Search results

 1. GUI

  Msaada: Maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia

  Wanabodi habari za asubuhi. Kwa anayefahamu naomba ushauri au ufafanuzi wa nini kitakuwa kinanisumbua kulingana na maumivu nitakayoyaeleza hapa. Huwa napatwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo, maumivu haya huwa kama inavuta misuli kwa ndani kuelekea juu tumboni lakini kuna muda huwa...
 2. GUI

  Sherehe za Muungano ziliwahi kufanyika Zanzibar?

  Ndugu wana bodi habari zajion!!! Tukiwa tunaelekea kusherekea sikukuu ya muungano hapo kesho kutwa, ningeomba kujua!!! Hivi hizi sherehe zimewahi fanyikia Zanzibar?
 3. GUI

  Msaada; Mwenye softcopy ya vitabu hivi

  Wakuu habari za mchana Naomba msaada kwa mwenye soft copy ya hivi vitabu hapa.
 4. GUI

  Kuna ugonjwa wa wasiwasi (hofu)?

  Wakuu habari za mchana Napenda kuuliza: Je kuna ugonjwa wa wasi wasi au hofu? Maana mda mwingi nakaa na kuwa na wasi wasi au hofu kama kuna kitu kina kuja kunitokea hivi!!! Na kama ni uginjwa unasababishwa na nini na unatibikaje? Hii hali ikitokea huwa inasumbua kisaikolojia sana na nina kosa...
 5. GUI

  HOSPITALI NZURI KUPIMA MAGONJWA YA TUMBO

  Wakuu salaam Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ, KAIRUKI na zinginezo? Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kwa mda wa miezi kazaa sasa na kuhangaika kwenye...
 6. GUI

  NI JINSI GANI YA KUDOWNLOAD KITABU KINACHO UZWA KWA FREE

  Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine
Top Bottom