Search results

 1. James alamba

  Mapenzi yamenichosha: Tupe kisa kilichofanya uyachoke mapenzi

  Huu uzi ni kwaajili ya wote ambao tumeamua kuwa single baada ya kuchoshwa na mapenzi. Weka kisa chako hapo kilichokuumiza tushare na marafiki. Naanza mimi; Nilikuwa na mpenzi ambaye nilikuwa nampenda sana ila siku niligundua anatoka na sugardady mzee sana, niliumia maana huyo mzee ni kama...
 2. James alamba

  Tupeana maujanja ya kilimo cha mpunga na fikiria kuwekeza huko.

  Fursa za kilimo cha mpunga
 3. James alamba

  Kesi ya madai

  Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili. Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa hizo fedha akibidi akimbie kama kwa mwezi mmoja hivi sasa yule aliemuwekea dhamana akakamatwa na akalipia lile deni...
 4. James alamba

  Msaada wa kesi ya madai

  Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili . Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa izo fedha akibidi akimbie kama kwa mwezi mmoja ivi sasa yule aliemuwekea dhamana akakamatwa na akalipia lile deni la...
 5. James alamba

  Hivi kwanini kumekuwa na wimbi la watu wengi wanaotibu nguvu za kiume ?

  Kila mahari mabango yote ni dawa ya nguvu za kiume shida ni nink? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. James alamba

  Tetesi: Hivi sasa ivi sheria za kureset ziko vipi?

  Sheria ya kurudia kidato cha nne iko vipi kwa sasa .. ni kuanzia masomo mangapi mtu anaweza rudia tena paper ya kidato cha nne? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. James alamba

  Ni nini hasa kinachosababisha misitu yetu ya hifadhi kuendelea kuharibika?

  Watu wengi uwa wanatoa sababu zao kuhusu ukosekanaji wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini tanzania ila nimekuja gundua kuwa uharibu wa misitu umechangia asilimia kubwa ukosekanaji wa mvua na baadae tutakuja kumbwa na njaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. James alamba

  Posho

  Habari wakuu naomba kufahamu hii Treasury Registrar’s salaries Circular No. 6 of 2015 ndio kiasi gani kwa mwezi?
 9. James alamba

  Msaada google adsense

  nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
 10. James alamba

  Msaada about google adsense

  nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
 11. James alamba

  Hivi ni kweli huu uchaguzi mdogo unaakisi Uchaguzi mkuu 2020?

  Vyama pinzani vifanye nini kumuangusha ccm maana hali ni mbaya kwao wote wamefumba midomo now.
 12. James alamba

  Rim bus morogoro to arusha

  Dha aya mabasi ya lim safari ni mazuri sana ila yana poor costumer care sijawai ona.
 13. James alamba

  Uume wangu unasimama sana hadi unauma, shida ni nini?

  Jamani shida nini, yaani uume wangu unasimama sana na misuli yake inakaza sana mpaka naumia.
 14. James alamba

  Ivi ni kweli izi tafiti kuwa kila kwenye wanaume kumi wanne wana upungufu wa nguvu za kiume

  Je kama ni kweli nini chanzo? Na tunafanyaje kukabiliana na ili tatizo asa kwa vizazi vijavyo.
 15. James alamba

  Ni kweli siasa ni mchezo mchafu?

  Hivi wanavyosema siasa ni mchezo mchafu ni kweli au na huwa wanamaanisha nini wakuu?
 16. James alamba

  Ushauri: Nashindwa kumsahau kabisa mpenzi wangu wa zamani

  Jamani naomba ushauri nifanyaje ili niweze msahau ex wangu maana imekuwa ngumu sana kumsahau.
 17. James alamba

  Jamany msaada

  Kwa anajua kusajiri domain na webhosting gharama zake na jinsi ya kusajiri anisaidie Nataka nisajiri hii www.onebigrocktz.blogspot.com
 18. James alamba

  Kwa anaependa kwenda mwanza kula bata...

  Ukitaka kwenda mwanza na ujui nini cha kufanya uenjoy safari yako ingia kwa hiii blog ujue cha kufanya ukiwa mwanza tanzania Www.onebigrocktz.com
 19. James alamba

  Website DesiGn.

  Napenda kujifunza website design kwa kutumiq joumla kwa anaejua pls anisaidie...
Top Bottom