Search results

 1. U

  Naombeni msaada katika hili

  Miaka 3 iliyopita nilipata ufadhili wa kusomeshwa huko Ulaya! Kabla sijaenda mwajiri alinitaka nimsainie mkataba kuwa nitakaporejea nitamtumikia kwa miaka mitatu kabla ya kuniruhusu nifanye mambo mengine! Ajabu nimerudi nimekuta yeye anadai nilisaini bond ya miaka mitano!Naombeni ufafanuzi...
 2. U

  Naombeni utaratibu wa kubadili jina la mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa

  Naomba mwenye kujua utaratibu huo anijuze mfano mtoto kwenye cheti ni Paul Kayuguyugu na Mimi ninataka aitwe Paulo Kayuguyugu.
 3. U

  Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

  Ndugu wanaJF, Ninaomba mwenye ujuzi wa kusoma mita za maji anijuze. Yangu imeandika 13 mita za ujazo! Hivi gharama kwa mita moja ya ujazo ni shilingi ngapi? NINAOMBA MSAADA WENU WADAU
 4. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Mnamo 24/05/2020 nilikuja hapa jf nikiwa na changamoto ya kuchangishwa sh.30,000/- kwa ajili ya umeme katika nyumba niliyokuwa nimepanga!Asanteni sana kwa ushauri wenu. Nimeamua kutafuta nyumba nzima ili nijitegemee kila kitu!Ajabu kwa siku sizidishi hata unit 1,kweli nilikuwa ninaibiwa kama...
 5. U

  Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

  Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
 6. U

  Msaada wa kisheria namna ya kuwagawia watoto urithi wao nikiwa bado hai!

  Nawaomba wanajf mnielimishe namna nzuri na ya kisheria ya kuwarithisha watoto mali zangu! Pia sheria inasemaje juu ya umiliki wa mke hasa kwa Mali alizomkuta Nazo mume wake?
 7. U

  Naombeni msaada wa kisheria kuhusu suala hili la upimaji wa ardhi

  Mimi ni mhamiaji hapa Mbeya! Nimepapenda na ningependa kujenga japo kajumba kakuishi ila tatizo ni viwanja vya kupimwa bado ni tatizo! Ninafikiria kununua shamba halafu baada ya kukamilisha ununuzi niwafuate ardhi ili waje wanipimie! Ninaomba ushauri wa kisheria kuhusu jambo hili. Je...
 8. U

  Msaada wa namna ya kurasimisha shamba

  Habari wanajf! Nina mpango wa kununua mashamba ili nijenge nyumba kwani kama mnavyofahamu viwanja vilivyopimwa havipatikani sana na ni ghali sana hasa mijini. Ninaomba anayejua hatua za hadi kupata hati milki anijuze tafadhali. Ninaomba sana msaada wenu juu ya hilo.
 9. U

  Naomba kujua duka la vitabu vya Hisabati vya kidato cha tano na cha sita Jijini Mbeya

  WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
 10. U

  Hospitali nzuri ya kutibu mtoto wa jicho

  Kwa anayeelewa hospitali anijuze tafadhali mdogo wangu ana tatizo la mtoto wa jicho
 11. U

  NAOMBA MSAADA WENU WANA JF JUU YA HILI!!!

  Wadau naombeni mwongozo wa taratibu za kufuata kisheria ili nihamishe umiliki wa kiwanja toka kwa mtu aliyeniuzia ambaye ana ofa tu na mwingine ana hati kamili ya kiwanja.Ni taratibu gani napaswa kuzifuata kisheria ?MSAADA WANAJF
 12. U

  Naombeni ushauri juu ya namna ya kupanga bajeti na kuiishi!!!!

  Kwa muda wa miaka minne nimekaa na tatizo hili sasa ninadhani ni wakati muafaka wa kuomba ushauri!! Mimi ninafanya kazi inayoniingizia kwa mwezi sh.700,000/= tasilimu.Sijajenga nyumba ila nina uwanja. Naombeni ushauri namna ya kupanga bajeti na kuiishi.Nipo jijini Mbeya. Nimepanga ninalipa...
 13. U

  SHERIA INASEMA NINI KUHUSU HILI?

  Naomba nieleweshwe kuhusu suala la mtu kuchafuliwa sifa yake mbele ya jamii!Akiwa kama mlalamikaji anaweza kwenda mahakamani na kufungua kesi ya madai ya fidia halafu akataja hadi na kiwango mfano ninataka anilipe fidia shilingi bilioni moja na shilingi moja!MSAADA WADAU
 14. U

  Wale wenye uelewa wa visima vya maji nisaidieni hili!!!!

  Kama mjuavyo vijiji vingi ambako tumezaliwa hakuna huduma ya maji ya bomba!Mimi nimejipiga na kumchimbia mama yangu kisima cha maji ya kutumia!Sasa ninawaomba ushauri namna ya kukitunza kwani mimi si mtaalamu wa visima.Pia hivi maji ya visima yanawekwa dawa gani,ili kuua bacteria kama...
 15. U

  Mliowahi kubadili kazi, naombeni ushaur!!!!

  Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ambapo mshahara wangu ni sh.480,000/=kabla ya makato NSSF! Sasa ni mwaka wa nane naona kama sisongi mbele kimaisha isipokuwa nimefanikiwa kuoa na kuanzisha familia na kumsomesha mdogo wangu chuo cha afya ngazi ya cheti. Ni mwaka sasa ninafanya kazi ya...
 16. U

  Baada ya kuugundua ugonjwa unaonisumbua, sasa nishaurini juu ya lishe

  Ni miaka 15, sasa nimeugua tumbo nawashukuru wanajf kwani hamkunitupa kila nilipokuja kuwaomba ushauri. Nilizunguka hospitali nyingi hadi Muhimbili lakini ikawa bila-bila!Namshukuru sana dakatri wa 20 kunitibu yeye aliniweka wazi kuwa wakati mwingine mgonjwa anaweza kujitibu mwenyewe hasa kwa...
 17. U

  Kwa mliosoma mkitumia majina mawili na mkaongeza la tatu,nisaidieni hapa!!!

  Mimi nimesoma hadi chuo nikitumia majina mawili ninataka kuongeza la tatu msaada please (tafadhali) kwa hatua za kuchukua. Nisaidieni wana jf
 18. U

  Tumbo kuunguruma kuna sababishwa na nini ?

  Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
 19. U

  Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

  Jamani kwa wote mnaosomea India au mliowahi kusomea India ninaomba mtushauri kitu hapa mimi na mdogo wangu. Mdogo wangu amepata skolashipu anatakiwa aende India masomoni huko Mangalore tunaomba anayepafahamu atujuze vitu kama utamaduni wa huko, maisha kwa ujumla wake na tumuandae vipi...
 20. U

  Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu!!!!!

  Jamani kwa wote mnaosomea India au mliowahi kusomea India ninaomba mtushauri kitu hapa mimi na mdogo wangu.Mdogo wangu amepata skolashipu anatakiwa aende India masomoni huko Mangalore tunaomba anayepafahamu atujuze vitu kama utamaduni wa huko,maisha kwa ujumla wake na tumuandae vipi kisaikolojia...
Top Bottom