Search results

 1. Wakuacha

  Mimba inayotungwa kwenye Mirija Ya Uzazi

  Habari wana JF, Nina swali kidogo juu ya Mimba ambayo inayotungwa katika Mirija Ya Uzazi, hii Mimba huwa haikui je huchukua Muda gani kupasuka Yenyewe? Na Mtu mwenye shida hii huchukua Muda gani kugundua? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Wakuacha

  Vipele vidogo vidogo vinanisumbua ushauri tafadhari

  Habari wakuu Hivi karbuni takribani wiki mbili zilizopita nimekuwa nikitokwa na vijipele vidogo vidogo, ambavyo vinawasha kweli kweli ukivikuna vinatoa maji halafu vinazaa vingine kama vitano hivi. Hali hii imeendelea nimeenda hospital nikapewa dawa lakn sasa vimekauka sehemu zingne ila kwenye...
 3. Wakuacha

  Nahisi nina mkosi wapenzi wangu wa zamani wote wameolewa

  Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi. Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa...
 4. Wakuacha

  Kikwete tutakukumbuka sana ajira Leo ni za kuomba!

  Kuna vitu vinashangaza na kusikitisha sana, mzazi amehangaika kumsomesha mwanae chuo cha ualimu akiamini baada ya kuhitimu tu mwanae atapata ajira, hivi hii awamu haijui kama kuna wazazi wameuza mpka mashamba, ili mwanae asome chuo. Mbona enzi za kikwete yote haya yaliwezekana tunaambiwa...
 5. Wakuacha

  Wingi wa ajali serikali ifute leseni feki

  Habari zenu, Zoezi la kuyafuta yale majambazi ya vyeti, yaliyoshindwa kujiongeza limeendelea vizuri na pia mafanikio ni makubwa; Safi sana yatupishe tu. Baada ya kumaliza hili Serikali sasa kutokana na wingi wa ajali kuna haja ya kupitia leseni za Madereva, yaani kuna Madereva hawajawahi...
 6. Wakuacha

  Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

  Habari wana MMU. Mimi nimepanga nyumba moja, zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume, sahivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje. Kwa siku anabadili mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda...
 7. Wakuacha

  Na ninyi mmeisoma namba

  Habari wana JF, Sitoenda moja kwa moja ila ntakuwa mmeelewa, ndugu zangu kwanza poleni sana nasikia na ninyi mmeisoma namba. Ile ya kuanzia 0 mpaka 9. Mlipewa matumaini mengi mazuri yenye kuwalevya mkapasuka vichwa mkaweka taswira pana ndani ya vichwa vyenu, kwa kuwa sasa mshajua ninyi ni...
 8. Wakuacha

  Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

  Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu. Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii...
 9. Wakuacha

  Mwana FA umetusaidia sana maana walizidi kutuchuna

  Habari wana MMU Kiukweli haka ka nyimbo kamenigusa. Ni kweli kuhonga kuna leta mkosi hili mi nishaliprove. Kuna mademu ukiwapa hela kupata nyingine ni shida sijui mpaka amalize kuitumia..... Mpunguze njaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 10. Wakuacha

  Nawaza kwa sauti baada ya uhakiki watumishi watapewa stahikizi zao za toka July 2016.

  Habari wakuu. Ukweli ni kuwa kwa sasa serikali sikivu ya chama cha mapinduzi inaendesha zoezi la uhakiki Wa watumishi...Tulianza na watumishi hewa ambapo mkuu alisema halitazidi miezi miwili,, lakini limeendelea mpaka Leo na sasa tumeanza tena sulaa la Vyeti. Pamoja na matumaini ya watumishi...
 11. Wakuacha

  HESLB mmefanya kazi nzuri sana

  Habari wana jf. Nawapongeza HESLB kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya naamini sasa mikopo hiyo imewafikia walengwa kwa Asilimia 89% Ifike mahala watanzania tuweke siasa pembeni na tuache kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo.. Tusitake Kuona eti idadi kubwa ya watu wamepewa mikopo angali wazazi...
 12. Wakuacha

  KIGOMA: Polisi watatu wakataa rushwa ya milioni tatu

  Jana katika pita pita zangu nikiwa nimefika tu katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Nikaona ngoja nitembee tembee kidogo nishangae vumbi la Kasulu. Nikapita pale NMB nikachagua lugha kidogo nikajaa mfukoni. Nikasema si mbaya nikatafute japo juice nikaelekezwa sehemu moja pale karibia na sehemu...
 13. Wakuacha

  Baada ya kupata matatizo, mchumba wangu akaolewa na mfanyakazi mwenzangu

  Habari wana JF, Ni siku nyingine tulivu namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya Leo maana wengi walitamani lakini hawajafanikiwa kuiona na wengine wapo mahospitalini eeh Mungu wasaidie wapone. Katika maisha wanawake si wa kuwaamini kwa asilimia 100 zote hapana kabisa. Mwaka 2009...
 14. Wakuacha

  Tunaopenda kuwaingiza wake zetu mitegoni tujifunze kwa mfano huu...

  Habari wana MMU Takribani siku miezi kadhaa iliyopita Rafiki angu Budole aliniita kwake nilipofika akaanza kuniambia kuwa Boss wangu,,anamsumbua sana mke wake kiasi kwamba anamfanya mkewe akose raha "" mie nikamuuliza je wewe unafikiria ufanye nini?? Akaniambia Mimi nataka nitafute watu ili...
 15. Wakuacha

  Naomba kujua juu ya vyeti vya kidato cha sita ""private candidates 2015.

  Habari wana jf.. Tarehe 24/2/2016 NECTA ilitangaza kusitisha ugawaji Wa vyeti vya kidato cha sita kwa wahitimu Wa kidato cha sita mwaka 2015.... Nina mdogo wangu ambaye alifanya mtihani Wa kidato cha sita mwaka huo kama Private candidate baada ya vyeti kuja vyao pia vilirudishwa Baraza lakini...
 16. Wakuacha

  UKUTA ni Wa kuupinga na kuupuza kwa nguvu zote

  Habari wana jf Mimi nikiwa kama mtanzania mzalendo ambaye naipenda nchi yangu ndugu zangu wapenda maendeleo tuukemee UKUTA kwa nguvu zetu zote.. Nimetembea sana ndani ya hizi wiki tatu zilizopita mikoa mbali mbali na hata kuna baadhi ya wilaya nimepita ki ukweli jeshi la polisi liko imara...
 17. Wakuacha

  Polisi Jamii ingetufikisha pabaya

  Hakika tumempata Rais naanza kuamini hili ni chaguo la Mungu.. Suala la kuitumbua Polisi Jamii kiukweli nampongeza sana Mh Magufuli kwa kuliona hili. Kiukweli ukitizama tu utaona namna gani hii Polisi Jamii ilivyopeleka kushusha hadhi ya jeshi la polisi kwa nchi kama Tanzania. Watu...
 18. Wakuacha

  Je, na mimi ni jipu??

  Habari wana Jf... Mimi niliajiliwa miaka saba iliyopita.....kwa kweli hili swala LA vyeti linanikondesha na linapelekea kupoteza furaha yangu kila nikumbukapo yale maneno aloyatamka Mkuu Wa polisi kanda maalumu ya Dar es saalaam.... Najiuliza je na Mimi ni jipu....Mimi mwaka 2009 niliajiliwa...
 19. Wakuacha

  Jeshi la polisi wachukulieni hatua Clouds FM

  Habari wana jf.. Wakati nikilisikiliza Clouds ...Leo nilisikia wakilichana jeshi la polisi.....Kwa kweli nilisikitishwa sana kama jeshi la polisi litakaa kimya dhidi ya huu upuuzi ambao unafanywa na clouds fm. Nitakuwa wa kwanza kulishangaa hivi nini maana ya jeshi.....Ni lazima wawafundishe...
 20. Wakuacha

  Polisi aliyemkomalia mke wa Waziri kulipa fine kupandishwa cheo

  Habari wana Jf. Ni takribani wiki imepita sasa toka askari Wa usalama barabarani kumkomalia mke Wa waziri Wa awamu ya tano ..baada ya dereva wake kusimama katika zebra cross. Askari huyo alionesha ujasili Wa hali ya juu maana itawafanya askari sasa watende majukumu yao pasipo kumuonea MTU aibu...
Top Bottom