Search results

 1. Mjina Mrefu

  Kama umefanya mapenzi leo pita hapa

  Wakuu, Kama umefanya mapenzi siku ya leo sema neno hapa, ilikuaje? Ume enjoy? Ulikutanaje nae? Yeah kila siku ni leo.. Hivyo kila leo ukila tunda pitia hapa utuambie neo. Mimi leo nilikua na appointment moja na mrembo hapa jijijini dsm.. Nimekula tunda goli mbili ila sija enjoy maana...
 2. Mjina Mrefu

  Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

  Wakuu. Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki...
 3. Mjina Mrefu

  Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

  Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago. Wakati nafanya kazi Dar es Salaam kwenye kampuni fulani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike. Kila ofisa mzoefu alikabidhiwa binti mmoja amfunze kazi pale kwa ofisi. Mimi nilikabidhiwa binti mmoja mrefu na...
 4. Mjina Mrefu

  MSAADA: Tafadhali naombeni msaada, nafanya malipo Loan Board inakataa

  Wakuu habari, Naomba mnisaidie, nafanya malipo Loan Board ktk control number niliyopewa tangu juzi ila inanijibu kuwa, huduma hii haipatikani kwa sasa. Na nimejaribu kulipa kwa tigo, voda, Airtel zinanipa majibu hayo. Nimewapigia wanasema niwasiliane na bodi ya mikopo. Nikipiga bodi ya mikopo...
 5. Mjina Mrefu

  Sauti za Mahaba za mwanamume wakati wa kupenzika zina maana yoyote kwa mwanamke?

  Wakuu, Ipo wazi kuwa, wakati wa kupenzika, mwanamke akitoa zile sauti za kimahaba hata kama ana fake, zinaongeza sana mzukaa kwa mwanaume na kumfanya afurahie sana tendo na hata kumwaga mapema. Je kwenu nyinyi kina dada, wakati wa sex, mwanamume akiwa anatoa sauti za Mahaba, zina effects...
 6. Mjina Mrefu

  Mimba ikitoka, mwanamke akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?

  Wakuu habari, Nina swali, kama mwanamke alikua mjamzito, mimba ikatoka ikiwa hata haijafika miezi miwili, je kitaalamu mwanamke huyo akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?
 7. Mjina Mrefu

  Wanawake wengi wa sasa Huogopa Mimba zaidi ya Ukimwi

  Wakuu, Hii naongea kutokana na experience niliyo nayo. Kati ya wanawake wote niliopita nao miaka miwili mitatu iliyopita, ikitokea accidentally or intentionally sikubeba kinga, basi nikitaka kula mzigo, swali kuu wanaloniuliza ni MIMBA IKITOKEA JE? Ila hawaulizi MAGONJWA JE? Yaani...
 8. Mjina Mrefu

  Sakayo nakutamani kimapenzi

  Potelea mbali Uzuri mimi siyo mnafiki wala mwoga mwoga kusema hisia zangu. Sakayo ni mwanadada anayenisisimua kimapenzi hapa JF. Simjui yupoje, sijawahi kumwona ila nimejitengenezea picha yake akilini mwangu. Picha hii hata nikiiwaza tu nasisimuka kihisia hadi jogoo anawika. Niseme wazi...
 9. Mjina Mrefu

  Aggrey Mwanri: Mungu amshukuru Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya

  Mkuu wa mkoa wa Tabora ndiye aliyeyasema maneno hayo. Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora Aggrey Mwanri Amesema Wao Kama Watu Wa Tabora Watamuomba Mungu Kwamba Yeye Mungu Ndio Amshukuru Rais Wetu Na Kumwambia Rais Wetu Asante Kwa Kazi Anayoifanya!!
 10. Mjina Mrefu

  Jinsi gani ya kupata friji za makampuni ya vinywaji?

  Wakuu, Naomba kujua, nifanyeje ili nipate friji za makampuni ya vinywaji kama Coca-Cola au Pepsi ? Msaada wenu utanisaidia sana Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Mjina Mrefu

  Ananitext; Mjina nalala love. Ghafla naona SMS nyingine; 'Baby niko getini'. Ghafla naona tena, 'sorry, wrong txt.

  Waku, Kuna huyu mchuchu wangu huyu Jana usiku tukawa tunachati. Kama saa nne hivi usiku, akaniaga kuwa 'Mjina nalala love, kesho kazini mapema.' Baada ya dk km kumi hivi, nikaona tena txt, 'Baby nimefika getini nifungulie'. Kwa bahati mbaya nyumba nayoishi haina geti. Nikasema pengine...
 12. Mjina Mrefu

  Battle ambazo hadi leo hazina mshindi. Wanaume wa Dar vs Wa Mikoani yatajwa

  Wanaume wa Dar vs Wanaume wa Mikoani Messi Vs Cristiano Ronaldo Diamond Platnumz vs Ali Kiba [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Hizi battle hazijawahi pata mshindi Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Mjina Mrefu

  Battle ambazo hadi leo hazina mshindi. Wanaume wa Dar vs Wa Mikoani yatajwa

  Wanaume wa Dar vs Wanaume wa Mikoani Messi Vs Cristiano Ronaldo Diamond Platnumz vs Ali Kiba [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Hizi battle hazijawahi pata mshindi Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Mjina Mrefu

  Battle ambazo hadi leo hazina mshindi. Wanaume wa Dar vs Wa Mikoani yatajwa

  Ali kiba vs daamond Wanaume wa dar vs wamikoani Cr7 vs mess Hizi ndo battle ambazo mpaka leo hazina mshindi Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Mjina Mrefu

  Battle ambazo hadi leo hazina mshindi. Wanaume wa Dar vs Wa Mikoani yatajwa

  Ali kiba vs daamond Wanaume wa dar vs wamikoani Cr7 vs mess Hizi ndo battle ambazo mpaka leo hazina mshindi Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Mjina Mrefu

  Video: Wanaume wa Tanzania ni wabaya, waongo, wachafu. Hawawezi kunimudu

  Wakuu, Hii tuichukulie vipi? Siyo kwamba huyu mwanadada amejiweka standard ambayo siyo yake ndo maana hakuna anaeweza poteza muda na pesa yake kwake? Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Mjina Mrefu

  Kila mwanamke na mwanamume mkamilifu ni KIKOJOZI

  Mkuu, Kama wewe ni wa kiume, na ukipenzika unakojoa, yaani wazungu wanatoka, basi wewe ni Kikojozi maana unakojoa. Kama wewe ni mwanamke, na ukipenzika unakojoa, nawe pia ni Kikojozi... .... Comments fupi fupi Mjina Mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
 18. Mjina Mrefu

  Sijawahi kuona mke wa Rais Mjamzito

  Wakuu, Huenda labda mimi sijui Lakin kusema kweli, sijawahi kuona mke wa Rais yeyote duniani mjamzito tangu nipate akili.. Nimejaribu kufanya research sijapata.. Labda ninyi wanajamvi mnaweza kunijuza km mlishaona Sent using Jamii Forums mobile app
 19. Mjina Mrefu

  Nawaza mapenzi karibu masaa 12 kwa siku

  Wakuu, Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku. Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi. Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?
 20. Mjina Mrefu

  Sisi wanaume wenye Vitambi ni rijali na tunapendwa kuliko ninyi wembamba

  Sisi wanaume wenye Vitambi tupo hapa kuwaambia kuwa, sisi ni rijali kuliko ninyi vimbau mbau. Mwanamume mwenye kitambi unatembea na mtoto mrembo hadi ana ji feel prestige kuwa anatembea na mtu mzito. Sisi ndio tunapendwa na warembo wakali kuliko ninyi wembamba. Mrembo anatembea na mtu...
Top Bottom