Search results

 1. Uzalendo Installer

  Car4Sale Jipatie gari kwa nusu bei

  sasa hapo nusu bei iko wapi?
 2. Uzalendo Installer

  Ifahamu shule ya bei kubwa zaidi Duniani ambayo ipo Switzerland

  aah sio kipimo lakini ni muhimu, mi nikisikia naitwa na mkurugenzi huwa naona kero, au tatizo likitokea kwake naona kero, jamaa mzungu alafu yai lake vigumu kulielewa mpk aongee taratibu...heheheheheheee unaweza pishana na hela
 3. Uzalendo Installer

  Ifahamu shule ya bei kubwa zaidi Duniani ambayo ipo Switzerland

  haziwezi kufanana...kajaribu kuongea kizungu mbele ya watu uone tofauti...weweee
 4. Uzalendo Installer

  Car4Sale Jipatie gari kwa nusu bei

  Yaani cash 6m kwa IST na 5m kwa Carry
 5. Uzalendo Installer

  Car4Sale Jipatie gari kwa nusu bei

  Mfano hiyo IST million 6.. maana yake nalipia million 3 na inayobaki nalipia ndani ya mwaka ujao?
 6. Uzalendo Installer

  Uganda presidential debate postponed indefinitely

  Toka lini muafrika akapenda challenge? Viongozi wote ngazi zote hawapendi kukosolewa, kuanzia ngazi ya familia. Huu mfumo ndio unawatia umaskini watu weusi.
 7. Uzalendo Installer

  Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

  Kwanini wanunue Toyota ya 460m, hehehehee alafu kibali walipewa na wizara ya ujenzi
 8. Uzalendo Installer

  Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

  matusi ya nini, na wewe umehusika kwenye hiyo gari ya 460m
 9. Uzalendo Installer

  Demu gani wa JF sio mchoyo

  Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...wanawake wote sio wachoyo ukiwa na pesa
 10. Uzalendo Installer

  Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

  1: Mfuko mmoja 42 ..tofali 40 (standard) 2: Mfuko mmoja fundi ni 6,000 (elfu sita) 3: Kwa siku fundi anapiga mifuko 10 4: Mchanga mende ni 220,000-240,000....mende mbili zinapiga tofali hizo na kubaki labda wasijaze vizuri 5: Tofali mchawi maji, power to you
 11. Uzalendo Installer

  Car4Sale IST inauzwa bei 6.5M

  Haina dosari yeyote....lakini mimi naona kuna ka shida mbele na pembeni...
 12. Uzalendo Installer

  Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

  Kumbe ukitaka kununua gari unawahusisha wizara ya ujenzi? Anyway, hapo katumia vibaya pesa yetu. Geita na vumbi lote lile v8 la m460 la nini? hehehehheehe
 13. Uzalendo Installer

  Wanasiasa kama siku nyingine mkijua hamjajiandaa kuzungumza na Watanzania kupitia Press, msiwe mnatusumbua

  Nadhani tulichotarajia kusikia hatujakisikia...ndio maana kelele nyingi
 14. Uzalendo Installer

  Msaada kuhusa ujenzi wa nyumba Dar es salaam

  Mwaka wa pili unaishia huu toka ulete post humu...kiwanja bado unacho au umeshakiuza? tupe mrejesho
 15. Uzalendo Installer

  Ujenzi wa Gabion, nyumba kwa milioni 2 tu!

  Mkuu vipi umeshapaua? Leta picha halisi sasa sio za youtube tuone....heheheee
 16. Uzalendo Installer

  Wasiolipia kodi viwanja kunyang’anywa Januari 2021

  eeeh namna hiyo, huna hela wanapewa wenye nazo
 17. Uzalendo Installer

  House4Sale Nyumba inauzwa(at affordable price)location— Iringa Kihesa

  Unatakiwa unishawishi kwann nisijenge Dar nyumba ya bei hiyo, nikanunue iringa...ina eneo la hekari ngap?
 18. Uzalendo Installer

  Garama ya bati geji 30

  Aina gani? Alaf mgongo mpana 9650 kwa meter.. sijui kama bado bei ni hiyo maana alaf kila mwezi wanakuwa na bei mpya
Top Bottom