Search results

 1. Mudhyd

  Hapa kimekosekana kitu gani?

  Hizi design nyingine sijui huwa wanafikiria nini!!!
 2. Mudhyd

  Outing

 3. Mudhyd

  Msaada katika simu!

  Salaam Natumai mmeamka salama ila moja kwa moja katika point ni kwamba natumia android flani hivi ila kuanzia Jana nimepata tatizo la kushindwa kudownload chochote kupitia browser, naletewa notification kwamba(unsuccessfull download), naombeni msaada kwa mwenye kujua solution ya tatizo hili...
 4. Mudhyd

  TRY TO FOCUS:Macho yako hayana matatizo?

  Hebu jaribu kutizama picha hii alafu ujue kama macho yako yana matatizo au ni illusion tu!!!
 5. Mudhyd

  msaada katika PC

  kuna pc(HP) ninayo ilikua na windows 7 na ikiwa inafanya kazi vizuri tuu, lakini nilichukua maamuzi ya kubadili window na kuweka windows 8, but on that time baada tu ya kukamilika installation ya windows 8 sauti ikawa haitoki ila tu kwa earphone. sasa sijui tatizo ni nini japo nimejaribu kuweka...
 6. Mudhyd

  NET Framework 3.5(include 2.0 na 3.0)

  msaada kwa mwenye uwezo wa kufix net framework ya 3.5 katika windows 8 mana kuna baadhi ya software nashindwa kuinstall kwa sabab ya net framework ya 3.5 haiwekwa kutumika katika windows 8
 7. Mudhyd

  Naombeni msaada kuhusu hili tatizo

  Nimepiga window mpya jana katika PC yangu, lakini nashangaa toka nipige hyo window naletewa huu ujumbe baada ya kuingia internet nashindwa kuelewa nini tatizo, nimejaribu kutmia browser tofauti tofauti lakini bado tatizo liko palepale. na katika website nlizoweza kuingia ni jamiiforum tu na...
 8. Mudhyd

  Nawezaje kuangalia majina ya waliochaguliwa vyuo vya afya?

  Habari zenu ndugu wana jamiiforum, ningependa kufahamu namna ambavyo ningeweza kutazama majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kwa ngazi za stashahada na astashahada(2016) bila kupitia central admission system(CAS) katika profile ya mhusika. Kama suala hilo linawezekana naomba...
 9. Mudhyd

  Msaada: Vipele na mchubuko sehemu za siri (uume)

  Habari za Asubuhi GT's. Natumaini Yu Wazima. Mimi Ni Kijana Wa Kitanzania, Nina Tatizo Lilioanza Muda Mrefu Kidogo, Nasumbuliwa Na Kutokwa Na Vipele Pamoja Na Michubuko Katika Kichwa Pamoja Na Shingo Ya Uume! Naombeni Msaada Kwa Anaefahamu Tatizo Hili, Nini Hasa Sababu Zake Na Matibabu Yake...
Top Bottom