa Wahusika next time Tender nadhani tutaziona kwenye Magazeti! Mission Accoumplished.
 2. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  ACHA HADITHI MKUU..UNASEMA UMEFANYA RESEARCH HAYA ATTACH HIZO CORRESPONDENCE ZAKO WEWE NA WIZARA NA VODA AND ZANTEL... nadhani ujumbe umefika kwa wahusika wengine tuona vitu hivi...
 3. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  Mkuu naona unajaribu saana ku divert issue..hamna mtu anayelalamika majibu kutopatikana kwa wananchi..issue ni kwamba iweje wizara iwatumie voda peke yake?? na pili kwanini voda icharge watu wakati wizara ina budget maalum ya kutangazia wanafunzi kama wanavyofanya kwenye magazeti? Unachoshindwa...
 4. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  thats true but lets not divert from the main complaint of the thread.. je unakubaliana na wizara ya elimu kutumia kampuni ya simu binafsi na kuwapa exclusive tender ya kutangaza sensitive issue kwa jamii kama majibu ya mitihani? na wasio na line voda je?
 5. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  Mkuu website ya necta was down jana na leo earlier on ! na hii issue ya voda tangazo ilikuwa linapita hapo hapo kwenye website ya necta ...hamna hadithi hapa.
 6. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  Hii ni kazi ya TCRA! Hapa clearly anti-competitive practices are being practiced out in the open!! Tusiangalie dowans kila siku kuna vitu viingi sana vya kipuuzi vinaendelea kwenye maamuzi yanayo fanywa na watu walio serikalini!
 7. Kapinga

  MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

  Kama watanzania wengi wenye ndugu ambao wamemaliza form 4. Kitu kimoja kimenishangaza sana kwanini taasisi ya serikali inaweka tangazo kwamba kama mwanafunzi anataka kuona majibu kwa njia ya simu ni lazma awe na line ya VODACOM ilI apate majibu hayo! Serikali kuweni makini hio kitu haina manufaa...
 8. Kapinga

  KAPINGA formally Sukita boss is no more

  hahahaha nimecheka sana wakuu sijaingia humu siku nyingi saaana...hahahaaha
 9. Kapinga

  Tanzanian Lawyer Who Defended Rwanda Genocide Suspect Is Killed

  Waliopanga Haya Hawata Fika Mbali, Tatizo litabaki pale pale!
 10. Kapinga

  Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

  Bila kusahau akamteua shahidi wa serikali na mkuu wa kitengo cha EPA kuwa Mkuu wa TIB! Akifikiri watanzania hawajui 1 + 1 = 2. Ndo huyu ataleta agricultural revolution? tuache utani!!
 11. Kapinga

  Al-Fayed sold Harrods to Qatar Holding

  I think jama kauza coz conservatives wamechukua nchi!
 12. Kapinga

  Modern Day Berlin Conference in Dar!

  Nachojua mimi ni kwamba CEO's wa banks and parastatals na Wakurugenzi wenigne Serikalini na Private Sector wananunua 400-1000 hectares of land, left right and centre on a daily basis..na bado raisi ana offer hizo 2,000,000 for foreigners waje kuziendeleza...nchi inauzwa na matajiri wataendelea...
 13. Kapinga

  Hatimaye Mkapa aikana Kiwira

  Why now? the question is why not now? Ushaidi wote ushapotea..ukiona wamekaa kimya hujue majina na mafile yanapotea tuu pale Brela. Ndo Tanzania yetu hio..
 14. Kapinga

  Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

  Inashangaza na KUTISHA!! kwamba hadi sasa hatujui viongozi wetu wanavuta sh ngapi kwa mwezi! Na tushangaa kwanini nchi masikini...Watanzania tumechelewa kuamka lakini naona sasa taratibu tumeamua kufungua macho! Wenzetu Kenya hapo wanaongelea Constitutional Reform ETC sisi tunaangaika na...
 15. Kapinga

  Kambayuwayu ka Kikwete kalikotaka kuwa tetere!

  Uchaguzi wa nini sasa kwa mwendo huu!! Kukapige kura wakuu..lasi ivyo ni mwendo wa kulalamika mpaka kufa!
 16. Kapinga

  Matumizi Mbadala Ya Bilioni 40 za Kampeni CCM!

  Mkuu hapa umegusa pale kunako..uliza KAMPUNI YA NANI?? CCM wamempa tender ya kufanya hiyo collection thru sms utauona uchafuuuuuu woooooteeeeee!!
 17. Kapinga

  Suspected NBC massive fraud: SA investigators called in to verify

  Governor mzima...anaongea kama mtu asiye na facts n figures his reasoning sounds like politics to me!..yani explaination yake ata mimi ningeweza toa...If the central bank thinks certain transfers are dirty any bank kwa mfano za UK wanaziflag ata Ku freeze aache kudanganya watu ( personally nili...
 18. Kapinga

  Hawa Polisi wetu vipi? Mtakamata kabila zima?

  Mkuu unaongea ilimradi au? Hujui kama watu wanahaki duniani hasa kwenye maswala ya kuhojiwa na polisi?...yani ashikiliwe hadi uchunguzi uishe? Kwa kosa gani?...nashangaa kwanini jeshi la polisi halifunguliwi mashtaka nalo! Arguements zingine zinatia hasira tuu..
 19. Kapinga

  Sherehe za CCM Kutimiza Miaka 33 Zafana - Reading, Uingereza

  Mkuu upo sahihi kabisaa watanzania professionals (doctors, lawyers etc) Uk hawana time na CCM..Hapo ni watu ambao wanaishi kwa kuunga na ujanja wanataka dili tuu ndo wamejazana ili wajuane na viongozi..kuwasaidia kufungua kampuni feki bank accounts etc etc..saizi mwendo ni dili kwenda mbele
 20. Kapinga

  Baada ya kukatika nchi nzima; umeme warejea!

  Tatizo sio serikali haijui ifanye nini..ukiwapa siemens tender wataishia kufanya kazi coz ni kampuni inayojali reputation yake pia na huwa wanatoa hongo ndogo sana kwa viongozi na chama au no hongo kabisaaaa...kwaiyo inakuwa poa kuunda kampuni feki 100% owned by pesa za walipa kodi na kuilipa...
Top Bottom