Search results

  1. HALELUYA MOSHI

    Hongera na asante Hussein Nyika

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga kwa kutuletea Maestro Middo Papii Kabanga Shishimbi kakifunika kikosi kinachosemwa cha 1.3 b. Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. HALELUYA MOSHI

    True story:Msaada wa mawazo kwa huyu dada jaman yuko njia panda,

    Habari wanajamvi. Nitatumia majina yasiyo halisi kwenye hii habari ili kuleta mrejeo ulio sawa. MWINDA na MWADAWA walianza mahusiano wakiwa chuo cha uuguzi, wakiwa mwaka wa mwisho kumaliza MWADAWA akiwa na ujauzito wa MWAINE wa miezi sita, wakakubaliana kuoana, walivopanga hayakufanikiwa, kwani...
Top Bottom